generationn Z
Senior Member
- Jun 30, 2025
- 154
- 166
Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni.
Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko?
Nauliza hivo maana sijawahi panda ndege na nilipo panda meri pia sikuwa na wazo hili huenda ningelifanyia utafiti?