Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 50,669
- 40,834
Zaburi 23:1Wote tuseme Amina, hakika Mungu si Athumani, hatimaye amejibu kwa haraka sana hadi inashangaza!
Wafilipi 4:4
"Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu"
Tunasonga mbele kwa uhakika kwasababu ya Mungu gentleman.
In fact ni kwa Neema tu hatukwami.🌹
