Dogo umeupiga mwingi 2014-2023
Ok acha kabisa punyeto, anza kufanya mazoez angalau kilasiku dk30 au 1hr Jitahid mazoez haya sio chini ya miezi 6 au Mwaka, acha kuangalia picha za ngono, kula matunda na vyakula visivyo na mafuta mengi, kula sana tangawizi na matikit mbege za maboga au vitunguu swaumu... baada ya mazoez ya mwez mmoja anza kufanya ngono (performance itakua mbovu usihofu) ila hakikisha baada ya hapo angalau kwa mwezi unafanya ngono isipungue ×3. Wakati wa kufanya ngono punguza presha papara muandae muda mrefu mpenz wako angalau dk15 then endelea...