Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,207
- 62,266
Angalau waje na mawazo ata ya kupasua kuni tuuze tupate hela ya kutumia.Kwani wakati unawatongoza ulitarajia wakupe nini zaidi ya ngono?
Unataka kulelewa siyo?
Punguza idadi ya michepuko. Bakisha 10 katika hao 11Angalau waje na mawazo ata ya kupasua kuni tuuze tupate hela ya kutumia.
Muhimu ata kama atakuwepo anatakiwa alete wazo la kuzalisha mali, na sio kuwa tegemezi wa kupewa hela tu kwa kisingizio cha kutoa tendo la ndoa.Punguza idadi ya michepuko. Bakisha 10 katika hao 11
Zingatia hili utanishukuru baadaye:Kama hawana cha kunipa zaidi ya tendo la ndoa, nawapiga wote chini.
Huyu akikusigina pumb bahati mbaya lazima ukiri wokovu!Nimemrubuni uyu... Ndio tunatinga gesti mazeee walau na mm nikojoee
View attachment 3582937
Unawaonga wanandoa wenzio ili wakupe tendo la ndio!!?, kwani ulifunganao ndoa bila kulipa maali?Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa?
Nimechoka kuwa mtumwa wa kuhonga honga mali/fedha au kutoa toa huduma zenye gharama kwa mbadala wa kupewa tendo la ndoa tu.
Kama hawana cha kunipa zaidi ya tendo la ndoa, nawapiga wote chini.
Hapo si nitakuwa nimewatendea haki?
Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena.
Seran umeona tairi hiyo 😄Nimemrubuni uyu... Ndio tunatinga gesti mazeee walau na mm nikojoee
View attachment 3582937
Wa hv wanakuaga Watamu 😂Nimemrubuni uyu... Ndio tunatinga gesti mazeee walau na mm nikojoee
View attachment 3582937
Ha ha ha yaani anabembelezea hela....fu*k the genye!!!Utakuwa umepewa mfululizo umekinai, siyo bure.
Subiri ukame urindime wiki nzima uone kama hutahonga, tena kwa kubembeleza
UjasiriamaliKwan na mkeo ana nini cha kukupa kutoa sex?