LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,958
- 41,563
Mada nyingi huzungumzia ukristo na wakristo katika udhaifu wa kiimani, zaidi kwa walokole na ulokole. Hivi uislam, ukatoliki na dini zingine hazina udhaifu? Huko huko kunakoelekezewa shutuma wala waumini wake hawafundishwi kuamini mafuta, maji na chumvi kuwa vinaleta mafanikio, ni matapeli tu ndiyo yalijiingiza kwenye ulokole kwa kuwa walokole ni wapole hawezi kuchukua hatua kali kuwaadhibu hao matapeli yanayopumbaza watu. Mbona kwa uislam hawajaribu kujiingiza huko ingawa huko nako wameaza yaleyale ya mafuta ya upako taratibu watazoeana. Kwa kifupi matapeli yapo kila imani na dini