UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

we ukija ninapofanya kazi nakupiga sindano unapitiliza

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa akili hiyo unastahili mshahara kiduchu.
Ukistaafu njoo nikuajiri uwe mlinzi wa ghala langu la kuhifadhia nafaka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Dr.Ndumbaro amesema nyongeza ya mshahara iliyotangazwa na rais haitaongezwa kwa sasa kwa kuwa bado inafanyiwa kazi.

Katibu Mkuu alizungumza haya wakati anatoa ufafanuzi juu ya kurejeshwa kazini kwa watumishi waliokata rufaa kutokana na vyeti feki.

MY TAKE
Watumishi wa umma muungeni mkono Rais kwa kufanya kazi, kulilia nyongeza ya mshahara ni kumkwamisha Rais kutumikia watanzania masikini (Natania tu)

Acha kuigombanisha serikali na watumishi wake!
 
Kwa akili hiyo unastahili mshahara kiduchu.
Ukistaafu njoo nikuajiri uwe mlinzi wa ghala langu la kuhifadhia nafaka

Post sent using JamiiForums mobile app
wewe nakupiga sindano nywele zimanyonyoka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Picha ndio kwaanza linaanza,Piga kazi mtumishi....Piga kazi,hapa kazi kazi tu.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
hatunywi sumu hatujinyongi ____mbele kwa mbele. Kaza kamba baba kaza mpaka kamba ikatike

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mje huku tulime.hela za kumwaga.ardhi ya kijani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ndo maajabu ya nchi hii,kuna haja ya kutenga siku watanzania wote tuwaombee viongozi hawa wa ccm watangulie mbele za haki maana hakuna namna mnamuombea mtu halafu anawakazia sijui anatakaje!!
mkuu umenipasua mbavu
 
nguvu na matumaini ya watumishi kwisha.sitegemei matokeo mazur std 7 na form 4,and hope soon afya watakinukisha #UKICHAGUAHOVYO-UTAPATAHOVYO-TUKUTANE-2020
 
FKKU nimeipenda maana hakuna namna. Kila kukicha ni matamko na nahisi hakuna Mkubwa wala mdogo katika hii serikali wote ni jamii ya kambale. Maana mkulu kasema mzigo oya oyaa halafu wa chini anasema bado. Duh maajabu ya nchi yetu hayaishi kwa kweli.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Fanyeni kazi kwa mshahara huo huo ninyi watumishi wa umma msioweza kujiajiri.
Magufuli usiongezea mshahara peleka fedha kwenye reli ya kisasa na bwawa la umeme la Rufiji.
Usibabaishwe na wafanyakazi wako hata usipoongeza mshahara hawana pa kwenda watabaki kulia lia mpaka wanastaafu.

Post sent using JamiiForums mobile app
Akili ndogo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom