Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,297
- 16,737
....nasema tena furahiniFurahini katika bwana siku zote
....nasema tena furahiniFurahini katika bwana siku zote
Hata Magu ilikuwa hivi hivi...Kama yupo njema ajitokeze hadharaniMsimuamini Hilda Newton
tangu jana wala ugali hatuelewi code zimekuwa nyingi. Wenye D moja tupeni habari kamili nini kimejiri?Hii code hata sijaielewa!
Nasema Furahini..Furahini katika bwana siku zote
Toa ki,nyeo kilichochakazwa na abdul usiku kucha...Hakuna chawa ambaye ni mzima huko nyuma... rubbish... Ma.la.ya la tunguu liko wapi.. lijitokeze hadharani.hiyo ni porojo ya kutafuta kiki na public sympathy gentleman![]()
relax gentleman, punguza mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi 🐒Toka ki,nyeo kilichochakazwa na abdul usiku kucha...Hakuna chawa mabaye ni mzima hukonyuma... rubbish
Mtume Kuna kitu kimetokea!! Nin?Jamani nini tena kimetokea huko... Ndio maana toka jana nina raha sana
Rubbish..relax gentleman, punguza mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
Kama ni kweli utalia mpaka utoe machozi ya majivu sis wenzako ndo kwetu sherehe.relax gentleman, punguza mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
kama mtu wa imani thabiti siwezi kubabaika na porojo nonsense kama hizo gentleman 🐒Kama ni kweli utalia mpaka utoe machozi ya majivu sis wenzako ndo kwetu sherehe.
dustbin,Rubbish..
Msiba wa nani tena mkuu hebu fungua code kidogoMtu anayelia tunamjua, kaza mwenetu huo msiba wako utalia mpaka uchoke..!!
Chai tayari au bado huamini kama umefiwa? 😹
Sasa waacheni watu watakaopenda kufanya sherehe siku nyonya damu lenu likionja mauti msije kukamatakamata na kuwaweka ndanikama mtu wa imani thabiti siwezi kubabaika na porojo nonsense kama hizo gentleman 🐒
huo ushirikina nonsense ni juu yenu gentleman, hakuna haja ya kumbwelambwela jukwaani 🐒Sasa waacheni watu watakaopenda kufanya sherehe siku nyonya damu lenu likionja mauti msije kukamatakamata na kuwaweka ndani
nafuatilia uzi umekuwa mrefu hadi dakika hii sijaambulia kitu, watu wanatembea na code tu huku wengine wakishambuliana kwa kukashifianaMsiba wa nani tena mkuu hebu fungua code kidogo
Ngoja tuendelee kufuatilia labda kweli kuna huo utukufunafuatilia uzi umekuwa mrefu hadi dakika hii sijaambulia kitu, watu wanatembea na code tu huku wengine wakishambuliana kwa kukashifiana