Uvaaji Raba na ushabiki wake... sneakers shopping...

Uvaaji Raba na ushabiki wake... sneakers shopping...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Huu ulimwengu Una mambo ...wengine tunanunua Raba tukiona Tu Kwa macho na kuvaa...kumbe Raba zina mashabiki kama mpira na zina wachambuzi pia. .....

Nikipata nafasi ntakuwa naweka hapa story na uchambuzi wa Raba na ushabiki wake...na mambo mbalimbali yanayo husu raba...
 

Attachments

  • Screenshot_20250824-122614.png
    Screenshot_20250824-122614.png
    499.5 KB · Views: 18
Kuna franchise moja yaitwa Footlocker wanauza sneakers/raba kama zote ila beii🙌🏽waah..maybe selected items only
Otherwise thanks China
Footlocker Africa hakuna nadhani...
South Africa Wana Factory store zinaitwa...Nike factory store, Adidas factory outlet....nimeona wanauza original hadi dola 56... unaweza search YouTube
 
Back
Top Bottom