haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,825
- 4,561
Jeshi lipi ambalo limepikwa na Magufuli?Huna ukijuacho kuhusu lile ' Bifu ' la Rwanda na Tanzania wakati wa utawala / awamu ya Kikwete na kwa taarifa yako tu ni kwamba aliyeomba ' po ' alikuwa ni Tanzania kupitia kwa Rais Mstaafu Mkapa, Mzee Butiku na aliyekuwa Waziri awamu ya Kikwete Profesa Mark Mwandosya baada ya kutumwa na huyo Kikwete wenu na ukizingatia kwamba hao niliowataja hapo juu hasa hasa Mzee Mkapa na Mzee Butiku wana ukaribu wa Kiheshima sana na Rais wa Rwanda Paul Kagame uliojengwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Kuna mengineyo sijakuwekea hapa kwani bado ni mtoto mdogo mno kwa Wewe kuyaelewa ila huna ' Jeshi ' la Kupambana na Rwanda kwa sasa labda hili ambalo limeanza kupikwa sasa chini ya Rais Dkt. Magufuli kwasababu ambazo nazijua Mimi mwenyewe.