Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Uume hausimami vizuri, naombeni msaada

Ok pole kwa kujitafutia tatizo... kwa sababu madhara ya punyeto kisaikolojia yameshaelezwa sana (Mojawapo ni hilo linalo kukuta), pia hupunguza ukubwa wa uume, hilo nalo huondoa kujiamini kwa mwanaume.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume RIJALI ambae hajawahi kujichua... ila hutakiwi kuwa mlevi wa punyeto (addictive) ikitokea umeathirika cha kwanza nikukubali kuwa unatatizo na unahitaji msaada, ikifika kwenye kuondoa tatizo lazima uwe na maamuzi thabiti (commitment) kwamba unataka kuachana na punyeto hiyo inaambatana na kuondoa au kujiondoa kwenye mazingira yanayokushawishi kupiga nyeto.

Pili kuwa wazi kwa mwandani wako kama anajielewa. Tatu kutafuta machapisho yanayohusu faida za kutomwaga manii yako hovyohovyo. Hii ya kutorusuhu kumwaga manii yako hovyo binafsi hunisaidia sana kuwa mwenye afya nzuri kimwili na kiakili, pia huniongezea kujiamini ninapokuwa na mlimbwende wangu.. napiga show za kibabe.. tatu jitahidi kuwa karibu na maswala ya imani yako huko kuna mafundisho na makatazo kuhusu kujichua. Nimekupa ushauri sio wewe tu ila kwa yeyote mwenye shida kama yako.
Shukrani mkuu!
 
Mkuu Cha kwanza acha punyeto, pili Kuna tiba nyingi za kukurudisha uwe sawa ambazo ni👉
👉Tumia tangawizi 1 na Kitunguu swaumu punje 8, Twanga na uchemshe kwa pamoja.
Utatumia glass 1 asubui na jioni, dawa ikiisha tengeneza nyingine.

👉Hi kiboko ya madhara ya punyeto
👉Ndizi zilizoiva 2, kipande Cha tikiti, karoti 1, parachichi kipande. Utakuwa unakula mchana na jioni. Hakika hi ni kiboko 🔥🔥. Utakuwa una badilisha utaratibu wa kula matunda mfano unaanza na ndizi,baadae tikiti na Kisha karoti.

Zingatia Usifanye mapenzi ndani ya muda wa tiba, usitazame picha chafuu. Usisahau mrejesho Simeone
 
Hakuna kitu kinaboa muwe chumbani, umejiandaa zako kuliwa, na unsjisemea leo ntampa maufundi mtoto wa mama mkwe hadi ajute kuchelewa kunifahamu, afu unakuta jamaa mwenyewe ndo km huyu mtoa mada.

nimemuonea huruma huyo mdada bikra, kahisi umemdhalilisha tyuuh.
Game niliahirisha kiujanja hakugundua kwamba nilishindwa, mwanzo ilisimama ikawa inalegea taratibu halafu yeye alilalamika namuumiza....
 
Mkuu Cha kwanza acha punyeto, pili Kuna tiba nyingi za kukurudisha uwe sawa ambazo ni
Tumia tangawizi 1 na Kitunguu swaumu punje 8, Twanga na uchemshe kwa pamoja.
Utatumia glass 1 asubui na jioni, dawa ikiisha tengeneza nyingine.

Hi kiboko ya madhara ya punyeto
Ndizi zilizoiva 2, kipande Cha tikiti, karoti 1, parachichi kipande. Utakuwa unakula mchana na jioni. Hakika hi ni kiboko . Utakuwa una badilisha utaratibu wa kula matunda mfano unaanza na ndizi,baadae tikiti na Kisha karoti.

Zingatia Usifanye mapenzi ndani ya muda wa tiba, usitazame picha chafuu. Usisahau mrejesho Simeone
Mkuu nashukuru sana!
Ila kwa kawaida huchukua muda gani?
 
Duh, aisee.. pole!
Vyakula na vinywaji unavyotumia mara nyingi vina mchango mkubwa kwenye uimara wa mashine..
Pia mazoezi ya viungo

Kwa kuanzia, fanya haya kila siku kwa angalau wiki moja:-
✓kula karanga mbichi kila siku (1 - 2kg inatosha kwa wiki)
✓kula mbegu za maboga - mbichi, za kukaangwa au unga wake
✓ndizi za kuiva 2 daily
✓parachichi 1 daily
✓maji ya kunywa kwa wingi
✓ukiweza, ongezea vitunguu saumu na tangawizi.
✓ukipata mtindi na asali mara moja moja ni vizuri
✓Usisahau mazoezi, dona, mboga mboga na matunda kwa wingi

Kwa sasa achana na chips, soda, mayai ya kisasa, kuku wa kisasa, sukari..

Baada ya wiki omba mechi ya marudio, halafu utanishukuru baadaye
Kadanga kg 2 mkuu daily
 
Ila wanaume tusidanganyane, uanaume ni mshedede kuwa skangaga. Ukiwa unachakata na uume uko imara, inaleta raha sana
 
Nyeto haina madhara..labda kama ulikuwa unapiga zaidi ya maramoja kwa siku kila siku..

Kula vizuri, piga tizi...iweke vizuri mindset yako...kuna muda unaweza kutaka kupiga shoo unaanza kufikiria madeni, sijui harakati zako haziendi lazima mzigo ulale

unapotaka kufanya mapenzi akili yako iwe hapo tu usiwaze kitu kingine...

usipoangalia utafanya kama huyu mwamba hapa
FB_IMG_16813013230789553.jpg
 
Kula vizuri lala vizuri kunywa maji Punyeto haina Madhara yoyote tatizo unafanya punyeto kwa siku mara 3/4 lazima upate madhara hata ngono ukifanya hivyo utapata madhara tu.
Hebu ngoja kwnza hi kufanya kw cku x3au 4 imeekaaje hpa mi cjaelewa nazungumzia kuzagamua co kupanda mnazi na mkono mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom