Utu na utoaji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utu na utoaji!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Apr 24, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Juzi kuna kapindi kilinisikitisha kweli!Kuna baba ambae ana tatizo la figo..zimefail kabisa kwahiyo anategemea mashine kuishi!Huyo mzee ana dada na kaka zaidi ya watatu na hamna hata mmoja aliyetaka hata kupima kuona kama wanamatch na ndugu yao achilia mbali kujitolea figo imsaidie!
  Ikabidi nijiulize wangapi kati ya ndugu na rafiki zangu wakikutwa na tatizo kama hilo ntakua tayari kujitolea figo yangu moja kusaidia.Wachache ningewapa kwa moyo mkunjufu na wengine ningewapa tu ilimradi!Wewe je?
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  KUna watu naweza wapa figo yangu kama tuna match.....ni ngumu dearest kusema ukweli,kuwa naweza mpa kila ndugu yangu au kila rafiki yangu
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  dah! napita transit tu wakuu.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Bila shaka yoyote, ningekuwa na kaka au dada na wanahitaji organ donor bila hata kuombwa ningependekeza nipimwe nione kama kama niko match na kujitolea. Vivyo hivyo ningefanya kwa baba, mama, au mwana.
   
 5. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sasa kwanini usiende kupima nakumsaidia huyo mzee? kama utamechi nae kwakuwa umeonyesha moyo bora ufanye hivyo silazima awe rafiki au ndugu kuta ni moyo
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dearest sasa fikiria je wao wangekupa??
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sio kila thread ni ya kuchakachua bana!
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Angekua huku UngaLTD labda ningefikiria kumsaidia!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Afadhali bado wapo wenye mioyo ya kujitolea...
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Linapokuja suala hili, watu wengi tunakuwa wabinafsi na kuhofia kupatwa matatizo au kufa tukisaidia..Nadhani ushauri mzuri wa kiafya juu ya hili unahitajika katika jamii mana wengine unawaza kutoa figo basi maisha yanakuwa na hitilafu.
  Inapokuja kwa wazazi & watoto nitaobarikiwa, nitasaidia kadiri ya uwezo wangu la afya ikiruhusu!!..sina siblings!!
   
 11. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mungu akuzidishie moyo wa imani na upendo
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  good point BJ, nimewahi kushuhudia kesi moja jamaa kaenda kumsaidia jamaa damu halaf msaidiaji damu akapaparika paparika kama kapigwa shoti ya umeme halaf akapoteza faham, baada ya kuchunguzwa kumbe yule msaidiwaji ana damu nyingi kuliko msaidiaji, ikabidi jamaa alejeshewe damu yake haraka iwezekanavyo.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  BJ kweli elimu inahitajika ili watu wajue kujitolea figo moja sio kutaka kifo!

  We Kloro mbona sijakusoma!?Kwani wanamwekea mtu damu tu bila mpangilio?
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  haujanielewa mimi au BJ? huo wangu mimi ni mfano tu wa kusisitiza point ya BJ, rejea post ya BJ.
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  sidhani dearest....manake vitu vidogo tu tabu ije kuwa figo...maybe mama yangu mzazi
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  confirmed.....Kloro is crazy...can anyone help with a new brain for him??? pls call 811
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  sjui kwanini hii comment yako ndio nimeiamini zaidi halaf ile ya BJ kisha ndio zinafatia nyengine. Nadhani hapa tunajiburudisha tu lakini likija suala la utoaji kweli usishangae hao wanaosema watatoa wakazima simu zao, mimi bana only God knows, sio mchoyo lakini na laifu nalipenda ajabu.
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe halaf hii mikwala yako ndio unataka tuamini kwamba huishi uswahilini sio?, hii kesi si ilitokea kwenye klinik ya mitaa yenu!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijakuelewa wewe na mtoaji damu wako!Ilikuwaje mpaka imzidie mgonjwa?
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Taco Bell. Think outside the bun.
   
Loading...