Uteuzi wa Kadhi Mkuu waibua mvutano

Status
Not open for further replies.
MUFTI hajatumia akili,suala la kadhi linatakiwa litambuliwe na katiba ya jamhuri
 
hivi ndani ya uislam mfumo wao wa uongozi ukoje,kwani hamna mwenye mamlaka ya mwisho hadi kufikia hatua ya kupingana kila wakati.!
Njaa, njaa , njaa...na elimu duni...wengine tulisema mwanzo kabisa, bila umoja hawa jamaa hawataweza kufanikisha kitu. Kinachonisikitisha ni hata kwenye huu mgogoro wa wao kwa wao wanaweza kusema kuna mkono wa kanisa...
 
Hata mimi siafiki hii ya uteuzi wa kadhi na wasaidizi na hao wa mikoa hadi Mufti aseme ametumia kigezo gani isijekuwa ya sungura chambi kampa mkwewe.
 
Maandalizi ya mpinga kristo yameanza, wana wa Mungu(Wakristo) mdumu katika maombi.
 
Hivi ni kwanini hakuna hata MWANAMKE MMOJA mwislamu "ALIYESOMA" anayetaka mahakama ya kadhi?

Hata yule aliyepewa TUZO ya uvaaji HIJAAB hataki mahakama ya kadhi. Je ni kwanini?
 
Hivi ni kwanini hakuna hata MWANAMKE MMOJA mwislamu "ALIYESOMA" anayetaka mahakama ya kadhi?

Hata yule aliyepewa TUZO ya uvaaji HIJAAB hataki mahakama ya kadhi. Je ni kwanini?

Kwa sababu mahakama hizi za Kadhi zinawafanya wanawake kama viburudisho vya wanaume na si kama binadamu walio sawa!
 
Kwani Msanii Kova si yupo si wampelekee aliingize katika mkakati wa filamu mpya ijayo..ama?
hawanaga jema hawa jamaa kila jambo wao ni kulalamika tu....
 
ukiangalia vizuri na kwa makini hiiishu ya kathi ni watu tu wanataka uongozi na utaona ita wakost kwasababu kilamtu anataka awe kiongozi . mwishowe wata taka kila thehebu la kiislamu liwe na mahakama yako sijui kama tutafika

Hii thambi yakuanza kujitenga itawatafuna sana.
ona sasa wataka kujitenga na mahama ya serikali sasa watajitenga tena na hiyo wanayo ianzisha wenyewe.

Jamani ubaguzi simzuri na utaendelea kuwamaliza
 
Kwa nini wanaleta mvutano? Walitegemea mambo yatakuwa rahisi kama kula ubwabwa na maharage kwenye hitima!

Kama mmeshindwa kukubaliana na uteuzi basi mpeni kazi hiyo ya uteuzi mizengo pinda.
 
Mwanaharaki Ponda.
Kwa nini kila wakati unakuwa against Bakwata?
Tulikuwa tunalilia kupata Mufti na tayari tumempata,huoni kama hii ni hatua moja mbele?
Mara nyingi nimekuwa sikuelewi kwani unaelekea kuwa mtu wa shari kuliko kusaidia jami ambayo ipo chini.
Wenzetu wanaitumia nafasi vizuri na wamejaza vyuo vikuu sisi hata sekondari za kuhesabu na tukitoka hapo ni kulia kuonewa kama yatima.
Tutumie fursa na tuwe waadilifu tutapata maendeleo.
Kama una hoja nenda kaongee na Sheikh Mkuu lakini kwangu nashindwa kukuelewa.
Hebu Ponda mtizame Kijana Arfu wa Islamic foundation mambo anayosimamia,huu ni mfano wa kuigwa sio kila wakati kupinga wenzio.


Ukishindwa kumuelewa sheikh Ponda unaemuona basi huwezi kumuelewa Mungu usiemuona...
 



Naona umekurupuka alafu sielewi unachozungumzia ni nini ...?!Mate IF you have to replay me in English would you please do us a favor & learn the language ..?! other wise andika kwa kiswahili kilichonyooka ulitaka kuongea nini..?

Refer to your own post dude! One could write even in your own mother tongue, but if your understanding is challenged the result will always be the same!
 
Makamu wa raisi alihudhulia kama Muislamu mwingine mwenye haki ya kuhudhulia hatua hiyo, mi nadhani kuna baadhi ya waislamu wanaojiita WANAHARAKATI walikua wanawinda vyeo hasa Kdhi Mkuu. Sasa kwa kua hawawezi kumkurupukia Mufti wao, imebidi kuibukia serikali ina mkono wake.......
 
This is a sarcastic statement.Take some time to read on how these courts work and get a little bit of insight on Shariah.
You may not agree with it but at least you can widen your thinking horizon.

SHARIAH!!!!! GET SOME...

Sharia law is the law of Islam. Sharia (also spelled'Shariah') is based on the Quran, the actions and the other words of Muhammad,and the collective reasoning and deductions of Muslim imams.

Like other legal systems, Islam's Sharia law covers a wide range of topics. Thespecifics of the Sharia law, however, are unlike any other legal system in theworld.

According to Sharia law:

• Theft is punishable by amputation of the right hand (above).
• Criticizing or denying any part of the
Quran is punishable by death.
• Criticizing or denying Muhammad is a prophet is punishable by death.
• Criticizing or denying
Allah, the moon god of Islam is punishable bydeath.
• A Muslim who becomes a non-Muslim is punishable by death.
• A non-Muslim who leads a Muslim away from Islam is punishable by death.
• A non-Muslim man who marries a Muslim woman is punishable by death.
• A man can marry an infant girl and consummate the marriage when she is
9 years old.
• Girls' clitoris should be cut (per
Muhammad's words in Book 41, Kitab Al-Adab,Hadith 5251).
• A woman can have 1 husband, but a man can have up to 4 wives;
Muhammad can have more.
• A man can unilaterally divorce his wife, but a woman needs her husband'sconsent to divorce.
• A man can beat his wife for insubordination.
• Testimonies of four male witnesses are required to prove rape against awoman.
• A woman who has been raped cannot testify in court against her rapist(s).
• A woman's testimony in court, allowed only in property cases, carries halfthe weight of a man's.
• A female heir inherits half of what a male heir inherits.
• A woman cannot drive a car, as it leads to fitnah(upheaval).
• A woman cannot speak alone to a man who is not her husband or relative.
• Meat to be eaten must come from animals that have been sacrificed to Allah -i.e., be
halal.
• Muslims should engage in
taqiyya and lie to non-Muslims to advanceIslam.
• The list goes on.

 
Hapa kuna udhaifu!!!

Tulianza kusikia kugomewa kwa zoezi la SENSA na BAKWATA aliposema waislamu mtashiriki, wengine walisema Shekh Simba hawakilishi taasisi zote za Kiislamu. Leo tunasikia kuwa Sheikh Simba kachagua makadhi wa BAKWATA tu!! Na walioko kwenye taasisi nyingine nao wanataka kuchagua makadhi wao!!

Gaps zinaanza kuonekana kati ya Waislamu, let the truth be told!!
a) Fikra za mfumo Kristu au kuonewa na kudhulumiwa zinatokana na kukosa UMOJA!!
b) Kuweka mbele wivu na ulaji. Sasa hata Mwaipopo anamuonea wivu kadhi wa BAKWATA!! Nae anataka keki!!
c) Kugomea Sensa na kutaka serikali iwe na jukumu la kusema idadi wa waumini na madhehebu yao sasa imejulikana, kutokana na kutokuwa na umoja na ushirikiano ndani ya taasisi zenu - idadi wa waislamu haijulikani. Kwa kuwa mmeshidwa hata kujua ni nani anawasemea waislamu na hamko tayari kulimaliza wenyewe - mnataka majibu yagharimiwe na umma wa waTanzania!!

Ninachojua kuhusu sensa, sidhani kwa nchi zetu ina manufaa yoyote. Msishiriki na baada ya hapo "kutojua idadi" yenu iendelee na muanzishe malumbano mapya.

We have learnt to expect the unexpected from you. Inachosha!!!
 
Sasa Ina Maana kama una kesi
Wewe Mkristo na yeye Mwislamu mtakwenda Mahakama Tofauti?

Mahakama za kadhi zitashughulika na maswala machache yanayowahusu watu wa imani hiyo (waislamu)

na ambao pia watakuwa tayari kulishughulikia shauri lao kwa mujibu wa sharia za kiislam

Maswala hayo ni yahusuyo 1. Talaka 2. Mirathi 3. Ndoa

Hata hivyo si lazima kwa waisilamu kupeleka shauri lao ktk mahakama ya kadhi kitu muhimu ni lazima. Pande zote zikubali na wataulizwa ikiwa wamekubaliana shauri lao lishughulikiwe na mahakama hiyo.

N.B
Mahakama ya kadhi haihusiki na kesi za wizi wala uhaini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom