jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,025
- 4,280
Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu..
Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga punyeto angali nikiwa kijana mdogo sana . Nailaumu sana ile siku kwenda kanisani maana ndipo huyu shetani kiongozi wa dini aliitisha kikao na akawa anaongelea mambo ya punyeto na jinsi ya kuifanya..
Nilipiga punyeto sana mwanzoni japo uume wangu ulikua imara sana nilipiga nikiwa na miaka 14 mfululizo bila kupumzika mpaka nikafika na miaka 23 baadae ndo nikawa na piga kwa kupishana maana nilikua na demu ananipa kitumbua akapunguza kasi ya kujichua kwangu
Baada ya hapo niliendelea kula punyeto kwa namna hii ukubwani miaka 23- 30 japo uume bado ulikua upo ngangari na mabao yalikua yanatoka ya moto na kubwa kubwa zito, hapa nilikua na mwanamke pia na huyu alikua wakati mwingine ananyonya uume wangu haswa na kuhakikisha na piga hata bao 4 kwa siku na kwa week angalau bao 17 ila zilikua bado zipo vizuri baadae tukaachana
Ukubwani sana Japo nilikua na mpenzi mwingine tena ila nilikua siridhiki nae hivyo nilikua napiga punyeto kila week na kila mwezi mfululizo bila kuruka . Kwa week nilikua na piga atleast siku 3 na jikamua hasa angalau bao 2 (nakua nimekojoa *6) kwa week na kwa mwezi inakua mara 24 siku nyingine mpaka hata mara 27 na huku nikaanza kupiga wakati mwingine kavu bila kilainishi au kwa ile style ya kukaza uume kwa muda mrefu huku unaangalia picha ya mwanamke au xvideo mpaka unakojoa uume wangu bado ulikua ngangari ila kiwango cha ujazo wa magoli kilianza kupungua .
Sahivi nataka mtoto nimejaribu kwa wanawake wa takribani nane kuwapa mimba ila naona nimegonga mwamba na hisi mimi ndiye ninatatizo nisaidieni.
Ninayo yapitia sasa
1: Nikipiga bao halina ujazo mwingi sidhani hata kama kijiko kina jaa
2: Bao ni lizito isipo kua linakua kama limekatika katika kama maziwa ya mgando ambayo hayajakorogwa vizuri linakua na mabonge mabonge.
3: Sipati kabisa ndoto nyevu kama awali hata nikikaa mwezi mzima bila kusex au kupiga nyeto
4: Sperm zangu kuna wakati zinavutika kwa urefu kidogo na kuna wakati hazivutiki wala hazinati sana na kuteleza
5: Sperm zangu haziyeyuki kirahisi zinabaki nzito kwa muda mrefu sana karibia lisaa
6: Mshipa wa uume nikikaa muda bila kupiga nyeto / kumwingilia mwanamke unauma sana
7: Nikimwaga sperm zangu kwa mwanamke zinatoka baada ya dk 3
8: Kuna wakati uume unakua kama umekufa ganzi na wakati mwingine unakua hata ukilala usiku unakua hausimami nikiwa usingizini ila nikikutaka na mwanamke kimwili na kua strong kawaida sana.
wanaojua njia ya kunisaidia wanisaidie niweze kupata angalau hata na mimi kuitwa baba.. niliambiwa na jamaa mmoja nikapime mbegu hospital ila naogopa sana naogopa kuitwa kwa jina la asiye na uwezo tena..
Anaefahamu dawa, ushauri naomba msaada wa haraka.