Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Acha porn

Acha punyere

Kula kipande Cha tikiti maji Kila siku jioni.

Kwa walio dar Wana bahati sana vipande vya tikiti maji vinauzwa sana.

Tikiti maji ni Viagra tosha hautaji madawa kula hio hata wiki Moja then ukipata mechi cheki performance
 
Unahitaji kuacha kujichua kabisa.

Msisimko ulikuwa unaupata kuangalia porn na nguvu ulizotumia kujichua ni kubwa mno.

Ili uweze kuchakata unahitaji kusisimka kwa kiwango kinachozidi mazoea yako.

Jipe muda ili dopamine receptors zirejee kwenye utendaji wake wa mwanzo na mishipa ya uume na misuli yake ijitibu.

Kula vizuri, kufanya mazoezi na kupata usingizi mzuri utahakisha recovery.
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Duuh
 
Ukosefu wa nguvu za kiume ni more of psychological. Itibu fikra yako na ujiamini kwamba uko sawa. Ukijiwekea akilini kwamba una tatizo ndio unaongeza tatizo.

Wapo wanaopiga nyeto huu mwaka wa 20 na show wanapiga kama kawa. Mmojawapo ni mimi.
Alaa, kujilipua
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Punyeto halikufanyi ukaacha kudindishooo, ila kila kiungo huwa kina kipindi cha mapumziko , kinapokuwa mapumziko mnalazimisha kiendelee tu ndo hapo sasa

Acha apumzike akipumzika ataamka upya kwa hali mpya nguvu mpya na mtimbwi mpya
 
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!

Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.

Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.

Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.

Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Nicheki mkuu mambo hayo yanaishaa sema andaa kama 150000 nauli ya kwenda na kurudi uchimbiwe miti ukipona unapeleka mbuzi basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom