Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!

Kuna baadhi ya Mafisadi watetea Mafisadi wenzao ambao kwa kila fisadi anayetumbuliwa wanajitokeza kumtetea na kumkingia kifua, sasa tuseme Mafisadi wameonewa kwa kutumbuliwa, So what?
 
Labda Kuna Upande Unachukiwa Kwa Kasi!

So watu kila sababu inawafanya kuzidi kuwachukia tu!

Hii ngoma imevuma mno ...
 
Kuna baadhi ya Mafisadi watetea Mafisadi wenzao ambao kwa kila fisadi anayetumbuliwa wanajitokeza kumtetea na kumkingia kifua, sasa tuseme Mafisadi wameonewa kwa kutumbuliwa, So what? fvck you!
Hahaha..... F word..... Tumia lugha ya kistaarabu mkuu...... Vijimambo vidogo sana hivi, vinakuja na kupita... Muulize mzee Wassira

Btw.....hao wezi wameiba nini?
Na kwanini wasifunguliwe case mara moja kwenye ile mahakama yetu ya mafisadi?
 
Yani eti mwanasiasa hajasomea udaktari,ualimu,ukandarasi halafu anaibuka kutoka Lumumba huko anapiga kelele,na kumwondoa mtu ktk kazi yake.
Ni ujinga wa kupitiliza na tabia hii ikome ikome ikomeee.
Jamaa zangu wa JF. Kwanza kinacho fanyika sasa ni kisasi kati ya. Serikali ilyopita na ya sasa. Pia kuna lundi dogo la watu wanataka kujiingiza kwenye. Serikali ili baadae nao wajiafaidie. Hii ni hatar kubwa
 
Wanabodi,

Hili ni angalizo tuu kuhusu utumbuaji majipu wa rais Magufuli, sio kila mtumbuliwa ni jipu, wengine wanatumbuliwa kwa circumstances tuu, wengine wanatumbuliwa for political capitalisation tuu na wengine kweli ni majipu hivyo wanatumbuliwa kihalali.

Hili la kuwatumbua watu maprofession tena wenye weledi wa hali ya juu katika professionals zao for political capitalization, ni udhalilishaji wa hali ya juu wa professional za watu.

Nasisitiza Tanzania ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tuwe wakweli kwa kuacha kuingiza siasa kwenye taaluma za watu

Ili Tanzania tuweze kupiga hatua za kweli za maendeleo na kusonga mbele ni kwanza lazima tuwe wakweli, na pili tuache siasa kwenye kila kitu! .

Let's stop politicizing everything, politicians do politics and leave professionals Alone! .
Heri ya Mwaka Mpya.
Paskali
Tetesi: - Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.
Magufuli kiboko!.
Any way, Kabudi ni jembe, na Mwakyembe ni mwanahabari.
Jina la Nape limeandikwa kwenye kitabu cha majina ya mashujaa wa taifa hili, na uwaziri sio kitu mbele ya karma!.
Niko very bitter, and take it from me, karma will take its toll sooner than letter!.
Paskali
 
Wanabodi,

Hili ni angalizo tuu kuhusu utumbuaji majipu wa rais Magufuli, sio kila mtumbuliwa ni jipu, wengine wanatumbuliwa kwa circumstances tuu, wengine wanatumbuliwa for political capitalisation tuu na wengine kweli ni majipu hivyo wanatumbuliwa kihalali.

Hili la kuwatumbua watu maprofession tena wenye weledi wa hali ya juu katika professionals zao for political capitalization, ni udhalilishaji wa hali ya juu wa professional za watu.

Hii ni kufuatia tetesi ya utumbuaji mwingine wa maprofessionals unaotarajiwa kufanywa na Mhe. rais any moment from now.

Nasisitiza Tanzania ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima kwanza tujenge mifumo, systems, ukimess unajitumbua mwenyewe wala huna haja ya kusubiri kutumbuliwa!. Lazima tuwe wakweli kwa kuacha kuingiza siasa kwenye taaluma za watu, kama gharama za uzalishaji umeme per unit ni Kubwa kuliko tozo ya umeme, ukweli ni kwamba umeme lazima upende bei tutake tusitake, hili la Tanesco kuendelea kulishwa kwa spoon feed na serikali huku ikilazimishwa kuuza umeme kwa bei ya hasara, sio sustainable na ni short lived! .

Ili Tanzania tuweze kupiga hatua za kweli za maendeleo na kusonga mbele ni kwanza lazima tujenge mifumo, tuwe wakweli, na pili tuache siasa kwenye kila kitu! .

Let's stop politicizing everything, politicians do politics and leave professionals Alone! .
Heri ya Mwaka Mpya.
Paskali
Naunga mkono utumbuaji wowote wa leo!.

P.
 
Mbona Tayali kashagalagazwa
424239e735ba5a617aa8521074f31bbb.jpg
 
Wanabodi,

Hili ni angalizo tuu kuhusu utumbuaji majipu wa rais Magufuli, sio kila mtumbuliwa ni jipu, wengine wanatumbuliwa kwa circumstances tuu, wengine wanatumbuliwa for political capitalisation tuu na wengine kweli ni majipu hivyo wanastahili kutumbuliwa na wanatumbuliwa kihalali.

Hili la kuwatumbua watu maprofession tena wenye weledi wa hali ya juu katika professionals zao, hawakuomba kuteuliwa bali mteuzi ameona wanafaa kumsaidia, ikifika mahali mteuzi akaona hawamsaidii kama alivyodhani, then ni busara kuwarejesha kwa heshima, kule alikowatoa na sio kuwadhalilisha na kuwatumbua for political capitalization tuu kwa kuwafanya ni mbuzi au kondoo wa kafara, (the sacrificial lambs), au kuwafanya "bangusilio". Huku sio kuwatendea haki!, ni udhalilishaji wa hali ya juu wa professional za watu!.
Paskali
Nafanya tuu rejea ya utumbuaji fulani wa hivi karibuni, people have wrong notion kuhusu utumbuaji, unaoandamana na negativity fulani kuwa kila mtumbuliwa ni jipu. Ukweli ni kuwa sii kweli kwamba kila mtumbuliwa ni lazima awe jipu, kuna baadhi ya watumbuliwa, wanatumbuliwa sio kwa sababu ni majipu, bali wanatumbuliwa kwa kutokubali kuziendesha taasisi zao kimajipu majipu!.

Mfano just imagine issue kama ya Kagoda, wanene wameisha amua kuchota hazina yetu BOT, ili kukisaidia chama chetu na mgombea wetu, mwenye nchi kakubali, usalama wamekubali, waziri kakubali, katibu mkuu kakubali, mtu wa mwisho ni wewe mkuu wa taasisi husika ya kuchotea huo mpunga, halafu unawagomea kwa sababu sio utaratibu na hakuna kitu kama hicho, unategemea utafanywa nini?.

Pascal samahani huyo Kagoda ni nani?
 
Mayalla
Huku Nchi za dunia ya tatu ni kazi kweli kweli.

Na ukikubali mpunga uchotwe, badaye likibuma
Inabidi ukubali kutangazwa "kufa" na kupewa "mwonekano" mpya na kuhamia kwenye "visiwa".

Dunia ya kwanza, Ethics na integrity zina prevail sana
Ubwanyenye wa Viongoz umewekewa check and balance....
 
Wanabodi,

Hili ni angalizo tuu kuhusu utumbuaji majipu wa rais Magufuli, sio kila mtumbuliwa ni jipu, wengine wanatumbuliwa kwa circumstances tuu, wengine wanatumbuliwa for political capitalisation tuu na wengine kweli ni majipu hivyo wanastahili kutumbuliwa na wanatumbuliwa kihalali.
Paskali
Hapa wandugu ni katika kukumbushana tuu, sio kila mtumbuliwa ni jipu. Kuna utumbuaji umefanyika leo, mmoja wa watumbuliwa hawa sio, jipu
P.
 
Back
Top Bottom