Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Ukiweza kuacha punyeto kwa mwaka mmoja uume wako utarudi katika hali yake na ule usugu wa ngozi yake kutokana kusuguliwa kila siku na mikono utaisha..!
Changamoto uliyonayo kwa sasa sio uume kuwa dhaifu bali ni KUACHA PUNYETO!
 
13dcb0ea-eb13-4301-b79d-b3dfcad613a3.jpg
 
Jambo la Kwanza achana na punyeto. Kitu Cha pili zingatia ulaji wa vyakula vyenye lishe, tatu kuwa mtu wa kufanya mazoezi, la mwisho tafuta utulivu wa akili kabla ya kufanya tendo na baada ya tendo pia. Mabadiliko utayaona pasipo kunywa dawa. Japo kuna dawa za miti shamba zenye virutubisho na kuongeza hali ya uwajibikaji zaidi
nielekeze hizo dawa za mitishamba mkuu
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Pole sana mkuu hiyo ni serious condition wataalamu watakupa msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom