Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

Mkuu ukitaka kujua ukali wa rwanda ni pale tz itakapoivamia, my friend , Vita siyo maneno na mbwe!bwe nyingi, Vita ni mbinu, haujui hata sehemu nyeti za jeshi kagme ameshapenyeza watu, usiongee ongee tu we jaribu uone Moto wake
Mkuu unaijua vita ? Unajua Tz ina advtage ya Tz kivita kuliko Rwanda.
 
kwa mfumo rwanda ni mtoto kweli LAKINI TATIZO kamshika bosi wetu bosi wa nchi (akili ku mkichwa)

Tanzania iltakiwa iwe na shirika la kijasusi lenye full power i!!
sasa bakini na tiss yenu inayoishia kushauri tuu...
mtu mwenyewe anaeshauriwa ndo huyu...

tatizo sio nguvu ya rwanda tatizo pk anaweza kutumia ushawishi wake kwa rafkiake kufankisha mambo ya rwanda

ngoja niishie hapa maana nkfkiria sanaaa naishiaga tuu ku doubt uraia wa yule jamaa alopewa n'gombe wengi na mr slm
 
Mkuu ukitaka kujua ukali wa rwanda ni pale tz itakapoivamia, my friend , Vita siyo maneno na mbwe!bwe nyingi, Vita ni mbinu, haujui hata sehemu nyeti za jeshi kagme ameshapenyeza watu, usiongee ongee tu we jaribu uone Moto wake
Mtaishi n story za vijiweni mpaka mzikweee
 
Nimegundua una uwezo mdogo wa akili kuweza kushindana Kujenga hoja na Mimi na sanasana naona unanisumbua tu kama siyo kunipotezea muda wangu. Tafadhali naomba Mimi nikuache kama siyo niishie tu hapa uendelee na wengine ambao labda unafanana nao Kiupeo. Kama Kuandika tu maneno Kiufasaha kwa Kiswahili hujui / huwezi utaweza kweli kufanya Critical Thinking ya ' sensitive issues ' na GENTAMYCINE ambaye ni Purely Talented and Charismatic Fella?
Haaahaaaa Mkuu GENTAMYCINE huwa unanifurahisha sana na aina yako ya uandishi pamoja na lugha yako ya majigambo.... Especially hiyo signature yako
 
kama mweupe ni mweupe tu..na kama mweusi ni mweusi tu hata ujichubue..sishugulishwi sana na kujifunza kwako..kwa kuwa si dhamira yako
Mtoa mada kasema kagame hana analoweza kuifanya TZ sababu tuna intelijentsia kali na kwamba tuna muoverate kagame

Hona yangu ni kwamba kagame is not overrated ila ndio jinsi alivyo na nimetoa mfano wa first congo war and second congo alipoweza kupambana na mataifa 9 kwa mpigo !! Na kwa TISS nikasema kma mnaona wako imara sana kivp walishindwa zuia kuibiwa makinikia kwa miaka 20 sasa???

Wewe kma unaona niko mweupe ndio ujibu kupitia hyi hoja kwamba hao TISS watamuwezaje kagame kma tu makinikia na ujangili umewashinda?? Ukijibu hilo utakuwa umenipa elimu ya kutosha
 
Wewe ndio mtoto, kama hujui Kagame ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa. Hata walinzi wa Rais wanaovaa nguo za Kijeshi ni wa Rwanda sio Watanzania. Huyu Magufuli amwewekwa tu pale kama picha.
Duhh, ama kweli kazi tunayo
 
Aisee.. Vijana wa chadema mnatingozeke kirahisi kweli yani!

Kwa hiyo hayo maneno ya Kagame basi, ukaona tumekwisha?
Hapana nimetoa mfano jeshi la RPF lenye askari wasiofika elfy 50 walipindua Rwanda Burundi na DRC congo ndani ya miaka 2 na walipopata madaraka tu ya rwanda wakapigana vita kuu ya afrika yaani AFRICAN WORLD WAR ambapo Rwanda ilipigana na kabila mkubwa aliyepewa support na majeshi 9 akiwemo angola na zimbabwe waliopeleka ndege za kisasa ila bado kagame alipambana mpaka mwisho hivyo kwa CV ile ya first and second congo war huwa namheshimu kagame

Pili uwezo wake wa kufuatilia wapinzani wake kokote pale duniani hata ufaransa ubelgiji chini ameshawatungua .... Mpaka sauzi na usalama wote ule wameua wawili so far na hakuna aliyekamatwa je huyo mtu ni wa kumdharau??

Ukirudi TZ wanadai TISS haiwezi kusumbuliwa na kagame najiuliza kma ACACIA tu wameweza pitisha makinikia miaka 20 TISS wamelala sembuse kagame kupenyeza majasusi??

Mmi naipenda nchi yangu sana tu na sijaweka sehemu yoyote uCCM au CHADEMA ila uzalendo maana yake ni kuongea ukweli sio kutetea kila kitu hta kma uongo!!!
 
Si ukae kimya tu rafiki unajiabisha tu hujui kitu.Rudi darasani au tafuta mentor akusaidie kujua mambo.
Sijui kitu gani mtu kapambana na mataifa 15 kati ya mwaka 97-2003 alafu unasema tuna overate kagame??

Kma napotosha nipe sababu moja tu ambayo inakuaminisha kagame hawezi ipiga Tanzania??

NB: tujifunze kujibu hoja matusi hayasaidii hili ni jukwaa huru hivyo hatuwezi fanana mawazo

Ahsante
 
Tuchokozeni tena basi Rwanda muone moto ambao hamkuutegemea na hamtoamini macho na masikio yenu. Mtajuta!
Wewe mhamiaji haramu keep quiet furahia Aman iliyokukuza TZ tena wewe unawafahamu vizuri tu wa TZ hii kwa nguvu ipi? Iwe uchumi au Kijeshi Rwanda hamna lolote la kuibabaisha TZ
 
Kwakweli jina la kagame limetawala bongo za watanzania wengi utadhani ndio rais wetu, guud kagame endelea kuwashita watanzania
Kagame katawala bongo kwa roho mbaya ya kiuwaji afu Hakuna dictator mwoga kama paka check alivyomnyanya binti mdogo Rwigara huu ni uoga uliopindukia general Mzima kukihofia kibint kidogo ambacho hata hakijavunja ungo aibu Sana
 
Sizonje Ni clumsy, arrogant Na reckless. kwake kuwa eti smart Ni kukariri data. Ila Kagame he is so cunning smart and wicked in his own ways.

Ana accumulate wealth kwa kuiba madini kutoka nchi jirani. Na hizi mbinu ndizo zilizifanya nchi Kama Ubelgiji kuwa tajiri.

Hakurupuki PK he has a strategic patience and when he hits the target the impact is devastating.

I hate PK
Kaishi Rwanda mkuu
 
Hivi huyu Gentamycine, amesomea fani gani kwani anajisifia ana uwezo wa kujenga hoja, angesikika kwenye makongamano mbalimbali hapo uwezo wake utaonekana. Hivi anaweza kusimama na Lumumba wa Kenya jukwaani tena kwa kiswahili ili asikunyanyase na kiingereza tungejua kweli uwezo wako ni mkubwa. Acha watu wakusifu usijisifie!!
Piga moja moto moja baridi mimi ntalipa.
 
Moja ya wanyarwanda ninao wajua ni JEFF REA-FOOTBALL PUNDIT/ANALYST(AZAM TV) na ZAMARADI MKETEMA-(CLOUDS MEDIA) hawa walibadili lini uraia na kuwa raia halali wa TZ?!
JEFF BABA YAKE NI MUHAYA NA MAMA YAKE NI MPARE,ZAMRADI MTEKEMA SIJUI.
 
Mr.slim anaongoza Tanzania kwa sasa jamaa anaelekezwa tuu cha kufanya kama waziri fulani Mimi huwa sipendi hata hizo safari zake bongo naona anakuja kutoa maelekezo kwa waziri wake siasa za kutekana na kupigana risasi zilikua hazipo bongo...
 
Back
Top Bottom