Uteuzi wa Kadhi Mkuu waibua mvutano

Status
Not open for further replies.
Agenda ya mahakama ya kadhi ni ya waislamu pekee lakini kuikazia na kuleta umoja ni vema ikafanywa ni agenda ya wote bila kujali imani hasa litakapokuja suala la kuhudumia mahakama hiyo ambapo kodi itakayotumika itakuwa ni ya watanznia wote.

Kama wote tutalitazama suala hili kitaifa tutafika salama.
Kodi yangu ikawalipe akine Shehe Ponda and Co? over my dead body...
 
ukiona mkiristo analipenda baraza la waislam ujue kuna Kitu. NDIO MAANA MAASKOFU +MAPADRI WANALIKUMBATIA. ZILE TAASISI ZINAZOONEKANA KUENDELEZA VYUO VIKUU. MAASKOFU HIZO WANAZIPIGA VITA

ujajibu swali mkuu,tatizo la BAKWATA NI NINI???

na izo tahasisi za kiislamu zilizoanzisha vyuo vikuu ni zipi??

naona nyie kila ishu mnakimbilia wakristo ,ata ya kwenu...
 
ukiona tasisi ya kiislam inapigiwaCHAPUO na mapadri ujue hio taasisi haipo kwa manufaa ya waislam. Ndio maana BAKWATA inakumbatiwa na wakiristo watz. maaskofu wakati wakutia sain na LOWASA BAKWATA ILIFICHWA. hawa ndio maaskofu bana na mapadri wa tz. sijui ndio ELIMU YA POLANDA. MAANA POLAND KUNA UBAGUZI MKUBWA
 
ujajibu swali mkuu,tatizo la BAKWATA NI NINI???

na izo tahasisi za kiislamu zilizoanzisha vyuo vikuu ni zipi??

naona nyie kila ishu mnakimbilia wakristo ,ata ya kwenu...
HIVI MDF ilokuwa na Chuo kikuu Morogoro nasikia mapadri na maaskofu hawataki hata kuisikia. yao wao BAKWATA isiokuwa na hata mwelekeo. MAPADRI BANA.
 
Wameanza kutafunana, nisisikie kuwa kodi yangu inawalipa mishahara hawa watu. Wachangishane tu huko huko!!!!!!!
 
Unayemsahihishi hujamsaidia bali umemwongezea matatizo ya akili. Kama ungejenga hoja ungemwondoa kwenye tatizo lake.

aim sorry mama porojo!! "This dog doesn't bark that way," as long as any one humu JF talks shit about my religion / faith "ISLAM" ni garbage in garbage out .. unless na yeye aje na hoja ya msingi .. we umeona upuuzi aloandika yule kenge

Refer to your own post dude! One could write even in your own mother tongue, but if your understanding is challenged the result will always be the same!

could you please quote me .. ni wapi nilipoandika hivo ...???
 
HIVI MDF ilokuwa na Chuo kikuu Morogoro nasikia mapadri na maaskofu hawataki hata kuisikia. yao wao BAKWATA isiokuwa na hata mwelekeo. MAPADRI BANA.

mkuu iyo MDF ni nini??
navyofahamu hicho chuo baada ya KUPEWA na BENJAMIN Mkapa,kilikabidhiwa kwa Islamic Foundation...japo ni kama kimekufa sasa ivi..

unasema BAKWATA haina mwelekeo,ebu nitajie tahasisi ya kiislamu ata moja yenye mwelekeo..alafu kwanini MaAskofu na Mapadre mbona wanawaumiza vichwa sana,mbona wao hawawaumizi vichwa na masheikh.
 
hivi ndani ya uislam mfumo wao wa uongozi ukoje,kwani hamna mwenye mamlaka ya mwisho hadi kufikia hatua ya kupingana kila wakati.!
Uislamu nikama ilivyo imani nyingine, kuna utofauti wa jinsi ya kuiishi imani. Hili ndilo linaloanzisha madhehebu na tofati za mitizamo japo wote hukiri kuwa wa imani moja. Ukristo uko hivyo na Uislamu pia. , na naamini katika imani nyingine pia. Huo ndio ubinadam halisia. Hivyo si jambo jema kutegemea kwa Waislamu au Wakristo na wengine kwa na msimamo mmoja katika kila jambo. Pengine itakuwa jambo jema kama BAKWATA katika mfumo wa sasa kukubali hawawakilishi Waislamu wote bali wale wasunni. Ili kukubalika na wale wa madhehebu mengine wapewe nafasi vinginevyo itakuwa kama walivyo wakristo CCT, TEC,UMPTA n.k
 
mkuu iyo mdf ni nini??
Navyofahamu hicho chuo baada ya kupewa na benjamin mkapa,kilikabidhiwa kwa islamic foundation...japo ni kama kimekufa sasa ivi..

Unasema bakwata haina mwelekeo,ebu nitajie tahasisi ya kiislamu ata moja yenye mwelekeo..alafu kwanini maaskofu na mapadre mbona wanawaumiza vichwa sana,mbona wao hawawaumizi vichwa na masheikh.

duuuu. Swali. Kwanini mapadri na maaskofu wakifunga mikataba na serekali wanaificha bakwata? Lkn mambo mengine wanaikumbatia?
 
duuuu. Swali. Kwanini mapadri na maaskofu wakifunga mikataba na serekali wanaificha bakwata? Lkn mambo mengine wanaikumbatia?

hoja haujibu,unakimbilia maaskofu mapadre....nafikiri unakubali mwenyewe kuwa tatizo ni nyie wenyewe....akili za Ponda wapo wengi.
 
Agenda ya mahakama ya kadhi ni ya waislamu pekee lakini kuikazia na kuleta umoja ni vema ikafanywa ni agenda ya wote bila kujali imani hasa litakapokuja suala la kuhudumia mahakama hiyo ambapo kodi itakayotumika itakuwa ni ya watanznia wote.

Kweli wewe ni Mama Porojo! Yaani kodi yangu ikalipe mishahara ya watu wanaochoma moto makanisa yetu?!.

Hata kama ni wema wa MSHUMAA ... Lakini huu utakuwa umezidi.
 
Uislamu nikama ilivyo imani nyingine, kuna utofauti wa jinsi ya kuiishi imani. Hili ndilo linaloanzisha madhehebu na tofati za mitizamo japo wote hukiri kuwa wa imani moja. Ukristo uko hivyo na Uislamu pia. , na naamini katika imani nyingine pia. Huo ndio ubinadam halisia. Hivyo si jambo jema kutegemea kwa Waislamu au Wakristo na wengine kwa na msimamo mmoja katika kila jambo. Pengine itakuwa jambo jema kama BAKWATA katika mfumo wa sasa kukubali hawawakilishi Waislamu wote bali wale wasunni. Ili kukubalika na wale wa madhehebu mengine wapewe nafasi vinginevyo itakuwa kama walivyo wakristo CCT, TEC,UMPTA n.k

Sijakuelewa kabisa! Umeshasikia hizo taasisi ulizozitaja zinafanya upuuzi unaofanya taasisi zenu? Wakristo wana madhehebu yao na wanayongoza vizuri tu. Nyinyi vipi?
 
Mwanaharaki Ponda.
Kwa nini kila wakati unakuwa against Bakwata?
Tulikuwa tunalilia kupata Mufti na tayari tumempata,huoni kama hii ni hatua moja mbele?
Mara nyingi nimekuwa sikuelewi kwani unaelekea kuwa mtu wa shari kuliko kusaidia jami ambayo ipo chini.
Wenzetu wanaitumia nafasi vizuri na wamejaza vyuo vikuu sisi hata sekondari za kuhesabu na tukitoka hapo ni kulia kuonewa kama yatima.
Tutumie fursa na tuwe waadilifu tutapata maendeleo.
Kama una hoja nenda kaongee na Sheikh Mkuu lakini kwangu nashindwa kukuelewa.
Hebu Ponda mtizame Kijana Arfu wa Islamic foundation mambo anayosimamia,huu ni mfano wa kuigwa sio kila wakati kupinga wenzio.

Sio yeye Ponda peke yake yupo against BAKWATA waislamu wengi tu hatukipendi hiki chombo. kipo pale kwa maslahi ya
serikali tu. hebu angalia uchaguzi wao wa mufti, badala ya kusimamiwa na waislamu wenyewe unasimamiwa na serikali kwa asilimia 100%, kunakuwa na ulinzi mkali kabisa. Lengo la serikali ni kuhakikisha inampata mufti watakae mtumia watakavyo na hili huwa linatimia. Viongozi wetu wa dini tunawasikiliza wameshatueleza ya kwamba tusimkubali kadhi huyu wa BAKWATA nasi kwetu ni kutii tu. Namshangaa sana muislamu asiyejuwa dhulma anyafanyiwa na watawala wa nchi. inanipa mashaka kama kweli yeye ni muislamu anyaelewa wajibu wake.
 
Mkuu kwani lazima waislam wahesabiwe? kwani mkijihesabu nyinyi wakiristo itakuwa kosa?

Basi Miundo mbinu na Huduma za JAMII. Zitakazo kuwa zinatolewa na SERIKALI..baada ya SENSA Wala msishirikishwe na Msipewe... Akili zingine BHANA...

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom