Utumwa mpya ndani ya Kanisa

Utumwa mpya ndani ya Kanisa

Mmoja wa wanafunzi wake akamuuliza
"Mwalimu Je, hukupanda ngano iliyosafi , sasa mbona kuna magugu ndani yake ?" Masihi akajibu "Ni yule adui aliyepanda magugu haya uyaonayo "

Mwanafunzi akasema "Na tufanyeje basi , au tuyang'oe magugu na ibakie ngano " ?

Masihi kwa kushangaza akasema lahasha acha vyote ngano na magugu viote kwa pamoja , wakati wa mavuno ndipo ngano itatenganishwa na magugu " .

Utumwa unaousema hauepukiki mtoa mada , ndivyo mambo yalivyo tabiliwa kuwa . Mimi sishangai kwayo .

Pia ukisoma ufunuo walaka wa Yohana kwa Kanisa la Leodekia hutashangaa pia .Mambo yalipangwa ama kutabiliwa yawe hivyo .

THIS IS SPIRITUAL BATTLE , ONLY MEN OF GOD KNOWS THIS . HIVYO UBEBE MSALABA WAKO NA UJIKANE MWENYEWE

KWELI UMEIJUA HIVYO ITUMIE IKUWEKE HURU .
 
nakupa mfano mdogo tu kama mungu yupo: hilo wingu la mvua linalotanda juu unajua lina tani ngapi ya maji? je kwa nini hata siku moja wingu la mvua lisiangushe maji yake yote kwa mara mmoja ? na likiangusha kwa mara moja hakuna binadamu atabaki hai na wanyama na mimea. kwa hiyo mungu huiteremsha mvua kwa utaratibu ili wewe usie mjua mungu umkumbuke kama yupo, mimea inapata uhai ndege wanyama. wewe usiemjua mungu kiranga mbingu imeumbwa na nani au nani kaitengeneza ? haina hata nguzo za kushikilia mbingu unafikiri imekuja yenyewe? nani analipeleka jua kutoka mashariki kwenda magharibi ni mzungu? sasa wewe nenda kalizuie au wewe litoe magharibi liende mashariki, kaa ukijua mungu yupo . ipo siku utamtaja mungu ukiwa wodi ya mwaisela na baada ya muda utamuona atakwambia mimi ndie mungu niliyekuumba ,
Kwanza kabisa, kutokujua wingu la mvua lina tani ngapi kunaonesha Mungu yupo?
 
Unaona sasa unajichanganya,nimetoka kukwambia kuwa kitu kinaweza kisiwepo lakini kikawa hakina maelezo yenye contradiction sasa ajabu wewe unaniambia niondoe contradiction et ndio njia ya kuonesha kipo,sasa kinakuwepo vp hicho kitu kwa kuondoa tu maelezo yenye contradictions? Kwanza unachochanganya hapa ni uwepo /kutokuwepo kwa kitu na maelezo yenye contradiction kuhusu hicho kitu na ndiyo maana nikakwambia kunaweza kuwa na maelezo yenye contradictions kuhusu Mugufuli huyu huyu unayemjua ambaye yupo kiuhalisia.

Hueleweki Mungu hayupo au kuna maelezo yenye contradictions kumuhusu Mungu?
Kitu kinaweza kuwepo na kuwa cha ukweli kikaonekana kina contradiction. Labda kwa sababu hatujakielewa vizuri tu.

Kitu kinaweza kuwa na contradiction kwa sababu hakipo na si cha kweli.

Ukiona kitu kina contradiction, utajuaje hiki kitu kina contradiction lakini kipo, na si kwamba kina contradiction kwa sababu hakipo?
 
Hapana ndugu,hata hivyo hao wanaowatumainisha watu vitu mfano "mafuta" badala ya "Neno la Mungu" walitabiriwa kutokea na wasipotubu Mungu atawalipa sawasawa na matendo.Shikamana na Kristo Yesu,dini waachie waasisi wake.
Na wewe unauza mafuta ya upako?
 
Kitu kinaweza kuwepo na kuwa cha ukweli kikaonekana kina contradiction. Labda kwa sababu hatujakielewa vizuri tu.
Kitu kinaweza kuwa na contradiction kwa sababu hakipo na si cha kweli.
Ukiona kitu kina contradiction, utajuaje hiki kitu kina contradiction lakini kipo, na si kwamba kina contradiction kwa sababu hakipo?
Uwepo au kutokuwepo kwa kitu ni jambo moja na maelezo yenye contradiction ni jambo lengine,kutokuwepo kwa kitu si kwamba ndio sababu ya kuwepo maelezo yenye contradiction kiasi cha tutumie hizo contradictions kama jibu la kuwa hicho kitu hakipo. Kwahiyo kama wewe unajua hakuna Mungu basi ueleze ni vp hakuyupo na kuleta hoja ya contradiction kwa sababu yawezekana kuna hujaelewa vizuri.
 
Unaelewa kwamba swali nililokuuliza hujajibu na kama unajibu kitu sijakuuliza.

Narudia.

1. Inawezekana kitu kikawepo, kikawa cha kweli, ila maelezo yake yakawa na contradiction, kwa sababu hatujaelewa tu kilivyo kweli.

2. Inawezekana kitu kikawa hakipo, habari z akuwapo kwake zikawa uongo, maelezo ya kuwapo kwake yakawa na contradiction kutokana na kwamba habari ni za uongo.

Hapo tumeona kitu cha kweli kinaweza kuwa na maelezo ya contradiction, na kitu cha uongo kinaweza kuwa na maelezo ya contradiction.

Mpaka hapo nimesha accommodate main point yako kwamba, si lazima maelezo yenye contradiction yaoneshe kitu ni uongo/ hakipo.

Kwa hivyo tusibishane kuhusu point hii, kwa sababu hakuna cha kubishania, wote tushaikubali, huna haja ya kuitaja tena.

Uitaje tena kwa nini wakati wote tushakubaliana?

Sasa, baada ya kukubaliana hivyo, tuendeleze mjadala.

Ukiona sehemu jambo lina maelezo yenye contradiction, utajuaje contradiction hiyo inatokana na jambo kuwa la uongo/ halipo au jambo lipo, ni la ukweli, contradiction inaonekana kuwapo kwa kuwa hatujaelewa kitu tu?

Hujajibu swali hili.

Unarudia mambo ambayo hatujabishana.

Badala ya kujibu tulipohitilafiana ili tupatengeneze, kwenye mjadala, unajibu pasipo na mjadala!
 
Nimetoka kujibu kuwa hata kama jambo halipo na kukawa na maelezo yenye contradictions haina maana kuwa kutokuwepo kwa hilo jambo ndio sababu ya kuwepo maelezo yenye contradiction,sasa wewe unakuja kuniuliza tena nitajuaje kuwa contradiction hiyo kama ni kutokuwepo kwa hilo jambo. Sijui kwanini umejikita kwenye suala maelezo yenye contradiction wakati navyojua contradiction inaonesha tu kuwa hayo maelezo hayawezi kuwa kweli. Sasa ikiwa hilo jambo halipo,si la kweli au kuna mahali hapajaelekweka tu hilo ni suala lengine.

Ndio maana nakwambia kama wewe unajua hakuna Mungu basi unapaswa kueleza ni vp hakuna Mungu ila kuishia kusema tu maelezo yenye kuhusu Mungu yana contradictions inaweza kuwa kuna mahali hapajafahamika tu vizuri.
 
Hujaeleza unataka ushahidi gani.

Naweza kukwambia kutaka kwako ushahidi ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwepo kila mtu angemjua yupo na kusingekuwa na mtu anayetaka kupewa ushahidi kwa mwengine kwamba Mungu hayupo.
Una uhakika kila mtu haamini Kuwa Mungu hayupo?
 
Nimetoka kujibu kuwa hata kama jambo halipo na kukawa na maelezo yenye contradictions haina maana kuwa kutokuwepo kwa hilo jambo ndio sababu ya kuwepo maelezo yenye contradiction,sasa wewe unakuja kuniuliza tena nitajuaje kuwa contradiction hiyo kama ni kutokuwepo kwa hilo jambo. Sijui kwanini umejikita kwenye suala maelezo yenye contradiction wakati navyojua contradiction inaonesha tu kuwa hayo maelezo hayawezi kuwa kweli. Sasa ikiwa hilo jambo halipo,si la kweli au kuna mahali hapajaelekweka tu hilo ni suala lengine.

Ndio maana nakwambia kama wewe unajua hakuna Mungu basi unapaswa kueleza ni vp hakuna Mungu ila kuishia kusema tu maelezo yenye kuhusu Mungu yana contradictions inaweza kuwa kuna mahali hapajafahamika tu vizuri.
Ngoja nikuulize swali rahisi.

Unajuaje hii habari ni ya kweli na hii ni ya uongo?
 
Hebu ngonja,inaonesha kuna kitu unataka kukieleza ila kama unazunguka sana kwa kubadilisha maswali tu,hebu eleza unachotaka kukieleza ueleweke.
 
Nikiuliza maswali complex unashindwa kufuatilia logic.

Nikiuliza maswali simple unayakimbia.

Unajuaje huu ni uongo na huu ni ukweli?
 
Its an Opium of the mass without which chaos might erupt especially within a society with high inequalities..
 
Back
Top Bottom