Namuona muthungu kwa mbali akiwa anapiga hodi kwenye boma
....anaenda zitengenezea picha kabisa hollywood!!au maonyesho ya picha ulaya
huo ndo utamaduni wetu na fahari yetu,how i wish bongo tungekuwa huru ivo kama zama zile
Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa Sudan na Ethiopia.
Hakuna anayeshangaa kitu hapO...!
Humgusi binti wa mtu hadi uripoti kwenye boma yao na kupata go-ahead ya ukoo!
Binti/Mama wa Kitanzania...hii maneno iko sawa?
Hivi kuna uwezekano hii jamii wakawa wameenda shule yoyote, au kupata exposure nje ya circumference yao, na kisha wabaki rigid na utamaduni wao?
Sasa hapo ungeeleza kwamba kwenye uislamu kunazuia vp utamaduni kama huu!..Ooow thanks God that I was born a Muzlim...
I am with Gaijin this is totally inappropriate...
Uislam unazuia watu kukaa uchi period....I dont give a damn about Sudan or Ethiopia but if they are following Islamic law thats outta question....Sasa hapo ungeeleza kwamba kwenye uislamu kunazuia vp utamaduni kama huu!..
After all huko mpakani mwa Ethiopia na Sudan nina shaka ni Waislamu hao!
What thing is inappropriate?...Ongea ueleweke broda/sisto!:angry:
Uislam unazuia watu kukaa uchi period....I dont give a damn about Sudan or Ethiopia but if they are following Islamic law thats outta question....
Now why are u angry? I said inappropriate because of the nudity pictures Got it Bro?
Huu ni utamaduni wao na wengine wote tunatakiwa kuuheshimu.
ulizaliwa ukaukuta uislamu ila kizazi chako uko nyuma kabla uisalmu haujaingia walikua ivo so hakuna cha ajabu wala kuhukumu mtu,,,
na hata ivo sio waislamu wote tunavaa ushungi/kanzu ni sehemu maalumu tu ndugu!!tuko huru tu wengine[/QUOTE
Now what is ur problem? I was thanking my GOD? Really it got nothing to do with u or anyone else...Jeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez.... I wasnt judging anyone here... I said I thank God I was born a muzlim because if It wasnt the Quran I could have been one of those girls.... u know it is shock and is too sad to see ppl still lives in ignorance despite of all the changes.... those ppl lack education and may be they need help...
I dont know what u r trying to say here because I bet u r a muzlim but u dont walk naked r u now? ...can u sense the difference? unamaanisha nini uko huru? kwani mie ninae vaa hijab nimefungwa? anyhowwwwwww..
Noname umeamua kubadilisha avatar jus becoz of being at loggerheads with somebody in here?...r u that serious pal?ulizaliwa ukaukuta uislamu ila kizazi chako uko nyuma kabla uisalmu haujaingia walikua ivo so hakuna cha ajabu wala kuhukumu mtu,,,
na hata ivo sio waislamu wote tunavaa ushungi/kanzu ni sehemu maalumu tu ndugu!!tuko huru tu wengine[/QUOTE
Now what is ur problem? I was thanking my GOD? Really it got nothing to do with u or anyone else...Jeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez.... I wasnt judging anyone here... I said I thank God I was born a muzlim because if It wasnt the Quran I could have been one of those girls.... u know it is shock and is too sad to see ppl still lives in ignorance despite of all the changes.... those ppl lack education and may be they need help...
I dont know what u r trying to say here because I bet u r a muzlim but u dont walk naked r u now? ...can u sense the difference? unamaanisha nini uko huru? kwani mie ninae vaa hijab nimefungwa? anyhowwwwwww..
Halafu khijab uliyovaa haifuniki vizuri uso wako...utawatamanisha watu saaana hapo!...huh!