Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

hahahahaha
mkuu hapo kama huyo binti ni marehemu mtarajiwa basi wewe hesabu miezi 3 kisha ukacheck afya ili uanze dose mapema lasivyo mmh...!
 
hahahahaha
mkuu hapo kama huyo binti ni marehemu mtarajiwa basi wewe hesabu miezi 3 kisha ukacheck afya ili uanze dose mapema lasivyo mmh...!

Duh!

Kaka, kwanza nakupa pole sana maana inaonyesha kwanza ni jinsi gani usivyo upenda mwili wako na hii dunia inaonekana umeshaichoka kabisaaaa. Any way hatuwezi kujua ni nini kinachokusibu mpaka uende pekupeku hivyo, yawezekana pia nawe ulishayakanyaga kakangu ndoo maana na wewe hujali. Lakini kama kweli umzima wa afya pole sana.
 
Nondoboy anarepresent watanzania wengi wenye kufanya ngono zembe kama yeye! yani utakuta mtaani bado kuna watu wanajisifia kuwa na mahusiano na mademu chungu nzima. Hii ni hatari!!

Tumwelimishe Nondoboy kwa faida ya wengi. Ila ni waTz wangapi watapata fursa ya kuona JF achilia mbali kuwa na Kompyuta. NGOs za Ukimwi na asasi zote za Ukimwi zina kazi ya ziada hapa!
 
Hii ni Hatari kuona Jamii ya wataalamu wa JF wasipotoa ushauri sahihi.

Wengi wamekuwa watetezi wa ZINAA na mambo ya UZINIFU wenza.

Kimsingi Huyu dogo yafaa aambie aache UZINIFU, Hivi yeye yupo tayari Mama yake Mzazi AZINIWE na wale watetezi wa Kondom, Hivi upo tayari mama yako Aziniwe hata kama anaemzini amevaa Kondom?

Nondoboy, nakushauri uache Uzinifu, Hivi ujiulizi kwanini watu wanakufa? in your future nenda kapime, ujijue, wether positive or negative, the UZINIFU uache.
Ukizini na dada wa mwenzio, au mama wa mwezio, Ujue mama yako au dada yako nae ataziniwa
 
Kuna mwanamke ambae nimeanza mahusiano ya kingono nae jana usiku. Tulikwenda gesti kutenda hilo jambo. Sasa kinachoshangaza ni kwamba kabla ya bao la kwanza uume wangu ulianza kujihisi kama vile umechubuka. Demu mwenyewe alikua mkavu kidogo ukeni, nikajaribu kutemea mate ili alainike lakini baada ya mda mfupi ukavu unarudi pale pale na mimi ndio nazidi kuchubuka. Baada ya bao la kwanza, nilikuta tayari kaloa nilipo ingia mara ya pili. Lakini haikudumu. Ni kama vile huyu demu hana unyevu wake mwenyewe wakati anapojamiiana na mwanaume. Sasa leo, maumivu ya mchubuka yametulia, kwahiyo nahisi sii tatizo la kudumu na wala sii gonjwa la zinaa. Ni mara ya kwanza mimi kufanya ngono na mwanamke ambae haloi ukeni ipasavyo. Je, unaweza kunishauri vipi kuhusu hili tatizo na jinsi ya kulitatua?

Ninaungana na wote waliokushangaa kwa kitendo chako cha kukutana na msichana tena kwa mara ya kwanza na kufanya tendo la ndoa bila kondom. ninawasiwasi inawezekana umeshaunganishwa na Grid ya Taifa. Ninakushauri ukapime ili uanze kuishi kwa matumaini. Ukijikuta uu salama usifanye tena huo mchezo mchafu bila kondom.
 
Mtafanya mwenzenu agongwe na gari kwa mawazo ... ila pole bwana .. raha ya dakika tano ... majuto milele ... kapime tu maana kuambukizwa siyo kufa siku hiyo hiyo
 
Mtafanya mwenzenu agongwe na gari kwa mawazo ... ila pole bwana .. raha ya dakika tano ... majuto milele ... kapime tu maana kuambukizwa siyo kufa siku hiyo hiyo

Naima just like the picture of a pumping heart i like the way you put a bit of your heart in the many posts of yours that i've read
 
Mshikaji hufai hata kwa kulumangia UGALI, yaaani kwa hatari hiii bado unatiana bila VAA huwasikiii hata kunguru wanatuelekeza kila wakati?
SHAME ON YOU.
Siku nyingine itakatika kabisa
 
... kapime tu maana kuambukizwa siyo kufa siku hiyo hiyo

...:):):) astaghafirullah!

...yaani hapo umepigilia na msumari kabisaaa, hata ningekuwa mimi siendi kupima tena, na liwalo na liwe!
 
...Sahihi kabisa, lini umepima UKIMWI mara ya mwisho?

Mchongoma usijali na wala usiogope nitakusindikiza...

Maana naona kwenye avator yako tayari unachimba kaburi ... ha ha ha ... cha ajabu ni kwamba unaogopa kufukiwa ... unaruka nini .. ukishapima wallahi utaacha kazi hiyo
 
mnh...haya bwana mdogo...dunia hii unapiga peku mbaka uboo unachubuka? Kila la kheri kwenye ngono zembe yako hiyoo
 
Mshikaji pole sn the jipe moyo kapime maana huo uwanja uliopita unaweza kuwa si salama. Na baada ya kupima ujaribu kwenda tuition jinsi ya kutumia condoms.
 
Kijana sasa unaogopa nini si umeamua mwenyewe..wee! ushaamua kua mjeshi bwanda utavaa kukiwa na jua joto mvua bwanda unalo hilo...Nashangaa sana unauliza nini tena..endelea tena na tena kijana...
 
Well, well, well... what can I say! I practically made up this story (a complete lie) to expose the level of hypocrisy amongst Tanzanians - a nation riddled with AIDS and holier than thou, sanctimonious crap that only serves to ostracize and vilify certain members of the community. How ironic! I find this attitude quite disturbing, patronizing and, to some extent, hilarious. I’ve had a mighty good laugh, sardonically, just reading the relentless mudslinging posts on this thread.

You remind me of Shaggy ... "it wasnt me"
 
Kaka nakushauri uache mipini kabisa kwani wewe sio professional player wa hiyo game.hatuendi hivyo.Hebu tulia ujipange upya kaka.Unaingia uwanjani bila viatu,soksi alafu unajikwaa then unaomba ushauri wakati unaelewa utatuzi unaujua.alafu umenichekesha ulivyosema ulitemea mate du yaani hata mafuta hukuweza kununua kwenye phamacy.na kwasababu ni mara yako ya kwanza inaelekea hata maandalizi ulikuwa hufanyi na hujui na pengine ulikuwa unafanya sex rafu sana ndio maana ukachubuka,Unatisha.take care of urself man.hiii dunia unaielewa kweli au bado uko gizani.Tulia achana na vicheche watakuua
 
Last edited:
Back
Top Bottom