Utumwa mpya ndani ya Kanisa

Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,305
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,305 2,000
Labda nikuulize.

Wewe unasema hakuna Mungu ni kwa sababu tu hakuna uthibitisho?
Je,wewe una uhakika kuwa ni kweli hakuna Mungu na si vinginevyo?
Licha ya kutokuwa na uthibitisho Mungu yupo.

Habari za kuwapo kwake zina contradiction.

Hapa unaambiwa Mungu anajua yote, mpaka yajayo.

Pale unaambiwa Mungu alivyoumba watu, akaona hajapendezewa na tabia zao, akakasirika na kutaka kughairi , akawapiga gharika.

Sasa huyo Mungu mjuzi wa yote mpaka anataka kughairi kwani hakujua hayo ambayo hakuyaoenda yatatokea?

Kila habari ya kuwepo na Mungu inapoletwa ukiichunguza unaikuta ina contradictions.

Kwa sababu Mungu hayupo.
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
4,865
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
4,865 2,000
Kama ilivyo kwenu ujinga wenu mnauficha kwenye kudai uthibitisho,yani unakuta mtu hata hana uelewa wa kutosha na jambo analopinga ila nae amekariri kudai uthibitisho maana anajua ndio kichaka cha kujifichia.
Kama kudai uthibitisho ni ujinga hivyo utakubali kila kitu unachoambiwa kua ni kweli kwasababu utakua mjinga kudai uthibitisho???

Swala la kudai uthibitisho sio ujinga inategemeana na kwa namna ulivyolitumia ukilitumia vibaya ku force likupe uthibitisho wa visivyopo kua havipo ni lazima ulione lakijinga

Swala la uthibitisho lingekua lakijinga basi hata benk zisingekuwepo, kwasababu watu wangeseza kuchukua mikopo ya mamilion ya pesa bila kuwepo na nyaraka zenye kuthibitisha mali anazomiliki kama dhamana

Ukishajua kuhusu inventions za watu hususani katika finctional characters, utagundua kuamini vitu hivyo kua viko real bila uthibitisho ni ujinga uliopitiliza
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,305
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,305 2,000
Na shetani yupo au hayupo?
Shetani ni hadithi ya upande wa pili wa Mungu, naye ni uongo tu. Hayupo.

Hawa characters wawili wa hadithi tunawasingizia tu.
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
4,865
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
4,865 2,000
Labda nikuulize.

Wewe unasema hakuna Mungu ni kwa sababu tu hakuna uthibitisho?
Je,wewe una uhakika kuwa ni kweli hakuna Mungu na si vinginevyo?
Ni kwasababu ametungwa na watu kama ilivyo batman na harrypotter anabakia kua ni character wa kufikirika tu asiyeweza kuthibitishika nje ya hapo
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,065
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,065 2,000
Licha ya kutokuwa na uthibitisho Mungu yupo.
Habari za kuwapo kwake zina contradiction.
Hapa unaambiwa Mungu anajua yote, mpaka yajayo.
Pale unaambiwa Mungu alivyoumba watu, akaona hajapendezewa na tabia zao, akakasirika na kutaka kughairi , akawapiga gharika.
Sasa huyo Mungu mjuzi wa yote mpaka anataka kughairi kwani hakujua hayo ambayo hakuyaoenda yatatokea?
Kila habari ya kuwepo na Mungu inapoletwa ukiichunguza unaikuta ina contradictions.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Nimekuuliza wewe unasema hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho?unasema habari za kuhusu Mungu zina contradictions,hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions.

Nimekuuliza una uhakika kuwa hakuna Mungu?
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,065
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,065 2,000
Ni kwasababu ametungwa na watu kama ilivyo batman na harrypotter anabakia kua ni character wa kufikirika tu asiyeweza kuthibitishika nje ya hapo
Una uhakika hakuna Mungu?kama unao uhakika je,uhakika wako ni upi?
 
chazy255

chazy255

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Messages
1,113
Points
2,000
chazy255

chazy255

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2016
1,113 2,000
"Mtu huna kazi, huna biashara wala wazo la biashara, huna ujuzi, huna elimu, lakini kila siku unashinda kanisani kumsikiliza Mchungaji anayesema kesho utakua milionea na wewe unasema "Baba napokea/Dady I receive". Huu ni utani"

Mkuu huo si utani, ni upuuzi kiwango cha lami ya ya mambele na siyo bongo.
Hahaha
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
4,865
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
4,865 2,000
Una uhakika hakuna Mungu?kama unao uhakika je,uhakika wako ni upi?
Uhakika ni kwamba mungu hayupo ni stori tu zilizobuniwa na watu na ndio maana hathibitishiki kua yupo nje ya imaginations na personal experiences

Unaweza kuthibitisha mungu yupo ili kupinga uhakika wa kutokuwepo kwake niliokupa???
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,305
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,305 2,000
Nimekuuliza wewe unasema hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho?unasema habari za kuhusu Mungu zina contradictions,hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions.

Nimekuuliza una uhakika kuwa hakuna Mungu?
Habari gani za Magufuli zina contradiction?

Contradiction gani?

Magufuli ni Mungu kwako?
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,065
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,065 2,000
Kama kudai uthibitisho ni ujinga hivyo utakubali kila kitu unachoambiwa kua ni kweli kwasababu utakua mjinga kudai uthibitisho???
Swala la kudai uthibitisho sio ujinga inategemeana na kwa namna ulivyolitumia ukilitumia vibaya ku force likupe uthibitisho wa visivyopo kua havipo ni lazima ulione lakijinga
Swala la uthibitisho lingekua lakijinga basi hata benk zisingekuwepo, kwasababu watu wangeseza kuchukua mikopo ya mamilion ya pesa bila kuwepo na nyaraka zenye kuthibitisha mali anazomiliki kama dhamana
Ukishajua kuhusu inventions za watu hususani katika finctional characters, utagundua kuamini vitu hivyo kua viko real bila uthibitisho ni ujinga uliopitiliza
Ujinga wenu ni pale mnapotumia uthibitisho kama kichanga,unakuta mtu hana hata uelewa kitu anachopinga ila anachojua ni kukimbilia kudai uthibitisho kwa sababu ni kichaka cha kuficha ujinga. Sasa suala uwepo wa Mungu ni imani sasa mtu anaposhikilia kusema hakuna Mungu ndiyo maana watu hawawezi kuthibitisha uwepo wake hapo ndipo unapoona ujinga watu na jinsi gani uthibitisho hutumika kujaribu kuficha huu ujinga.
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,065
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,065 2,000
Habari gani za Magufuli zina contradiction?
Contradiction gani?
Magufuli ni Mungu kwako?
Nimesema hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions,sasa ajabu wewe unayedai hakuna Mungu unaleta hoja za kuwa habari za Mungu zina contradictions sijui unataka ueleweke vp kwa kusema hivyo?
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,065
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,065 2,000
Uhakika ni kwamba mungu hayupo ni stori tu zilizobuniwa na watu na ndio maana hathibitishiki kua yupo nje ya imaginations na personal experiences
Unaweza kuthibitisha mungu yupo ili kupinga uhakika wa kutokuwepo kwake niliokupa???
Hujaeleza huo uhakika wako kuwa kweli hakuna Mungu ni upi? Hata mimi naweza kusema habari za Allien ni story tu za kutunga ila hapo nimesema tu,sasa mimi nataka huo uhakika uliyonao ni upi?
 
Prince az

Prince az

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2018
Messages
1,061
Points
2,000
Prince az

Prince az

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2018
1,061 2,000
Kama sitakuudhi, naomba summary, imenitia uvivu kusoma ni ndefu kusema kweli
Kama umeshindwa kuisoma hapo juu hata nikuelekeze sawa na kazi bure, Kama vipi we copy jinsi ilivyo. 😕😕😕😕😕😕
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,305
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,305 2,000
Nimesema hata habari za Magufuli zaweza kuwa na contradictions,sasa ajabu wewe unayedai hakuna Mungu unaleta hoja za kuwa habari za Mungu zina contradictions sijui unataka ueleweke vp kwa kusema hivyo?
Hujajibu maswali yangu. Magufuli kwako ni Mungu useme kwamba habari za Magufuli zikiwa na contradictions ni sawa na habari za Mungu zikawa na contradictions?

Huelewi kwamba Magufuli habari zake zinaweza kuwa na contradictions kwa sababu yeye muongo tu, au hawezi kuzuia uongo kwenye habari zake.

Mungu wako muongo? Mungu wako hawezi kuzuia uongo kwenye habari zake?
 
wagidi

wagidi

Member
Joined
Jun 14, 2019
Messages
59
Points
125
wagidi

wagidi

Member
Joined Jun 14, 2019
59 125
Ndio maana mimi niliamua kuacha kwenda kanisani kwa ajili ya mambo kama. Haya niliona sisi washirika ndo mitaji ya wachungaji mitume na manabii.. Kanisa ni mimi mwenyewe hekalu ni roho yangu na. Mwili wangu baaada ya Yesu kunifia msalabani aliondoa kiambaza au ukuta uliokuwepo umezuia Mawasiliano yangu na Mungu ila now najiachia mimi mwenyewe kwa Mungu wangu alieniumba moja kwa moja na ananisikia vizuri sio kuibiwa na kutapeliwa na hawa wahuni wajanja wanajiitwa watumishi wa Mungu.
Ni kweli mkuu, lakini biblia inasema tusiache kukutanika pamoja na hata ukiangalia baada ya Yesu kupaa akina Paulo walikua wanakutanika pamoja maana pale mnashare karama na vipawa lkn pia unatakiwa kuwa na kuhani yaan mchungaji wako wa kkuongoza.
Jambo la msingi nakushauri tafuta kanisa la kweli ambalo hawatumii hayo makolokolo na utajua tu kanisa la kweli na uongo. Stay blessed!
 
Forum statistics

Threads 1,336,594
Members 512,670
Posts 32,544,694
Top