nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
haa haa huyo ndo rais wa wanyonge. tucta ifutwe.
Una Akili ndogo wwHa ha ha haaaaa,,, sisi matumishi ya umma nyoko zetu wacha tukome!! Tena namwomba Rais aangalie hata uwezekano wa kupunguza mishahara, kuna watu na vi-diploma na vi-cheti wanachukua mpaka milioni na ushee, huu mshahara sio wao kwa kweli. Mwenye diploma na certificate walipwe laki 3 tu zinawatosha hata kama amaekaa muda mrefu kazini. Punguza mshahara baba huu umewazidi kimo hawa!! Kwa jinsi mitumishi ya umma ilivyombumbu 2019 itaongezwa elfu 20 itapiga kelele za kushangilia hiyoooo!!! Nyoko kabisa wacha tukomeeeee!! Magu,, tunyoooooooshe baba mpaka tushike adabu!!
Ha ha ha haaaa,, jiwe limekupata na ka diploma kako!!Una Akili ndogo ww
Post sent using JamiiForums mobile app
Naskia maganda ya korosho huwa yanatumika kutengenezea ngongoJk dhaifu tunakukumbuka baba pamoja na udhaifu wako.
Kuna tofauti kubwa kati ya mchumi na mtaalam wa maganda ya korosho.
Tunaishi kwa mshahara uleule uliotuachia 2014
usiwaamini wanasiasa. uwongo na ghiliba ndo ngao yao kuu.Watu walikuwa na matumaini mwezi huu mambo yatakuwa mazuri, sasa itakuwa balaa zaidi
Post sent using JamiiForums mobile app
hhhhhaaahha wale huwa wanapewa kupitia hazina yao tofauti na wenzao. Na hata ule wimbo wa kuisoma namba nadhani hauwahusuhili tamko la ndumbaro linawahusu wale wanaotaka rais aongezewe muda wa kuhudumu au hawapo?
Nilipoajiriwa tu nikasikia ili uwe mwanachama was chama cha wafanyakazi sharti ujaze form,basi me mpaka Leo nazikwepa tu form zao sina mpango nazo maana hawaonyeshi kuwa na msaada.Kuna haja ya kuendelea kuwa na kina TUCTA?piga chini
Nilipoajiriwa tu nikasikia ili uwe mwanachama was chama cha wafanyakazi sharti ujaze form,basi me mpaka Leo nazikwepa tu form zao sina mpango nazo maana hawaonyeshi kuwa na msaada.
mleta uzi umepotosha, nyongeza ya mshahara(annual inrement) ipo, ila mabadiliko ya mishahara ndio yanafanyiwa mchakato. zimebak cku chache utaumbuka mwenyewe, ucje anza kuhamisha magori.
umejibu kwa ujasiri sana unauhakika ndugu???
tutoe hofu basi
Umesema ni mchakato mrefu saea. Kwani umeanza jana? Usipotoshe maana humo serekalini wamo watumoshi ambao kazi yao ni hiyo ya kuuchakata huo mchakato.Watumishi wa umma mnalialia nini? Serikali kwa sasa inajikongoja kutafuta vyanzo vya mapato na kuimarisha uchumi wa ndani. Muungeni mkono rais, bila shaka hapo baadae mtanufaika. Besides, kuongeza mshahara kwa wafanyakazi wote nchini ni mchakato mrefu, si kuamka tu kesho mnajaziwa fedha