MAKANISA YOTE YA KILOKOLE NI WATUMISHI WA SHETANI 100%

(Mathayo 24 )
------------
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
USHAHIDI HUU HAPA

HAWA NDIO WATOTO MAMA WA MAKAHABA YAANI 666 KUTOKA KWA ROMANI KATOLIKI
(Ufunuo 17 )
------------
3 Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.
4 Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.
5 Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
6 Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.
7 Na yule malaika akaniambia, Kwani kustaajabu? Nitakuambia siri ya mwanamke huyu, na ya mnyama huyu amchukuaye, mwenye vile vichwa saba na zile pembe kumi.
WATOTO HAWA WA MAMA WA MAKAHABA HUOMBA TU WASAJILIWE NA SERIKALI JINA LA KRISTO LAKINI NI WATUMISHI WA SHETANI WOTE

(Isaya 4: 1)"Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu."
1. Pentekost churches(Kanisa la pentekoste)
2. Assembies of God churches.(EATG/TAG)
3. Full Gospel Churches ( Kanisa la kakobe )
4. Charismatic churches(Kanisa la Kristo )
5. World movement churches(Kanisa la mabadiliko ya Dunia)
6. Kingdom Churches(Kanisa la kifalme )
7. New Apostolic Churches( Kanisa la mitume la kileo)
8. Tprophetic Churches.(Kanisa la manabii walioungana)
9: UFUFUO na Uzima (Kanisa la Gwajima)
MADHEHEBU HAYO JUU HUMPA NGUVU MNYAMA YAANI (SHETANI ILI ATAWALE KWA KUPITIA SANAMU YAKE KWA WATU WASIOIFUATA KWELI )

(Ufunuo 17 )
13 Hawa wana shauri moja, nao wampa yule mnyama nguvu zao na mamlaka yao.
14 Hawa watafanya vita na Mwana-Kondoo, na Mwana Kondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme, na hao walio pamoja naye ndio walioitwa, na wateule, na waaminifu.

MAKANISA HAYO NI roho ZA SHETANI NA MAPEPO

(Ufunuo 16 )
------------
13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

MAKANISA YAO WAMEKUWA SACCOS ZA KUKUSANYIA PESA BADALA YA KUFUNDISHA KWELI YA NENO LA MUNGU
Matayo 10:8-9
8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala mapesa mishipini mwenu;
MFANO WA SACCOS MAKANISANI HIZI HAPA
KUMUONA NABII/MTUME. TSH 250000/=
KUOMBA NA NABII/MTUME. TSH 100000/=
MAJI YA UPATAKO. TSH 10000/=
MAFUTA YA UPAKO. TSH 15000/=
CHUMVI YA UPAKO. TSH 5000
PETE YA KUTOLEA MAPEPO. TSH 1, 000,000/=
LESSO YA UPAKO. TSH 5000/=
NABII /MTUME KUHUBIRI = TSH 290000/=
----------------------------------------

HAO WACHUNGAJI, MANABII, MITUME WANAKUSANYA TU SADAKA NA ZAKA HUKU WAKIZIKATAA AMRI 10 ZA MUNGU NDIYO MBWA-MWITU WAKALI WAMEVALIA NGOZI YA KONDOO TU KWA USONI LAKINI NI WABAYA MNO HAWAFAI KWA KILA TENDO JEMA LA MUNGU

Matendo 20:28-30
28 Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
29 Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi;
30 tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao.

Tito1:16 Wanakiri ya kwamba wanamjua Mungu, bali kwa matendo yao wanamkana; ni wenye machukizo, waasi, wala kwa kila tendo jema hawafai.
------------------------------------

HAWA WACHUNGAJI, MANABII, MITUME, NA WAINJISTI WAONGO WAMEJIINGIZA KWA SIRI SIRI MAKANISANI ILI KUWATEKA WATU WA MUNGU
2Timotheo 3:6-10
6 Kwa maana katika hao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu, na kuchukua mateka wanawake wajinga wenye mizigo ya dhambi, waliochukuliwa na tamaa za namna nyingi;
7 wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
8 Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapingana na ile kweli; ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.
9 Lakini hawataendelea sana; maana upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama vile na upumbavu wa hao ulivyokuwa dhahiri.
10 Bali wewe umeyafuata mafundisho yangu, na mwenendo wangu, na makusudi yangu, na imani, na uvumilivu,

KAZI YAO NI KUWAPOTEZA KONDOO WA MUNGU KUTOKA KILIMA HADI KILIMA ILI KONDOO WASAHAU NYUMBANI KWAO ILI WAWALE VIZURI
Yeremia 50:6-7
6 Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea, wachungaji wao wamewapoteza; wamewapotosha milimani; wamekwenda toka mlima hata kilima, wamesahau mahali pao pa kupumzika.
7 Watu wote waliowaona wamewala; na adui zao walisema, Sisi hatuna hatia, kwa kuwa hao wametenda dhambi juu ya BWANA, aliye kao la haki, yaani, BWANA, tumaini la baba zao.
------------------------------------

WACHUNGAJI, MANABII NA,WAINJISTI, MITUME HAWA HAWASHIBI KAMWE NA NDIYO WACHUNGAJI WASIOWEZA KUFAHAMU NENO LA MUNGU KWA ILE KWELI
Isaya 56:10-12
10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto, hulala, hupenda usingizi.
11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote.
12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi.
------------------------------------------
WALOKOLE MNATANGANYA KUWA YESU KRISTO ALIFUZIFUTA AMRI ZOTE KUMI NA ALIITAKASA NGURUWE

(Mathayo 5 )
------------
17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin,
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
HAKUNA ANDIKO LINASEMA NGURUWE NI CHAKULA KUANZIA MWANZO HADI UFUNUO, MAANA KAMA NGURUWE NI CHAKULA BASI NA POMBE NI HALALI KUNYWENI WALOKOLE KWA NINI MBAGUE HIKI HAPANA HIKI SAWA

(Yakobo 2 )
------------
10 Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote.
11 Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria.

(Isaya 66 )
------------
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
WATU WENGI WANA FUATA roho ZA KILOKOLE ZENYE MASHETANI

1Timotheo 4:1"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;"
WALOKOLE MNAJIFANYA KILA NABII AU MTUME AU MCHUNGAJI NA KANISA LAKE KWA KUPIGANIA MIUJIZA ZA MASHETANI
(2Timotheo 4 )
------------
3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
SHETANI AMEKUWA MKUU KWA WALOKOLE WOTE
(2Wakorintho 11 )
------------
13 Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
15 Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
YESU KASEMA MFUATE AMRI 10 NA KUMKIRI LAKINI MMEZIKATA KWA KUFUATA MIUJIZA YA MASHETANI MAKANISA KWENU

(Yohana 14 )
15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.
WALOKOLE WOTE MMEKATAA YESU KRISTO KUWA KUFUATA MAPOKEO YA MNYAMA 666 (UFUNUO 13:15-18)
(Marko7 )
------------
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.

(Ufunuo 13 )
------------
13 Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu.
14 Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.
15 Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.


YESU KRISTO ALISALI SABATO MITUME WALISALI WOTE SABA NA MANABII WALISALI SABATO

YESU KRISTO ALISALI SABATO YAKE NA YEYE NDIYE SABATO
(Luka 4 )
------------
14 Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akenda Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando.
15 Naye alikuwa akifundisha katika masinagogi yao, akitukuzwa na watu wote.
16 Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.

(Marko 2 )
------------
27 Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.
28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.

MITUME WOTE WALISALI SABATO YA MUNGU

(Matendo 17 )
------------
1 Wakiisha kupita kati ya Amfipoli na Apolonia wakafika Thesalonike, ambapo palikuwa na sinagogi la Wayahudi.
2 Na Paulo, kama ilivyokuwa desturi yake, akaingia mle walimo, akahojiana nao kwa maneno ya maandiko sabato tatu,
3 akiyafunua na kuwaeleza ya kwamba ilimpasa Kristo kuteswa, na kufufuka katika wafu; na ya kwamba, Yesu huyu ninayewapasha ninyi habari zake ndiye Kristo.

(Matendo 16 )
------------
13 Hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale.
14 Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo.

MANABII WOTE WALISALI SABATO

Isaya 58:13 "Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe;"

(Kutoka 20 )
------------
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
MUNGU ALITUNZA SABATO YAKE WEWE UNAMFUATA NANI?

(Mwanzo 2 )
------------
2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
3 Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.

WALOKOLE MNALIITIA JINA LA BWANA BURE MAANA MMEKATAA YESU KRISTO KWA KUFUATA MIUJIZA YA MASHETANI

1Yohana 2:4 "Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake."

(Mathayo 7 )
------------
21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
ONYO KALI KWA WALOKOLE WOTE NYINYI NI MIMBA YENYE HATARI NA MAWIMBI YA BAHARI YATOAYO AIBU KATIKA UTUMISHI WA MUNGU

(Yuda 1 )
------------
10 Lakini watu hawa huyatukana mambo wasiyoyajua, na mambo wayatambuayo kwa asili wajiharibu kwayo kama wanyama wasio na akili.
11 Ole wao! Kwa sababu walikwenda katika njia ya Kaini, na kulifuata kosa la Balaamu pasipo kujizuia, kwa ajili ya ujira, nao wameangamia katika maasi ya Kora.
12 Watu hawa ni miamba yenye hatari katika karamu zenu za upendo walapo karamu pamoja nanyi, wakijilisha pasipo hofu; ni mawingu yasiyo na maji, yachukuliwayo na upepo; ni miti iliyopukutika, isiyo na matunda, iliyokufa mara mbili, na kung'olewa kabisa;
13 ni mawimbi ya bahari yasiyozuilika, yakitoa aibu yao wenyewe kama povu; ni nyota zipoteazo, ambao weusi wa giza ndio akiba yao waliowekewa milele.
View attachment 1206047View attachment 1206048View attachment 1206049View attachment 1206050View attachment 1206051View attachment 1206052