Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,509
Oneni wenyewe .
kati ya hawa nani kavaa suti kadiri inavostahili?
Angalieni namna ya ufungaji wa vifungo.
Nijuavo kishikizo cha chini hakifungwi
Update
hebu tumwangalie JK akiwa Austria kipindi hiki cha autumn pasipo na baridi wala upepo
sijui washauri wake hawakujua majira ya nchi husika wanakoenda
skafu yake imeharibu koti lake murua na hata ufungaji wenyewe