Utongozaji Mwingine Bwana

Hawa ndo wanatuharibia watoto zetu hawa...... Sasa anamvutia wapi mtoto wa watu????
 
Demu kama huyo ni wale "nataka sitaki", lazima umvute au umkimbize ndo raha kakwe.
 
Angalia sura ya huyo binti ndio utaelewa kama anaharibiwa au alikwisha haribika!
Ingekuwa usiku ni ngwala hakuna kulemba akikuonyeshea jino kwa ishara ya kucheke huyo tayari amekubali kifuatacho ITV ni ngwala na kula vyombo!!
 
Jamaa anaonekana kama mjanja fulani wa mjini aliyepangiwa kituo cha kazi kilicho kijijini. Kama sio mwalimu, basi atakuwa nesi!
 
Jamaa anaonekana kama mjanja fulani wa mjini aliyepangiwa kituo cha kazi kilicho kijijini. Kama sio mwalimu, basi atakuwa nesi!
Precisely!yaani umepatia kabisa,nayeye amepata dude anataka akapumzike baada ya kazi ngumu!!
 
Msidhalilishe taaluma za watu,kuna mwalimu gani au nesi anayeweza kufanya hivyo hadharani tena mchana kweupe namna hii?? Hilo ni lihuni tu linataka kumbaka mtoto wa watu...
 
hapo mshkaji anajaribu kutoa sound ila ikishindikana hapo kifuatacho ni ngwala then kiduku akimaliza anampoozesha yanaisha maana demu mwenyewe anaonekana ni mshamba fulani!
 
demu anaonyesha kashakubali ila jamaa ajaelewa kama amekubaliwa kinachofata hapo ni we niangusege kisha cheza kiduku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom