Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Ukosefu wa nguvu za kiume ni more of psychological. Itibu fikra yako na ujiamini kwamba uko sawa. Ukijiwekea akilini kwamba una tatizo ndio unaongeza tatizo.

Wapo wanaopiga nyeto huu mwaka wa 20 na show wanapiga kama kawa. Mmojawapo ni mimi.
Mkuu uko vizuri.
Ila tofauti yako na mtoa mada ni moja tu yeye ameshakuwa mgonjwa ki mwili na kiakili ila wewe uko mentally fit ila physically deficiency.

Nililigundua hili baada ya kuacha.
 
Dogo umeupiga mwingi 2014-2023
Ok acha kabisa punyeto, anza kufanya mazoez angalau kilasiku dk30 au 1hr Jitahid mazoez haya sio chini ya miezi 6 au Mwaka, acha kuangalia picha za ngono, kula matunda na vyakula visivyo na mafuta mengi, kula sana tangawizi na matikit mbege za maboga au vitunguu swaumu... baada ya mazoez ya mwez mmoja anza kufanya ngono (performance itakua mbovu usihofu) ila hakikisha baada ya hapo angalau kwa mwezi unafanya ngono isipungue ×3. Wakati wa kufanya ngono punguza presha papara muandae muda mrefu mpenz wako angalau dk15 then endelea... UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI PSYCHOLOGICAL PROBLEM SIO UGONJWA... Hivyo unayeweza kujitibu ni wee mwenyew... Sisi wengine tulipiga sana puri ila athari yake inayotusumbua hadi leo ni kuchelewa kupiz hadi kero dyudyu inasimama muda mrefu bila kupiz...
Nashukuru mkuu!
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Hongera kwa kulitambua tatizo, cha muhimu sasa chukua hatua kwa kulichukia hilo tatizo hapo itakufanya uache kabisa punyeto.

Utaachaje? Ni kwa kuugawa muda wako wa siku ipasavyo, jitengenezee ratiba ya siku na uhakikishe unaifuata kikamilifu, ule muda uliokuwa ukitumia kuwaza kupiga punyeto utumie kufanya mazoezi, jitahidi ufanye mazoezi hasa ya pumzi kwa kufanya jogging ama hata push ups, kuruka kichura chura ukiwa nyumbani.

Pia mlo kamili ni muhimu kuna wadau wameelezea vyema fuata ushauri wao, usikumbilie kunywa dawa ni sawa na kusogeza matatizo mbele.
 
Hakuna kitu kinaboa muwe chumbani, umejiandaa zako kuliwa, na unsjisemea leo ntampa maufundi mtoto wa mama mkwe hadi ajute kuchelewa kunifahamu, afu unakuta jamaa mwenyewe ndo km huyu mtoa mada.

nimemuonea huruma huyo mdada bikra, kahisi umemdhalilisha tyuuh.
 
Pole mkuu, anza kufanya mazoezi ya Kegel na uache punyeto. Wazo langu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Acha punyere.

2. Kunywa maji mengi.

3. Tumia ndizi, tikiti, tango kwa Sana yaani Sanaa kweli kweli usilete masihara kwenye matunda

4. Tafuta mbegu za maboga.

5 acha chips, wali na lightweight foods kula nguna na dagaa, nyama, samaki, na mbogamboga.

6.Acha kuangalia porn

7. Acha kutumia sukari kabisa kwenye chai na vitu vingine vyenye sukari hii ya vuwandani.

8 Pendelea kutumia pili pili kichaa kwenye msosi wako

9 Fanya mazoezi haya
-push ups
-sit ups
-squats
-KEGEL(kwa msisito zaidi)
-jump jack

10. Fanya sana ngono na mwanamke(hakuna jinsi lazima uzipige sana Ili uzizoee na confidence irudi)

Sikushauri utumie karanga mbichi Nazi na korosho zitakutia nyenge tu uende kuchukua sheria mkononi.

Kula hizo kitu kama una uhakika wa gemu constantly sio za KUNUNUA

Zingatia;

-UKIMWI unaua chukua tahadgari
-UTI, kaswende, kisonono, genital warts, HPV are everywhere beware and take care.

Ukizingatia haya yote kwa miezi sita tu nakuhakikishia utakuwa beast kweli kweli jiwe kweli kweli shughuli Yako mtaa wataiskia na habari wataipata.
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Nenda pale pembeni ya bank ya NMB Hai kuna mzaza anauza dawa za miti shamba atakusaidia dawa zake huwaga zinatibu kiuhakika
 
Mkuu unajua nilianzaje nyeto?

Baada kufanya mara moja niligundua kumbe raha ya tendo huja kwa sababu ya msuguano, siku moja nilijaribu kukichua kichakatio na mkono nikafanikiwa ndo ukawa mchezo wangu na sikujua kwamba napigaga punyeto nilikuja kujua baada ya miaka 4, nilishindwa kuacha kwa sababu nimezoea na nilikuwa domozege..
Ok pole kwa kujitafutia tatizo... kwa sababu madhara ya punyeto kisaikolojia yameshaelezwa sana (Mojawapo ni hilo linalo kukuta), pia hupunguza ukubwa wa uume, hilo nalo huondoa kujiamini kwa mwanaume.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume RIJALI ambae hajawahi kujichua... ila hutakiwi kuwa mlevi wa punyeto (addictive) ikitokea umeathirika cha kwanza nikukubali kuwa unatatizo na unahitaji msaada, ikifika kwenye kuondoa tatizo lazima uwe na maamuzi thabiti (commitment) kwamba unataka kuachana na punyeto hiyo inaambatana na kuondoa au kujiondoa kwenye mazingira yanayokushawishi kupiga nyeto.

Pili kuwa wazi kwa mwandani wako kama anajielewa. Tatu kutafuta machapisho yanayohusu faida za kutomwaga manii yako hovyohovyo. Hii ya kutorusuhu kumwaga manii yako hovyo binafsi hunisaidia sana kuwa mwenye afya nzuri kimwili na kiakili, pia huniongezea kujiamini ninapokuwa na mlimbwende wangu.. napiga show za kibabe.. tatu jitahidi kuwa karibu na maswala ya imani yako huko kuna mafundisho na makatazo kuhusu kujichua. Nimekupa ushauri sio wewe tu ila kwa yeyote mwenye shida kama yako.
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Kutuambia tuache Nyeto ( Punyeto ) ni sawa na kuwaambia akina Mayele na Baleke wasiendelee tena Kutupia ( Kufunga ) Magoli yao Viwanjani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom