Utofauti wa Hayati Magufuli na Rais Samia

Jambo pekee la maana uliloandika, PEOPLE DIFFER.

Wakati Magufuli, kwa vigezo vyote, alikuwa kiongozi dikteta asiyejali katiba, sheria wala kanuni; alikuwa kiongozi aliyeongoza kwa uwongo na hila na akafanikiwa kuwadanganya ninyi nyote wenye upeo mdogo kuwa ukuaji wa uchumin ulikuwa unapaa wakati alikuwa akiudidimiza ukuaji wa uchumi kwa kiwango kikubwa (Aliangusha GDP growth from 7% to 1.9%, utalii from 15% mpaka 3.6%, uwekezaji toka 28% mpaka 4%), wewe unasema alikuwa na sifa za kuwa kiongozi. Hapo ndipo ilipo tofauti, na tofauti hiyo ipo kwenye uelewa. Wajinga wengi, kwa sababu ya kulishwa uwongo na hadaa, wanaamini marehemu alikuwa kiongozi mzuri, wenye weledi, ufahama na akili kubwa, wote wanajua jinsi Taifa letu lilivyokuwa kwenye mazingira hatari kiuongozi, chini ya Magufuli.

Madhara ya utawala mbaya wa marehemu, yatalitesa Taifa hata kwa miaka 10 ijayo. Sera zake mbovu za kiuchumi, zimeifanya Tanzania kuwa nchi ya wachuuzi, na siyo wazalishaji. Wazalishaji/wawekezaji wa ndani na nje wameikimbia Tanzania. Walipaji wakubwa wa kodi wameikimbia Tanzania, na kuwaacha Watanzania wa kipato cha chini (ambao walistahili kusaidiwa ili wakue) wakisumbuliwa kwa kodi nyingi na tozo.
 
Mkuu wewe ndoo hujaelewa pole sana kwa kushindwa kuelewa huenda tayari umeshapata bapa lako! Ni hivi kwa kuwa unaishi kwa kukariri jk aliingia madarakani kwa kura asilimia 80! Ushindi huo 2010 uliporomoka hadi kufikia asilimia 62 maana yake ni kwamba ingawa alipendwa sana swrikali yake ilijawa na wahuni wa kupiga dili hawakumsaidia kilichotokea ni kashifa mbalimbali ndani ya serikali na kwa vile wengi wao walikuwa marafiki zake waliteka akili yake akashindwa kuamua kama raisi! Tunakuja jpm ameingia kwa asilimia 52 amechapa kaz zikaonekana
Wewe kama huishi katika ujinga, basi utakuwa kipofu. Mambo ya maendeleo yaliyofanyika wakati wa Kikwete, ni zaidi ya mara 5 ya yaliyofanyika wakati wa Magufuli.

1) Kikwete aliipandisha per capita income kwa $380, Magufuli kwa $80
2) Kikwete ukuaji wa uchumi 7%, Magufuli 1.9% (World Bank report)
3) Kikwete ukuaji wa uwekezaji 28%, Magufuli 4%
5) Kikwete utalii 15%, Magufuli 3.6%
6) Kikwete hospitali ya Mloganzila, Taasisi ya Moyo ya JK, Hospitali ya Benjamin Mkapa; Magufuli hospitali na vituo vyote vilivyojengwa, thamani yake haifikii hospitali moja tu ya Mloganzila
7) Kikwete ujenzi wa barabara zaidi ya 12,000km, Magufuli chini ya 3,000km
8) Kikwete Madaraja Nyerere bridge, Umoja, Malagalasi; Magufuli halikwisha hata daraja moja. Alianzisha ujenzi wa daraja la Busisi na Salenda
9) Kikwete shule za sekondari kila kata; Magufuli maabara za shule
10) Kikwete chuo Kikuu cha Dodoma, Magufuli???

11) Kikwete kwenye demokrasia, haki, na uhuru 60%, Magufuli 0%

Mahali pekee alipofanikiwa sana Magufuli ni uwongo na hadaa, kiasi kwamba mpaka leo wajinga wote wanaamini tulikuwa tunapiga hatua kwa kasi, na yeye alikuwa kiongozi jemedari.

Machache aliyoyafanya yanazidiwa na mabaya na maovu mengi.
 
Kashaoza tayari na ule mdomo wake usio na staha
Acha chuki kwa marehemu,hata hivyo ameijenga nchi haijapata kutokea,jamaa was very focused,munaomtukana hata malaika wanawashangaa lkn wanamshangaa zaidi anaye walipa ili mmtukane Magufuli.
 
Wewe kama huishi katika ujinga, basi utakuwa kipofu. Mambo ya maendeleo yaliyofanyika wakati wa Kikwete, ni zaidi ya mara 5 ya yaliyofanyika wakati wa Magufuli.

1) Kikwete aliipandisha per capita income kwa $380, Magufuli kwa $80
2) Kikwete ukuaji wa uchumi 7%, Magufuli 1.9% (World Bank report)
3) Kikwete ukuaji wa uwekezaji 28%, Magufuli 4%
5) Kikwete utalii 15%, Magufuli 3.6%
6) Kikwete hospitali ya Mloganzila, Taasisi ya Moyo ya JK, Hospitali ya Benjamin Mkapa; Magufuli hospitali na vituo vyote vilivyojengwa, thamani yake haifikii hospitali moja tu ya Mloganzila
7) Kikwete ujenzi wa barabara zaidi ya 12,000km, Magufuli chini ya 3,000km
8) Kikwete Madaraja Nyerere bridge, Umoja, Malagalasi; Magufuli halikwisha hata daraja moja. Alianzisha ujenzi wa daraja la Busisi na Salenda
9) Kikwete shule za sekondari kila kata; Magufuli maabara za shule
10) Kikwete chuo Kikuu cha Dodoma, Magufuli???

11) Kikwete kwenye demokrasia, haki, na uhuru 60%, Magufuli 0%

Mahali pekee alipofanikiwa sana Magufuli ni uwongo na hadaa, kiasi kwamba mpaka leo wajinga wote wanaamini tulikuwa tunapiga hatua kwa kasi, na yeye alikuwa kiongozi jemedari.

Machache aliyoyafanya yanazidiwa na mabaya na maovu mengi.
unapata faida gani kuandika ujinga huu?
 
Wewe binadamu akili zako zimeliwa na kamasi
 
Leo ni nimewaza sana nikagundua mambo mawili kwanza people we differ kama alivyosema msomi wa kitambo hicho hayati TUTEMEKE SANGA(MAKETE) Lakini pia nikakumbuka ule mstari wa biblia unao sema kuna matoashi wa kuzaliwa na kuna matowashi wa kutengenezaa lakini hayo yote yalianzia mbalibasi nilikuwa na watafakari marais wawili JOHN POMBE MAGUFULI NA SMIA SULUHU HASSAN nikagundua kitu kimoja hawa jamaa ni watu wawili tofauti na watu wanahindwa kuelewa hapo tu wanapo taka wabehave kwa staili moja yaani ni kwamba hiko hivi

MAGUFULI
Huyu yeye ni kiongozi wa kuzaliwa yaani katika maisha yake akusoma sana masomo ya uongozi yaani kiufupi sio mbobezi katika masuala ya siasa lakini ana kipaji cha siasa ndio maana aliwaongoza hadi washauri wake akataka wamshauri juu ya ndoto zake yeye yaani waonee ni namna gani mawazo yake yanavyo weza kutia ukimuona sio mtu wa kufuata taratibu yeye anahamua nini cha kufanya kwa mda gani MFANO;- ni juu ya safari za nje kuuzuria vikaombalimbali kiufupi ni kazi ya mheshimiwa rais lakini yeye hiyo kazi alimpa waziri mkuu na makamo wa rais lakini pia ziara za ndani ni kazi ya waziri mkuu lakinii alizifanya yeye hii ndio sifa ya kiongozi wa kuzaliwa mbave na afuati utaratibu tofauti na
Samia

Yeye ni msomi amesoma lakini pia ni mzoefu amefanya kazi umoja wa mataifa sababu tu ya elimu yake ndo maana yeye anafuata utaratibu uwe mbaya uwe mzuri protocal ni muhimu kwake kuliko kitu chochote kile kwahiyo tumuache haiwakilishe nchi huko vikaoni nje ya nchi muacheni haunde tume imshauri cha kufanya juu ya uviko 19 kwa leo mpendwa nikipata nafasi zaidi nitakushirikisha juu ya uzuri na ubaya wake
lakini pia nikuombe kura yako nimeshiriki shindano la STORY OF CHANGE kwa kuandika makara mbili juu ya
1/TIBA YA MTOTO KIKOJOZI NA USHAURI WA KITABIBU
2/JAMIIFORUM HABARI KATIKA KURASA SALAMA
NAOMBA UNIBLESS KURA YAKO JAPO SISTAHILI PLEESEEEE!!!!!!!!!
Asingeweza kuzurura ovyo angani akiwa na betri kwenye moyo ni hatari
 
Taifa la Tanzania [emoji1241] kwasasa limekumbwa na mmong'onyoko wa Maadili, Watanzania hawako tayari kulipigania Taifa lao na ndiyo maana kila anaepata nafasi anawaza apoge asepe sababu ya maadili mabovu kuanzia kwenye familia zetu! Akijq kiongozi kuzuia ili jambo anaanza kuonekana mbaya! Ayah tuseme why kwann Magufuli unamuita katili ana roho mbaya? Sababu yakuzuia mikutano ya siasa ndiyo dicteta? Mbona Samia kazuia? Sawa anaroho mbaya na muua kwasababu ya vifo visivyoeleweka vya watanzania baadhi? Mbona mlipata vifo vya kueleweka kwa JK hasa kifo cha Mwangosi lakini hamkumuita JK katili? Why JPM? sababu aliwabana tu.
Jpm alijulikana ndani na nje kwa ukatili na ukabila mkubwa. Wengi wamepoteza maisha kwa maagizo ya huyu mtu leo wewe bado unamtukuza muuaji huyu!?
 
Kaka utapata taabu sana kuelimisha watu Ambao wanaangalia maslai yao na sio ya walio wengi.

Hakuna hata mtanzania 1 mmoja mwenye uadilifu katika kazi zake Atamchukia Magufuli.

Wanaomchukia ni wale Ambao walibanwa katika mirija waliokua wamejitengenezea.
Taifa la Tanzania [emoji1241] kwasasa limekumbwa na mmong'onyoko wa Maadili, Watanzania hawako tayari kulipigania Taifa lao na ndiyo maana kila anaepata nafasi anawaza apoge asepe sababu ya maadili mabovu kuanzia kwenye familia zetu! Akijq kiongozi kuzuia ili jambo anaanza kuonekana mbaya! Ayah tuseme why kwann Magufuli unamuita katili ana roho mbaya? Sababu yakuzuia mikutano ya siasa ndiyo dicteta? Mbona Samia kazuia? Sawa anaroho mbaya na muua kwasababu ya vifo visivyoeleweka vya watanzania baadhi? Mbona mlipata vifo vya kueleweka kwa JK hasa kifo cha Mwangosi lakini hamkumuita JK katili? Why JPM? sababu aliwabana tu.
 
Alimuua nani? Wapi hakutumia busara? Kauli zipi mbaya alizitoa hadharani? Siku ukielewa kuwa Kiongozi wa watu hutokana na watu huwa kwa ajili ya watu na sio wa mtu utaelewa ushahidi wa vielelezo visivyo Tia shaka tu ndio hutumiwa na Great thinkers mfano aliingia madarakani kwa kigezo cha uchapakazi kwa Kura aslimia 50s akachapa kazi akachaguliwa tena kwa Kura asilimia 80s tafiti mtangulizi wake aliingiaje na alichaguliwaje kwa mara ya pili
Dunia hii hakuna mwema. Pambafu nyie
 
Wewe binadamu akili zako zimeliwa na kamasi
Wewe piga porojo kwa sababu uwezo wako wa akili ndipo unapoishia.

Waache wenye akili wajadili hoja iliyopo kwa vielelezo na takwimu. Fools always are good in noises making but big brains arguments, are protected by data.
 
Jpm alijulikana ndani na nje kwa ukatili na ukabila mkubwa. Wengi wamepoteza maisha kwa maagizo ya huyu mtu leo wewe bado unamtukuza muuaji huyu!?
Anayo ata audio hapo akitoa agizo lakuua mtu?
 
Leo ni nimewaza sana nikagundua mambo mawili kwanza people we differ kama alivyosema msomi wa kitambo hicho hayati TUTEMEKE SANGA(MAKETE) Lakini pia nikakumbuka ule mstari wa biblia unao sema kuna matoashi wa kuzaliwa na kuna matowashi wa kutengenezaa lakini hayo yote yalianzia mbalibasi nilikuwa na watafakari marais wawili JOHN POMBE MAGUFULI NA SMIA SULUHU HASSAN nikagundua kitu kimoja hawa jamaa ni watu wawili tofauti na watu wanahindwa kuelewa hapo tu wanapo taka wabehave kwa staili moja yaani ni kwamba hiko hivi

MAGUFULI
Huyu yeye ni kiongozi wa kuzaliwa yaani katika maisha yake akusoma sana masomo ya uongozi yaani kiufupi sio mbobezi katika masuala ya siasa lakini ana kipaji cha siasa ndio maana aliwaongoza hadi washauri wake akataka wamshauri juu ya ndoto zake yeye yaani waonee ni namna gani mawazo yake yanavyo weza kutia ukimuona sio mtu wa kufuata taratibu yeye anahamua nini cha kufanya kwa mda gani MFANO;- ni juu ya safari za nje kuuzuria vikaombalimbali kiufupi ni kazi ya mheshimiwa rais lakini yeye hiyo kazi alimpa waziri mkuu na makamo wa rais lakini pia ziara za ndani ni kazi ya waziri mkuu lakinii alizifanya yeye hii ndio sifa ya kiongozi wa kuzaliwa mbave na afuati utaratibu tofauti na
Samia

Yeye ni msomi amesoma lakini pia ni mzoefu amefanya kazi umoja wa mataifa sababu tu ya elimu yake ndo maana yeye anafuata utaratibu uwe mbaya uwe mzuri protocal ni muhimu kwake kuliko kitu chochote kile kwahiyo tumuache haiwakilishe nchi huko vikaoni nje ya nchi muacheni haunde tume imshauri cha kufanya juu ya uviko 19 kwa leo mpendwa nikipata nafasi zaidi nitakushirikisha juu ya uzuri na ubaya wake.
dogo mbona kama umekurupuka
 
Alimuua nani? Wapi hakutumia busara? Kauli zipi mbaya alizitoa hadharani? Siku ukielewa kuwa Kiongozi wa watu hutokana na watu huwa kwa ajili ya watu na sio wa mtu utaelewa ushahidi wa vielelezo visivyo Tia shaka tu ndio hutumiwa na Great thinkers mfano aliingia madarakani kwa kigezo cha uchapakazi kwa Kura aslimia 50s akachapa kazi akachaguliwa tena kwa Kura asilimia 80s tafiti mtangulizi wake aliingiaje na alichaguliwaje kwa mara ya pili
Jpm alikua mtawala sio kiongozi,jaribu kusoma kabla yakuja na idea yako
 
Wewe piga porojo kwa sababu uwezo wako wa akili ndipo unapoishia.

Waache wenye akili wajadili hoja iliyopo kwa vielelezo na takwimu. Fools always are good in noises making but big brains arguments, are protected by data.
Huna ujuacho kima wewe
 
Back
Top Bottom