Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

Ahsante Bubu, siku nyingine nitajaribu kumchezea kwanza kwa muda mrefu ili aloe.


Alafu wewe unaonekana kumbe ni under age ndio kwanza unaanza mapenzi au sio??Subiri kwanza ukue dogo hayo mambo wakati wako ukifika utafanya tu Tengeneza kwanza maisha yako,Na soma kwa bidiii kuna ukimwi sasa hivi acha kukamuana bila kutumia condom.
 
wewe kijana ni kama askari aliyekua mtari wa mbele vitani kisha huna hata rungu.....Unaujua ukimwi lakini na unapatikanaje? tena hako kavajina kaiaina hiyo ndo balaa kabisa... kama umezoea kufanya haya mambo bila kifanyio(KONDOM) bola huwe unatumia Lubricant moja Inaitwa KY Gell ambayo inaweza ikawa inapunguza msuguano na kufanya maambukizi ya ukimwi yawe rarely lakini sio garantee... Magonjwa mengine ya Zinaa yako njiani kama GONO nk
 
pumbavu kabisa,yaani huoni hata haya kuandika pumba,ukijakuugua uanze kusumbua ndugu zako?!!! tena nakupa ushauri wa bure, kaa baada ya miezi mitatu ukapime wewe na huyo mjinga mwenzio na usitiane nae tena,mpaka uhakikishe kuwa huna maambukizi wewe na yeye,then ndio uje na swali lako!!!
 
Back
Top Bottom