Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!

Du! Naona umepanic sana. ndio hivyo sasa imeshakuwa kama hutaki mez vipande ya chupa
Mkuu naweza kua nisibabaishwe sana na yeye ku demise, ila nawaza huyo "generali muhozi" wetu nae, familia, haya mchekacheka ovyo, vipi kuhusu na watu weupe kujazana kwenye maeneo nyeti ya nchi na kiserikali...wanaondokaje
 
Hili jambo ni la muhimu kuliko lililosikika Leo ila asili Ina nguvu kuliko kiumbe chochote
 
Unaweza kulishwa tangopori mara mbili au tatu..

Lakini ya nne, walisha matango pori hao, huyala wao wenyewe na kila kitu kinafunuka na kuwa kweli tupu..

Amedanganywa na machawa (mapepo & majini) akadanganyika, sasa amejimaliza mwenyewe..

Haleluya...!!

Shangilieni enyi mkaao katika nchi maana Mfalme wa utukufu, ametenda makuu. Amina🙏🙏🙏

View: https://youtu.be/2E38RiuC-bk?si=OVPdxsZhKWtYOQci

Kaoneka anaongea na Sheikh fulani wa kiarabu.
 
Back
Top Bottom