UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

FMES,

Nikuombe jaribu kuficha hasira zako kwa Lowassa. Haki na Uhuru wa mimi kumuunga mkono LOWASSA akitangaza NIA, na KUTEULIWA na chama changu ni haki yangu ya Kikatiba kama ilivyokuwa haki yako mwaka 2005 kumuunga mkono Mzee Malecela.

Nikuombe uheshimu haki yangu ya kutoa maoni yangu kama wewe ulivyotoa maoni yako ukitaka wagombea wajitokeze..

Leo mimi nimejitokeza openly na kusema ninachokiamini sijaongelea suala la whether Lowassa ana tuhuma ama hapana, tukianza kufukua tuhuma hata mzee wako ana tuhuma za kupokea fedha za EPA kupitia Jeetu Patel lakini hakuna aliekutuhumu kwa wewe kumuunga Mkono 2005 na pale Morogoro zilipoporwa na wezi wakati mama Anne Malecela akizileta kugawia wapiga kura.

Leo hapa nimesema ninachokiamin, come out sema kama Lowassa hana sifa niliyotaja then utakuwa na hoja ukinipa sababu za yeye kutokuwa na uwezo wa kuchapa kazi na ukajenga hoja nitakuelewa,
Tusipige porojo eti Lowassa alimfata Rais na kubembeleza, go and ask Mr. Malecela and he will give u the facts ambazo wengi hawapendi kusikia. Kama Lowassa anahusika na Richmond apelekwe mahakamani, hakuna anayemtetea na wala hilo halina mjadala; mahakama itaamua, kama Lowassa ni mwizi basi ni udhaifu wa mamlaka kutowakamata wezi na kuwapeleka mahakamani. Kama una ushahidi peleka katika authority uje hapa utueleze umepeleka ushahidi wa wizi wa Lowassa na hata mimi nitakuona hero! Tujadili facts mkuu, tusiingilie uhuru wa mtu kuchagua. Nimesema wazi kama chama kitamteua nitampigia kura na nimetoa sababu yangu, na si Lowassa pekee, same applies kwa CDM, wakisimamisha mgombea hawezi kuwa mkamilifu wa kila kitu lakini kila mmoja atahakikisha anampigia kura.

FMES na Wana JF,

Tusipoteze muda mwingi kujadili LOWASSA, huyu kama ana madhambi yake mamlaka husika zitachukua hatua zinazostahili. Nchi yetu ina bahati mbaya tumekumbwa na ugonjwa wa unaoitwa ‘LOWASSA', tujadili issues za maendeleo.

Nikutoe shaka juu ya jambo moja: Ssina historia ya kuficha wala kutafuna maneno katika jambo ninaloliamini, kama wewe ulifanya kazi ya kutafuta ushahidi juu ya mkataba mbovu wa Richmond, nikupe hongera ulitekeleza wajibu wako kama RAIA mwema. Kama utaongelea UADILIFU, wewe mwenyewe ni zao la UKOSEFU wa UADILIFU wa Viongozi wetu. Suala la RICHMOND ni udhaifu wa mfumo wetu, jambo ambalo mpaka leo linatugharimu kama Taifa. Tumelalamika, tumetuhumu, tumekosoa lakini hatujajadili ufumbuzi wa tatizo lililoleta RICHMOND. Leo ni mwaka wa sita bado tatizo lipo lakini bado tunajadili RICHMOND na LOWASSA.

FMES, don't fool people here, tunafahamu why unakuwa na hasira when it comes to LOWASSA. Ni tatizo la familia yenu na ni makovu ya 2005. Nimalize kwa kusema LOWASSA akiteuliwa na kupitishwa na chama nitamuunga mkono asipoteuliwa na asipopitishwa na chama pia nitaheshimu na kufanya maamuzi kutokana na wakati na mazingira ya wakati huo, hiyo ni imani yangu. Mimi nimesema msimamo wangu na kwa jina langu, wewe come out and sema msimamo wako. Kila mmoja wetu atakuwa na maamuzi yake tuyaheshimu, akini kwa sasa tujadili masuala ya NCHI yetu na tutimize wajibu wetu. Wewe binafsi huna moral authority kuongelea uadilifu bcs your background inaonyesha, lakini hatukuangalii kwa Background yako tunakuangalia wewe na unachosema kwa sasa.

Hussein

Mheshimiwa Bashe: ninaomba sana nisaidie kujibu huu ujumbe wako kwa sababu no question unaelekezwa kwangu zaidi kuliko uliyetaka kumtumia, na ninaomba sana nikuaminishe kwamba mimi ninasimamia taifa kwanza na sio majungu na hadithi hadithi za mitaani.

1. Sikufahamu sana, lakini kwa maneno uliyoanza nayo umenipa wasi wasi sana na uwezo wako wa uongozi wa juu na hata kufikia kuwa ndiye mkusanyaji wa mawazo ya wananchi on UV-CCM: Hela za EPA zilikuwa ni hela za Mtandao ambao Malecela alikuwa ni their number one enemy, nitakuamini kwamba unasema ukweli iwapo utaonyesha karatasi yoyote ile iliyosainiwa na Malecela kuchukua hela kutoka BOT on the behalf of CCM.

- Unaropoka ropoka kuhusu Mama Kilango na kuvamiwa na majambazi pale Mvomero, hapa ndipo nimekutoa heshima kabisaa kwamba huna maana kabisaa kwa hili taifa, Mama kilango alikuwa akitokea kwangu hapa New York kuchukua malighafi zake za biashara zake, kwenye maduka yake ya Dar na Dodoma, ni kawaida yake kila anapofika huko kugawanya bidha zake kati ya dula lake la Dar na zingine husafiri nazo kwende kwenye duka lake la Dodoma, kwenye lile alikuwa amebeba masanduku ya nguo za biashara na kwenye pochi yake alikuwa na Shillingi laki mbili tu, na hata kwenye kesi mahakamani wale majambazi walikiri kwamba ndizo hela walizozikuta kwenye pochi waliyokimbia nayo, masanduku yalikuwa ni mazito sana yaliwashinda kabisa kukimbia nayo wakayaacha pale pale, sasa unasema Shiilingi laki mbili ndio zinaweza kununua urais wa Tanzania mwaka 2005!

- Halafu kwa taarifa yako kesho yake hawa majambazi walimvamia Makongoro Nyerere na kumpora kila kitu vipi na yeye alikuwa anagawa hela za rushwa wa Urais?

- Una maana Mvomero ndio wanaamua Rais wa Tanzania awe nani kwamba Mama kilango na Makongoro walikwenda kugawa hela pale? ha! ha! ha!

2. Malecela facts na Lowassa ni kwamba wabunge wanne walipokwenda Chamwino kumuona Rais kuhusu kumuokoa Lowassa na Uwaziri Mkuu, Makamba, Ameir, na Kingunge walimtetea Lowassa ni Malecela peke yake aliyegoma kwamba ni lazima aondoke, yes hilo aliniambia, asingeweza kuniambia uongo ambao haukufanyika! Mimi simchukii Lowasaa as a person lakini nina tatizo sana na kazi zake akiwa Waziri mkuu, hasa ninapoona taifa letu linalipa mabillioni ya pesa kwa Umeme ambao haupo nina haki zote za kukemea aliyetufikisha hapo kama ulivyoona kwenye ile topic niliyoianzisha jana ya kujivua.

- Unasema wewe matatizo ya Richmond hayakuhusu maana ni mapungufu ya mamlaka zetu kwa kutokumchukulia hatua and you want to be a leader wa hili taifa?

well, nilitaka kugusa haya tu mkuu sana, ninaamini Mkulu FMES naye atakujibu kama ulivyomu-address kwenye ujumbe wako, karibu sana mkuu, nothing personal ila NI TAIFA KWANZA!

William @ NYC, USA.
 
Zyansiku,
Nsoga du Bashe! Muwapangaah?
Nami nahisi weye ni Bashe; nimependa post yako, ushauri mzuri lkn la kuvunda halina ubani!
 
FMES,

Nikuombe jaribu kuficha hasira zako kwa Lowassa. Haki na Uhuru wa mimi kumuunga mkono LOWASSA akitangaza NIA, na KUTEULIWA na chama changu ni haki yangu ya Kikatiba kama ilivyokuwa haki yako mwaka 2005 kumuunga mkono Mzee Malecela.

Nikuombe uheshimu haki yangu ya kutoa maoni yangu kama wewe ulivyotoa maoni yako ukitaka wagombea wajitokeze..

Leo mimi nimejitokeza openly na kusema ninachokiamini sijaongelea suala la whether Lowassa ana tuhuma ama hapana, tukianza kufukua tuhuma hata mzee wako ana tuhuma za kupokea fedha za EPA kupitia Jeetu Patel lakini hakuna aliekutuhumu kwa wewe kumuunga Mkono 2005 na pale Morogoro zilipoporwa na wezi wakati mama Anne Malecela akizileta kugawia wapiga kura.

Leo hapa nimesema ninachokiamin, come out sema kama Lowassa hana sifa niliyotaja then utakuwa na hoja ukinipa sababu za yeye kutokuwa na uwezo wa kuchapa kazi na ukajenga hoja nitakuelewa.

Tusipige porojo eti Lowassa alimfata Rais na kubembeleza, go and ask Mr. Malecela and he will give u the facts ambazo wengi hawapendi kusikia. Kama Lowassa anahusika na Richmond apelekwe mahakamani, hakuna anayemtetea na wala hilo halina mjadala; mahakama itaamua, kama Lowassa ni mwizi basi ni udhaifu wa mamlaka kutowakamata wezi na kuwapeleka mahakamani. Kama una ushahidi peleka katika authority uje hapa utueleze umepeleka ushahidi wa wizi wa Lowassa na hata mimi nitakuona hero! Tujadili facts mkuu, tusiingilie uhuru wa mtu kuchagua. Nimesema wazi kama chama kitamteua nitampigia kura na nimetoa sababu yangu, na si Lowassa pekee, same applies kwa CDM, wakisimamisha mgombea hawezi kuwa mkamilifu wa kila kitu lakini kila mmoja atahakikisha anampigia kura.

FMES na Wana JF,

Tusipoteze muda mwingi kujadili LOWASSA, huyu kama ana madhambi yake mamlaka husika zitachukua hatua zinazostahili. Nchi yetu ina bahati mbaya tumekumbwa na ugonjwa wa unaoitwa ‘LOWASSA', tujadili issues za maendeleo.

Nikutoe shaka juu ya jambo moja: Ssina historia ya kuficha wala kutafuna maneno katika jambo ninaloliamini, kama wewe ulifanya kazi ya kutafuta ushahidi juu ya mkataba mbovu wa Richmond, nikupe hongera ulitekeleza wajibu wako kama RAIA mwema. Kama utaongelea UADILIFU, wewe mwenyewe ni zao la UKOSEFU wa UADILIFU wa Viongozi wetu. Suala la RICHMOND ni udhaifu wa mfumo wetu, jambo ambalo mpaka leo linatugharimu kama Taifa. Tumelalamika, tumetuhumu, tumekosoa lakini hatujajadili ufumbuzi wa tatizo lililoleta RICHMOND. Leo ni mwaka wa sita bado tatizo lipo lakini bado tunajadili RICHMOND na LOWASSA.

FMES, don't fool people here, tunafahamu why unakuwa na hasira when it comes to LOWASSA. Ni tatizo la familia yenu na ni makovu ya 2005. Nimalize kwa kusema LOWASSA akiteuliwa na kupitishwa na chama nitamuunga mkono asipoteuliwa na asipopitishwa na chama pia nitaheshimu na kufanya maamuzi kutokana na wakati na mazingira ya wakati huo, hiyo ni imani yangu. Mimi nimesema msimamo wangu na kwa jina langu, wewe come out and sema msimamo wako. Kila mmoja wetu atakuwa na maamuzi yake tuyaheshimu, akini kwa sasa tujadili masuala ya NCHI yetu na tutimize wajibu wetu. Wewe binafsi huna moral authority kuongelea uadilifu bcs your background inaonyesha, lakini hatukuangalii kwa Background yako tunakuangalia wewe na unachosema kwa sasa.

Hussein

- Sasa Jamiiforums, ukisoma hii post kwa makini ndio utaona umuhimu wa kuwabana hawa viongozi na wanaotaka uongozi wetu wa taifa kusema wazi wanasimama wapi kwenye ishus, haya maneno yameandikwa na mtu anayetarajiwa kuwa kiongozi wa juu wa hili taifa, na ambaye amepewa dhamana ya kukusanya mawazo ya wananchi on UV-CCM Taifa? Ninatakiwa kumjibu nini kama sio na mimi kushuka chini kwenye hii level ya kumpigia kura Lowassa akipewa nafasi?

- Kweli unakwenda kumpigia kura kiongozi mwenye haya mawazo kuongoza taifa? Mnaona sasa tukiwabana kuhusu misimamo yao? Ndio maana wakishika power tunaishia kushangaa hawa wametokea wapi mbona wapo mbali sana na mawazo yetu wananchi?

Loh! MUNGU IBARIKI TANZANIA

FMeS!
 
FMES CCM ni zaidi ya unayoijua!! Kuna vituko sana kimekuwa Kama Chama cha kifalme. Sisi wajanja huwa hatuna imani nacho, mnashindwa shida mnashindwakujua kuwa mwenyekiti wenu is very incompetent, he can never make any tangible decision. Fatilia kote alikopita, kugawa kadi za TANU, Siasa jeshini, ubunge - Chalinze, naibu waziri na hata waziri kamili wa fedha na mambo ya nje! Kote huko ni comedies tu. Sitaki Kukuonyesha mikataba alokuwa akisign mf IIPTL etc. Sasa mtu aliyeingia madarakani kwa ufisadi atapingaje ufisadi....Leo ni raisi na mwenyekiti wa Chama. CCM inahitaji mabadiliko makubwa ikubalike kwa wananchi, hii minyukano na kambi ndani yaCCM itamfia mume mikononi wake mumewe Salma.
 
Mwe! Hivi huko sisiem hakuna watu wengine ni waporaji tu ndo mnaowaunga mikono ili wapore zaidi.
Hii nchi sasa inakoelekea ni zaidi ya shamba la bibi, kama bado tunaamini ktk kuongozwa na waporaji kwa misingi ya kulindwa na haki ya kikatiba ktk kutoa mawazo; shughuli ni pevu.
uwiiiiii, nchi za wenzetu kashfa ya EL, asingelitamani hata kugombea ubunge, hapa kwetu tunawatu wanamshawishi kugombea urais! Kaazi kweli kweli
 
- Halafu umeona alivyo dedicated na very bold on Lowassa? Thank God for Jamiiforums!

FMeS!
 
Mwe! Hivi huko sisiem hakuna watu wengine ni waporaji tu ndo mnaowaunga mikono ili wapore zaidi.
Hii nchi sasa inakoelekea ni zaidi ya shamba la bibi, kama bado tunaamini ktk kuongozwa na waporaji kwa misingi ya kulindwa na haki ya kikatiba ktk kutoa mawazo; shughuli ni pevu.
uwiiiiii, nchi za wenzetu kashfa ya EL, asingelitamani hata kugombea ubunge, hapa kwetu tunawatu wanamshawishi kugombea urais! Kaazi kweli kweli

Eti ni mchapa kazi.mhhhhhh Labda tumuulize Bashe Tofauti yake yeye na Lowasa kisifa za uongozi ni zipi?
 
Ndugu Hussein M Bashe naona umejitahidi sana kujitetea vizuri i think unasiasa za VISASI/CHUKI/KIGAIDI KAMA MAGAIDI WENGINE sina shaka katika hilo kwa jinsi ulivyojieleza kabla sijakufamisha kidogo SIASA HIZI ZA CCM NA WAPINZANIA, find any book written by MARIO PUZZO kisome ukielewe na ujikosoe mwenyewe kwa hayo uliyoyaeleza then u will change by being a good politician katika siasa za kiafrika.

Bashe naomba nikuulize where were u 1995? unamjua mtu aliyekuwa akiitwa BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE? unaposema utamuunga mkono LOWASA mjue kwanza BABA WA TAIFA LA TANZANIA ndio uzungumze huo upuuzi wako, mwalimu nyerere ukaweza kumsoma na kumjua u will be in a safe side, katika wanasiasa ambao wanawaza kuwa rais wa Tanzania siku za mbele LOWASA NI MMOJA WAPO, WAPO NA WENGINE LAKINI KATIKA HAO WOTE ni yeye alikuwa mmoja wa WASISI WA G-55 ndio maana nakwambia msome kambarage BABA WA TAIFA LA TANZANIA.

Nimezungumza hilo la G-55 katika siasa za leo walikuwa wengi lakini wengi washajiachilia na siasa hizi za sasa maana ni za kizazi cha DOT.COM, sasa jua huyo unayetaka kumsimamia alikuwa ni mmoja wa hilo, unataka mpaka tumfufue Nyerere aje akuambie wewe HUSSEIN M BASHE ujue hilo? mimi naendelea kuamini kila aliyekataliwa na BABA WA TAIFA KATIKA TAIFA HILI LA TANZANIA HAWEZI KUNEEMA NA KUINGIA IKULU HATA SIKU MMOJA DAIMA MILELE AMINA. Umemtaja mzee Malecela vema hata yeye alikataliwa na Baba wa Taifa asingeweza kuigusa ikulu, nchi hii ingewaka moto , IKULU NI MAHALA PATAKATIFU SIO KILA MTU ANAWEZA KUKAA PALE KUWATUMIKIA WATANZANIA.

BASHE nakuuliza swali jingine unadhani kwani mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE alimkataa EDWARD maana yeye kwakwe walikuwa watoto akiwaita kwa majina yao , unadhani ni kwanini alimkataa? naomba jibu katika hili......unadhani waTanzania hawajui hili? unajua miiko ya uongozi HUSSEIN M BASHE? historia ya Tanzania ina mambo mengi kuliko nchi yeyote AFRIKA MASHARIKI kama ulikuwa hujui hili jua kuanzia leo.

Bashe jua kwamba BABA WA TAIFA KATIKA KILA ALILOLISIMAMIA KATIKA UHAI WAKE WAPO WATANZANIA WATAYAHESHIMU MAWAZO YAKE DAIMA MILELE, HASA KATIKA KUWAPATA VIONGOZI WA TANZANIA......................katika ninayoamini kama angelikuwa hai Kambarage LOWASA ASINGELIKUWA WAZIRI MKUU, nataka ujue waliokufa wamekufa kiwiliwili roho zao ziko hai na zinaona ndio maana yalitokea yaliyotokea DODOMA 2008 mwezi wa pili.

kuna kukataliwa na kuambiwa bado hujatosha wakati ukifika utapata, sasa LOWASA UNAYETAKA WEWE AWE KIONGOZI WA TANZANIA ALIKATALIWA NA JEMEDARI WA NCHI HII, JAKAYA ALIAMBIWA SUBIRI hakukataliwa wewe haya huyajui................jua kuanzia sasa aliyejitolea uhai wake kuwatumikia waTanzania kiukweli? aliyeacha kazi yake ya mshahara kulikomboa Taifa lake, aliyenusurika kifungo kwa ajili ya uhai wa nchi yake. hayo ni machache tu nakupa kijana Bashe, soma historia ya nchii uijue vizuri usidanganywe na siasa za akina LOWASA,CHENGE, ROSTAM wakidhani vijana wengi wa leo hawajui nchi yao mnajidanganya nyie very funny kumtetea LOWASA bila HAYA AU AIBU katika mipaka ya Tanzania.

narudia tena katika hizi harakati za leo ni yeye peke yake aliyekuwa member wa NEC 1990s-19952s ambaye anapanga kila njama za kuingia IKULU 2015, nakwambia itapasuka ikulu ile vipande vipande na waTanzania tutasali sala hazijawahi saliwa popote ACHA ILE SALA ALIFANYA GOVONOR EDWARD TWINNING ALIPOFUNGA NJIA WANANCHI WASIPITE KIVUKONI PALE, ilimlazimu govonor kwenda kwa SHEIKH IDRISA kuomba, duru zinasema alipiga magoti na kuomba maana ilinyesha mvua haina kikomo maji yalijaa ikulu sehemu nyingine zikiwa salama, sheikh Idrisa leo ndio ule msikiti wa Idrisa unaitwa jina lake.

Hussein Bashe soma siasa ya Tanzania penda kuperuzi mambo yalivyokuwa na yalivyoleo, huwezi leo kutetea waTanzania kwa yanayotokea wakati katika vikao vya chama na jumuiya unacheza karata zako za kuwatetea MAFISADI, liko wazi katika kikao cha DODOMA CHA UVCCM ulikuwa kinara wa kutete mafisadi, kwani hujui VIJIWENI, MISIKITINI, MAKANISANI, VITUO VYA DALADALA, MIJINI NA VIJIJINI KILA MTU ANASEMA LOWASA.......LOWASA......kwa ubaya wa UFISADI, imeenda mbali zaidi ikisemwa hata baadhi ya viongozi wa serikali wanakwamisha maendeleo ya nchi wakipata order toka kwake maana ndio aliowapigia debe kupata hizo nafasi,.

japo naamini mambo yameanza kabadilika sasa, naamini tutaenda pazuri kadri siku zinavyokwenda.

mwisho niseme ni haki yako kikatiba kuunga mkono unachokiamini.
 
Ndugu Hussein M Bashe naona umejitahidi sana kujitetea vizuri i think unasiasa za VISASI/CHUKI/KIGAIDI KAMA MAGAIDI WENGINE sina shaka katika hilo kwa jinsi ulivyojieleza kabla sijakufamisha kidogo SIASA HIZI ZA CCM NA WAPINZANIA, find any book written by MARIO PUZZO kisome ukielewe na ujikosoe mwenyewe kwa hayo uliyoyaeleza then u will change by being a good politician katika siasa za kiafrika.

Bashe naomba nikuulize where were u 1995? unamjua mtu aliyekuwa akiitwa BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE? unaposema utamuunga mkono LOWASA mjue kwanza BABA WA TAIFA LA TANZANIA ndio uzungumze huo upuuzi wako, mwalimu nyerere ukaweza kumsoma na kumjua u will be in a safe side, katika wanasiasa ambao wanawaza kuwa rais wa Tanzania siku za mbele LOWASA NI MMOJA WAPO, WAPO NA WENGINE LAKINI KATIKA HAO WOTE ni yeye alikuwa mmoja wa WASISI WA G-55 ndio maana nakwambia msome kambarage BABA WA TAIFA LA TANZANIA.

Nimezungumza hilo la G-55 katika siasa za leo walikuwa wengi lakini wengi washajiachilia na siasa hizi za sasa maana ni za kizazi cha DOT.COM, sasa jua huyo unayetaka kumsimamia alikuwa ni mmoja wa hilo, unataka mpaka tumfufue Nyerere aje akuambie wewe HUSSEIN M BASHE ujue hilo? mimi naendelea kuamini kila aliyekataliwa na BABA WA TAIFA KATIKA TAIFA HILI LA TANZANIA HAWEZI KUNEEMA NA KUINGIA IKULU HATA SIKU MMOJA DAIMA MILELE AMINA. Umemtaja mzee Malecela vema hata yeye alikataliwa na Baba wa Taifa asingeweza kuigusa ikulu, nchi hii ingewaka moto , IKULU NI MAHALA PATAKATIFU SIO KILA MTU ANAWEZA KUKAA PALE KUWATUMIKIA WATANZANIA.

BASHE nakuuliza swali jingine unadhani kwani mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE alimkataa EDWARD maana yeye kwakwe walikuwa watoto akiwaita kwa majina yao , unadhani ni kwanini alimkataa? naomba jibu katika hili......unadhani waTanzania hawajui hili? unajua miiko ya uongozi HUSSEIN M BASHE? historia ya Tanzania ina mambo mengi kuliko nchi yeyote AFRIKA MASHARIKI kama ulikuwa hujui hili jua kuanzia leo.

Bashe jua kwamba BABA WA TAIFA KATIKA KILA ALILOLISIMAMIA KATIKA UHAI WAKE WAPO WATANZANIA WATAYAHESHIMU MAWAZO YAKE DAIMA MILELE, HASA KATIKA KUWAPATA VIONGOZI WA TANZANIA......................katika ninayoamini kama angelikuwa hai Kambarage LOWASA ASINGELIKUWA WAZIRI MKUU, nataka ujue waliokufa wamekufa kiwiliwili roho zao ziko hai na zinaona ndio maana yalitokea yaliyotokea DODOMA 2008 mwezi wa pili.

kuna kukataliwa na kuambiwa bado hujatosha wakati ukifika utapata, sasa LOWASA UNAYETAKA WEWE AWE KIONGOZI WA TANZANIA ALIKATALIWA NA JEMEDARI WA NCHI HII, JAKAYA ALIAMBIWA SUBIRI hakukataliwa wewe haya huyajui................jua kuanzia sasa aliyejitolea uhai wake kuwatumikia waTanzania kiukweli? aliyeacha kazi yake ya mshahara kulikomboa Taifa lake, aliyenusurika kifungo kwa ajili ya uhai wa nchi yake. hayo ni machache tu nakupa kijana Bashe, soma historia ya nchii uijue vizuri usidanganywe na siasa za akina LOWASA,CHENGE, ROSTAM wakidhani vijana wengi wa leo hawajui nchi yao mnajidanganya nyie very funny kumtetea LOWASA bila HAYA AU AIBU katika mipaka ya Tanzania.

narudia tena katika hizi harakati za leo ni yeye peke yake aliyekuwa member wa NEC 1990s-19952s ambaye anapanga kila njama za kuingia IKULU 2015, nakwambia itapasuka ikulu ile vipande vipande na waTanzania tutasali sala hazijawahi saliwa popote ACHA ILE SALA ALIFANYA GOVONOR EDWARD TWINNING ALIPOFUNGA NJIA WANANCHI WASIPITE KIVUKONI PALE, ilimlazimu govonor kwenda kwa SHEIKH IDRISA kuomba, duru zinasema alipiga magoti na kuomba maana ilinyesha mvua haina kikomo maji yalijaa ikulu sehemu nyingine zikiwa salama, sheikh Idrisa leo ndio ule msikiti wa Idrisa unaitwa jina lake.

Hussein Bashe soma siasa ya Tanzania penda kuperuzi mambo yalivyokuwa na yalivyoleo, huwezi leo kutetea waTanzania kwa yanayotokea wakati katika vikao vya chama na jumuiya unacheza karata zako za kuwatetea MAFISADI, liko wazi katika kikao cha DODOMA CHA UVCCM ulikuwa kinara wa kutete mafisadi, kwani hujui VIJIWENI, MISIKITINI, MAKANISANI, VITUO VYA DALADALA, MIJINI NA VIJIJINI KILA MTU ANASEMA LOWASA.......LOWASA......kwa ubaya wa UFISADI, imeenda mbali zaidi ikisemwa hata baadhi ya viongozi wa serikali wanakwamisha maendeleo ya nchi wakipata order toka kwake maana ndio aliowapigia debe kupata hizo nafasi,.

japo naamini mambo yameanza kabadilika sasa, naamini tutaenda pazuri kadri siku zinavyokwenda.

mwisho niseme ni haki yako kikatiba kuunga mkono unachokiamini.
 
Mheshimiwa Bashe: ninaomba sana nisaidie kujibu huu ujumbe wako kwa sababu no question unaelekezwa kwangu zaidi kuliko uliyetaka kumtumia, na ninaomba sana nikuaminishe kwamba mimi ninasimamia taifa kwanza na sio majungu na hadithi hadithi za mitaani.

1. Sikufahamu sana, lakini kwa maneno uliyoanza nayo umenipa wasi wasi sana na uwezo wako wa uongozi wa juu na hata kufikia kuwa ndiye mkusanyaji wa mawazo ya wananchi on UV-CCM: Hela za EPA zilikuwa ni hela za Mtandao ambao Malecela alikuwa ni their number one enemy, nitakuamini kwamba unasema ukweli iwapo utaonyesha karatasi yoyote ile iliyosainiwa na Malecela kuchukua hela kutoka BOT on the behalf of CCM.

- Unaropoka ropoka kuhusu Mama Kilango na kuvamiwa na majambazi pale Mvomero, hapa ndipo nimekutoa heshima kabisaa kwamba huna maana kabisaa kwa hili taifa, Mama kilango alikuwa akitokea kwangu hapa New York kuchukua malighafi zake za biashara zake, kwenye maduka yake ya Dar na Dodoma, ni kawaida yake kila anapofika huko kugawanya bidha zake kati ya dula lake la Dar na zingine husafiri nazo kwende kwenye duka lake la Dodoma, kwenye lile alikuwa amebeba masanduku ya nguo za biashara na kwenye pochi yake alikuwa na Shillingi laki mbili tu, na hata kwenye kesi mahakamani wale majambazi walikiri kwamba ndizo hela walizozikuta kwenye pochi waliyokimbia nayo, masanduku yalikuwa ni mazito sana yaliwashinda kabisa kukimbia nayo wakayaacha pale pale, sasa unasema Shiilingi laki mbili ndio zinaweza kununua urais wa Tanzania mwaka 2005!

- Halafu kwa taarifa yako kesho yake hawa majambazi walimvamia Makongoro Nyerere na kumpora kila kitu vipi na yeye alikuwa anagawa hela za rushwa wa Urais?

- Una maana Mvomero ndio wanaamua Rais wa Tanzania awe nani kwamba Mama kilango na Makongoro walikwenda kugawa hela pale? ha! ha! ha!

2. Malecela facts na Lowassa ni kwamba wabunge wanne walipokwenda Chamwino kumuona Rais kuhusu kumuokoa Lowassa na Uwaziri Mkuu, Makamba, Ameir, na Kingunge walimtetea Lowassa ni Malecela peke yake aliyegoma kwamba ni lazima aondoke, yes hilo aliniambia, asingeweza kuniambia uongo ambao haukufanyika! Mimi simchukii Lowasaa as a person lakini nina tatizo sana na kazi zake akiwa Waziri mkuu, hasa ninapoona taifa letu linalipa mabillioni ya pesa kwa Umeme ambao haupo nina haki zote za kukemea aliyetufikisha hapo kama ulivyoona kwenye ile topic niliyoianzisha jana ya kujivua.

- Unasema wewe matatizo ya Richmond hayakuhusu maana ni mapungufu ya mamlaka zetu kwa kutokumchukulia hatua and you want to be a leader wa hili taifa?

well, nilitaka kugusa haya tu mkuu sana, ninaamini Mkulu FMES naye atakujibu kama ulivyomu-address kwenye ujumbe wako, karibu sana mkuu, nothing personal ila NI TAIFA KWANZA!

William @ NYC, USA.

William (FMES) let us agree to dis agree katika hili nisingependa kuendeleza Mjadala Huu,mm ni Muumini wa TIME yote haya Tunayoyajadili leo utafika wakati wake wa kuyajadili ,Swala la Pesa za EPA na Mzee Malecela Tusubiri kama walivotueleza CDM ktk Mikutano yao ushahidi Utatolewa ktk Kesi ya Jeetu ambayo ipo Mahakamani kwahiyo tuufunge Huu Mjadala.

Niseme Lampard Historia ya 1995 jk na lowasa walipoaga waandishi na kusema WANASINDIKIZANA nilikua namaliza o level,nimeisoma naifahamu.

Kama nilivomuambia william Mjadala huu wa Lowasa Niseme Mmeshinda leo Niufunge Tutaujadili Muda Muafaka ukifika kama atagombea, ninachoamini kinacho mgharimu EL leo ni pale alipokosea na Kuvunja moja ya rules za power kama zilivoaainishwa ktk kitabu cha 48 laws of power.

Kwahiyo niombe nifunge Mjadala huu wa lowasa na Tujadili mengine kwa leo niseme WILLIAM a.k.a FMES na Lampard mmeshinda si kwa hoja but bcs the Time and The game is on ur favour.

Ila niliyoongea katika Baraza kuu na Juzi Temeke katika kikao cha UVCCM yale nimeyasema kwa nia ya kujenga,kushauri,kutekeleza wajibu wangu kama mwanachama,Niwahakikishie wana JF na wenye mashaka hasa Willy kutokana na kauli yako kuwa unatilia mashaka uwezo wangu wa kusimamia jukumu nililopewa,usiwe na shaka kabisa Mimi na kamati yangu tutaitendea haki JUMUIYA yetu ya UVCCM hatutachakachua,na JF nimeisha ongea na MAX tutatumia Forum hii kupokea maoni tutafanya kazi yetu bila kuwa na any agenda ya kutekeleza matakwa ya kundi lolote.

Ninaamini katika kushauri na kushuriwa,kukosoa na kukosolewa,kujifunza na Kufundisha,kuuliza na kuulizwa kushirikisha na kushirikishwa,na haya ninayosema si maoni ya kamati bali ni yangu BINAFSI,kamati yangu isihukumiwe kwa msimamo wangu Binafsi.

Asanteni tujadilini yanayohusu Taifa letu tuache haya madogo madogo ya Urais 2015,tusimuangalie mtu kwa kumuhukumu kwa Historia, ama familia yake tumuhukumu kwa matendo yake.

Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika
 
JF inaraha sana! Huyu Zyansiku niliisha mshitukia muda mrefu sana. Ngoja nifatilie mnyukano wa hoja hapa!
mmh na wewenae m-mbeya wewe? usicholala sahizi nini?.....mwenzangu hatamie nipo hapa sebleni nafuatilia mtanange huu wa kisiasa hadi nione mwisho wake. Karibu juice ya guava Rev.Masanilo!
 
Nawashangaa William na Basheee . Jahazi linazama nyie bado mnakomalia CCM. Kuna mwa jf aliandika kamateni maboya au chochote kilicho karibu mjiokoe .CCM ni kama MV Bukoba.
 
- Mheshimiwa Bashe, suala la Malecela na Mangula na EPA kusemwa majuzi sana kule Tabora, tulisema wazi lina mkono wa mafisadi baada ya kutemwa NEC na CC, na hapa sasa wewe mwenyewe unathibitishia wazi kwamba ni kweli, Bashe hizi siasa mmejifunzia wapi where unaishia kusema usichotaka kusema? Ha! ha! ha! ha! ha!

- I mean unashindwa kuelewa a very simple idea ya hii mijadala JF kwamba sio kushinda ila ni kuelimishana kihoja na wakati ni huu wa sasa, umeenda huko kwenye UV-CCM umewakaripia wee masikini wa Mungu wasioelewa kitu, sasa unakuja hapa unatakiwa kusimamia hoja zako mwenyewe, unalilia Malecela! ha! ha! ha! Malecela ndiye aliyekuambia umtetee Lowassa? Now seriously what Malecela has to do na msimamo kwamba Lowassa ni matatizo ya mamalaka zetu kama ana makosa mbona hawajamshitaki kwenye sheria, kweli this is all you could do kutetea msimamo mzito kama huo?

- Ninakushuru sana kwamba umetutaja sana JF kwenye media kwamba utatutumia na tume yako, that is all I see to be good kwenye hotuba zako, otherwise please Brother unahitaji ukarabati hali ya juu sana kuhusu kusimamia hoja zako hapa, sio wote hapa tumelala usingizi kama huko UV-CCM, nimeisoma sana hotuba yako sikutegemea kwamba watu wazima wenye akili timamu walikuwa wamekaa wanakusikiliza mwanzo mpaka mwisho bila hata kukuuuliza maswali!

- Well, karibu sana mkuu ukweli ni kwamba hapa hatushindani ila tunaweka hoja na wananchi wanaamua mchele na pumba zilipo, ila seriously sikufashamu sana ila sikutegemea this coming from you, wewe mwenyewe kaa chini uangalie hotuba yako na haya majibu yako hapa JF utajionea mwenyewe tofauti ilivyo kubwa sana na ndio inayotupelekea wengine wetu hapa kuamini kwamba ile hotuba hukuandika wewe, anyways karibu sana mkuu tulemishane kuhusu taifa letu, hopefully na wengine kama wewe huko CCM watakuja hapa kusimamia hoja zao, kama ulivyofanya, inatupa nafasi wananchi kuwaelewa vizuri, maana baada ya kukusoma hapa sasa sina wasi wasi kabisa kwamba ukipewa uongozi wa juu nitegemee nini toka kwako!

MUNGU AIBARIKI JF!

William @ NYC, USA.
 
Ndugu Hussein Bashe hii nchi bado mpo wengi mnaodhani waTanzania hawaijui nchi yao vizuri au hata wa uchache wa hata asilimia 50% tu inatosha kabisa, nataka nikwambie i spend like 10 years kuisoma Tanzania hii ambayo wewe kama kijana unatumika hovyo hovyo bila kujijua. na katika miaka hiyo nimefikisha 3/4 ya Tanzania, sijui wewe unangapi mwenzangu?

najua bado kuna kazi kubwa sana kuwaelimisha VIJANA WENYE SIASA DHAIFU kama WEWE KATIKA kupambana na UFISADI NDANI YA NCHI YA TANZANIA NA CHAMA CHA MAPINDUZI. nadhani Bashe hata nini sababu ya TANU NA ASP kuungana wewe hujui sasa kubwa ilikuwa MOJA TU. sana utaniletea zile sababu za pwagu na pwaguzi

HIZI SIASA UA USHAWISHI WA KIPUMBAVU jambo linapotokea halafu mnasema ni matatizo ya kimfumo litaigharimu nchii siku za mbele kama halitashughulikiwa, narudia tena tafuta kitabu chochote kilichoandikwa na Mario Puzzle KISOME UJUE how politics unazozisimamia wewe zinaathari namna gani katika nchi yeyote duniani.
 
kweli maneno ni kama risasi. kwani risasi ikifyatuliwa ndio imetoka
huwezi irudisha. sasa haya maneno yaliyoandikwa hapa na kada wa uv-ccm
tumeyasoma mmhh. ama kweli sikio la kufa ni lakufa tuu.

mwananchi tahadhari chukua hatua
 
Back
Top Bottom