Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Simeone

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
672
626
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
 
Ukosefu wa nguvu za kiume ni more of psychological. Itibu fikra yako na ujiamini kwamba uko sawa. Ukijiwekea akilini kwamba una tatizo ndio unaongeza tatizo.

Wapo wanaopiga nyeto huu mwaka wa 20 na show wanapiga kama kawa. Mmojawapo ni mimi.
 
Jambo la Kwanza achana na punyeto. Kitu Cha pili zingatia ulaji wa vyakula vyenye lishe, tatu kuwa mtu wa kufanya mazoezi, la mwisho tafuta utulivu wa akili kabla ya kufanya tendo na baada ya tendo pia. Mabadiliko utayaona pasipo kunywa dawa. Japo kuna dawa za miti shamba zenye virutubisho na kuongeza hali ya uwajibikaji zaidi
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Pole mkuu, anza kufanya mazoezi ya Kegel na uache punyeto. Wazo langu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapime kisukari...

Punguza Wanga na Sukari​

Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika. Vyenye vionjo vya sukari, rangi na ladha katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako. Hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume.

Kula vyakula asili, nafaka ambayo haijakobolewa,matunda kwa wingi ambayo hayasagwa yenye nyuzi nyuzi nyingi na pia juice ya matunda na mboga za majani.
 
Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.
Duh, aisee.. pole!
Vyakula na vinywaji unavyotumia mara nyingi vina mchango mkubwa kwenye uimara wa mashine..
Pia mazoezi ya viungo

Kwa kuanzia, fanya haya kila siku kwa angalau wiki moja:-
✓kula karanga mbichi kila siku (1 - 2kg inatosha kwa wiki)
✓kula mbegu za maboga - mbichi, za kukaangwa au unga wake
✓ndizi za kuiva 2 daily
✓parachichi 1 daily
✓maji ya kunywa kwa wingi
✓ukiweza, ongezea vitunguu saumu na tangawizi.
✓ukipata mtindi na asali mara moja moja ni vizuri
✓Usisahau mazoezi, dona, mboga mboga na matunda kwa wingi

Kwa sasa achana na chips, soda, mayai ya kisasa, kuku wa kisasa, sukari..

Baada ya wiki omba mechi ya marudio, halafu utanishukuru baadaye😁
 
Na huo ni mwanzo tu. Usipoacha unakoelekea pana giza zaidi

Urban_legends_regarding_masturbation.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom