Utitiri wa Mamlaka za Udhibiti (Regulatory authorities)

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,063
8,653
Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8. TBS,
9. TMDA,
10. TARURA/TANROADS,
11. TIRA/NIC,
12. Bodi ya Korosho,
13. Bodi ya Mazao Mchanganyiko,
14. BASATA,
15. Bodi ya Filamu,
16. Tume ya Madini,
17. Baraza la Wafamasia.
18. WMA,
NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025? Tume ya Mipango wanafanya nn ofisin?
 
8.
9.

NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025?
Usisahau na Bodi za mazao ambapo badala ya kutafiti na kuendeleza mazao wao wanadeal na soko sambamba na kupanga bei
 
Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8. TBS,
9. TMDA,
10. TARURA/TANROADS,
11. TIRA/NIC,
12. Bodi ya Korosho,
13. Bodi ya Mazao Mchanganyiko,
14. BASATA,
15. Bodi ya Filamu,

NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025? Tume ya Mipango wanafanya nn ofisin?
Mamlaka za udhibiti kwa mujibu wa sheria ni tatu tu. Lakini ni kweli hata watawala wenyewe hawajui tofauti katoka ya Taasisi za Serikali na mamlaka za udhibiti. RIP Mzee Mkapa!
 
Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8. TBS,
9. TMDA,
10. TARURA/TANROADS,
11. TIRA/NIC,
12. Bodi ya Korosho,
13. Bodi ya Mazao Mchanganyiko,
14. BASATA,
15. Bodi ya Filamu,
16. Tume ya Madini,
17. Baraza la Wafamasia.

NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025? Tume ya Mipango wanafanya nn ofisin?
Mama ameshaanza kazi ya kuunganisha na kufuta taasisi na mashirika kama hayo.

Yet Kuna watu wanalaumu wakidai Kila Moja Lina majukumu yake ila kama kawaida ya Samia Huwa haniangushi hasikilizagi kelele za wajinga.

Mwisho sababu kubwa ya Utitiri wa hizo mamlaka ni mentality za kijamaa kutaka watu wawe maskini Ili watawaliwe kirahisi.
 
Kuna ile ya Mbolea (TFRA), pia kuna Kampuni ya Mbolea chini(TFC) ya Tapeli Mshote. Kuna ile iliyojuwa inatwa TPRI, kuna TBS na TMDA. Bodi sasa ndio usiseme.
Bodi ya Sukari
Bodi ya Mkonge
Bodi ya Chai
Bodi ya Kahawa
Bodi ya Korosho
Bodi ya Pamba
Bodi ya mazao mchanganyiko sasa waniita COPRA.

kuna mfuko wa Pembejeo(AGTFA) sasa kuna mfuko wa Taifa wa kiwawezesha vijana kwenye Kilimo. Kuna ule mfuko wa uwezeshaji wananchi kiuchumi n.k.
 
CAMARTEC eti wanadhibiti vifaa vya kilimo ukileta toka nje wanachaji sio chini ya laki tano wakati hata kukagua hawakagui sijui pesa wanapeleka wapi ? na baado wanamuongezea gharama mletaji !
Tanzania Private Health Laboratory Agency lazima wakague vifaa vyako vya maabara na wakutoze pesa !
TBS nao hata kama vitu haviwahusu mfano mashine kilimo kama Tractor wanalazimisha waku charge tena pesa nyingi tu ! hivo kumuongezezea gharama mletaji !!!
 
Back
Top Bottom