Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!

Watanzania wengi akili zetu zimekaa upande upande sana, that why inakuwa rahisi kuchezewa chezewa na cheap propaganda.
Tunakulupuka kulupuka sana, mtu asiambiwe kitu bila hata kukichunguza kasharuka nacho. Mwanaharakati ambe yupo smart kichwani walau mange, mara chache sana kukuta anakulupuka na info za kuokoteza
Kweli kabisa Mange uwa hakurupuki kama huyo Hilda ziirooo kabisa
 
Sasa kama mnajua kilichojiri si mtoboe siri tu? Code code za nini wakati ukweli mmeishaujua? Au mnasubiri confirmation na breaking news?
 
Sasa kama mnajua kilichojiri si mtoboe siri tu? Code code za nini wakati ukweli mmeishaujua? Au mnasubiri confirmation na breaking news?
Bora na wewe uwaseme,code code.fungukeni mtu kakata kamba nitafte ten ya kvant kubwa na buku teni ya nyama niinjoy
 
Leta ubuyuu
A candle lights the way home, brings memories of l.jpeg
 
Back
Top Bottom