sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao.
Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari.
Wengine wanamaliza wana miaka hio hio lakini ajira mtu anakuja kuipata ana 33 huko, hawa wengi wao wanakuwaga na displini kwenye matumizi