Uteuzi wa Kadhi Mkuu waibua mvutano

Status
Not open for further replies.
Mwanaharaki Ponda.
Kwa nini kila wakati unakuwa against Bakwata?
Tulikuwa tunalilia kupata Mufti na tayari tumempata,huoni kama hii ni hatua moja mbele?
Mara nyingi nimekuwa sikuelewi kwani unaelekea kuwa mtu wa shari kuliko kusaidia jami ambayo ipo chini.
Wenzetu wanaitumia nafasi vizuri na wamejaza vyuo vikuu sisi hata sekondari za kuhesabu na tukitoka hapo ni kulia kuonewa kama yatima.
Tutumie fursa na tuwe waadilifu tutapata maendeleo.
Kama una hoja nenda kaongee na Sheikh Mkuu lakini kwangu nashindwa kukuelewa.
Hebu Ponda mtizame Kijana Arfu wa Islamic foundation mambo anayosimamia,huu ni mfano wa kuigwa sio kila wakati kupinga wenzio.
Hiyo ni kweli mkishikamana na kuwa na chombo kimoja cha uwakilishi kwa wote itaongeza nguvu na kusukuma maendeleo mbele kwa haraka zaidi..
 
Mimi bado sijalielewa hili jambo la mahakama ya kadhi na mahakama ya serikali.
Mfano, mimi ni Mkristo, nimezini na mwanamke wa Kiislam na tukafumaniwa. Kwa shariah, tunatakiwa tupigwe mawe hadi kufa. Kwa Ukristo tunatakiwa kuungama kwa Mungu na kusamehewa (rejea Yohane 8:1-11). Kwa sheria za kiserikali, kuna taratibu zake. Sasa katika tukio kama hili, ni nani atatakiwa kuhukumu? Kadhi, Mchungaji au hakimu wa serikali? Na je! Haki za kibinadamu zinasemaje?:A S-confused1:
 
Mahakama za kadhi zitashughulika na maswala machache yanayowahusu watu wa imani hiyo (waislamu)

na ambao pia watakuwa tayari kulishughulikia shauri lao kwa mujibu wa sharia za kiislam

Maswala hayo ni yahusuyo 1. Talaka 2. Mirathi 3. Ndoa

Hata hivyo si lazima kwa waisilamu kupeleka shauri lao ktk mahakama ya kadhi kitu muhimu ni lazima. Pande zote zikubali na wataulizwa ikiwa wamekubaliana shauri lao lishughulikiwe na mahakama hiyo.

N.B
Mahakama ya kadhi haihusiki na kesi za wizi wala uhaini

Kama ni Sababu hizo TATU SIONI SABABU YA KUIPINGA; NDUGU ZETU WAISLAMU WANA WAKE HADI 4 MAHAKAMA

ZA KAWAIDA HAZITAWEZA KUZITATUA

ASANTE KWA KUNIFAFANULIA...
 
Makosa ya jinai hayatakuwa sehemu ya mahakama ya kadhi. kwa hiyo Kukutana kwa mkristo na mwislamu itakuwa sio rahisi kwenye mahakama ya kadhi.

kama ni suala la ndoa mchanganyiko (uislamu + Ukristo) itaangaliwa ilifungwa wapi , msikitini, kanisani, bomani ili kuamua ni mahakama ipi itashughulikia.

Lakini pia katika mambo yote kumbuka kuwa mkristo au mwislamu sio jina tu bali hata matendo ya imani yako kama vile kuhudhuria swala na ibada..... kama unaishi kipagani/ kikafri bado utachukuliwa kama sio mtu wa imani.

OH yeah nimeisha fafanuliwa ni 1. NDOA 2.MIRATHI 3.URITHI

SI PINGI HATA KIDOGO MAHAKAMA YA KADHI BAADA YA KUFAFANULIWA
 
basi miundo mbinu na huduma za jamii. Zitakazo kuwa zinatolewa na serikali..baada ya sensa wala msishirikishwe na msipewe... Akili zingine bhana...


kwani mbona makanisa yanapata pesa za serekali na wanaendelea kugoma tu na wala hakuna sensa iliofanyika?

WAISLAM WAKIANDALIWA MAZINGIRA MAZURI YA KUPEWA MABILION WANAYAOPEWA WAKIRISTO MAISHA TZ ITAENDELEA? MAANA WAISLAM WAO WANAONA TZ NDIO NCHI YAO. WAKIRISTO WAO WANAONA VAERTICAN NDIO KWAO. KWA HIVYO WANAONA HAKUNA HAJA YA KUTUMIA ELIMU YA KWA MANUFAA YA TZ
 
kwani haiwezekani? Kwani wao hawana dini? Shule nimeenda ndio maana napambana na nyinyi hadi mnaingia kwa magroup. Mmoja kwa 10. Mnapigiana simu kuingia jf

Mkuu umejiunga jana tu hivyo karibu sana.

Lengo la Forum hii si kutoa fursa ya kupambana na mtu au kikundi fulani. Lengo ni kushirikishana mawazo yenye nia ya kujenga, kuburudishana na kujenga mahusiano mazuri.

Karibu hapa JF, karibu utushirikishe mawazo yako ya kujenga nchi yetu Tanzania.
 
shule ya madrasa hii jifunze kwa waislam wenzako wenye elimu.

kumbe baadhi ya waislam wanaelimu? Ndio kwanza nikisie leo kutoka kwa mkiristo watz. Siku zote husikia waislam hamkusoma. Usitake kuwagawa waislam. Hakuna muislam aliesoma tz.
 
Mkuu umejiunga jana tu hivyo karibu sana.

Lengo si kupambana na mtu au kikundi fulani. Lengo ni kushirikishana mawazo yenye nia ya kujenga, kuburudishana na kujenga mahusiano mazuri.

Karibu hapa JF, karibu utushirikishe mawazo yako ya kujenga nchi yetu Tanzania.

Sioni ujengani wa nchi hapa. naona dini ya nani inafanya nini? USITAKE KUTUPOTOSHA
 
JF now days sijui imekumbwa na mdudu gani! yaani haipiti siku bila kuona thread inayozungumzia Uislaam.
Na ukiwasoma baadhi ya coment za watu between the line unawagundua kabisa kuwa wapo hapo kwa kazi
moja tu nayo ni kuikashifu dini ya upande wa pili. Mfano kuna marafiki zangu wawili hapa jamvini mmoja ana
itwa Sweke34 na mwingine anaitwa Topical....yaani hawa jamaa wanapenda thread za chokochoko za kidini
usipime! mpaka wanatia huruma' na sasa wamefanikisha kupata wafuasi wengi sana hapa JF. Hey you people
mnachogombana hapa ni nini? Hivi hamjui hizi dini mliletewa tu na wajanja wachache ili mutawaliwe? shame on u all
 
Mlitaka mahakama ya kadhi mmepewa! Kuchaguana tu ma-kadhi mmeshindwa. Je Kweli mtaweza kuiendesha hiyo mahakama kadhi?

Mimi ninafikiri WAISLAMU wa Tanzania hamko tayari kwa mahakama ya kadhi.
 
JF now days sijui imekumbwa na mdudu gani! yaani haipiti siku bila kuona thread inayozungumzia Uislaam.
Na ukiwasoma baadhi ya coment za watu between the line unawagundua kabisa kuwa wapo hapo kwa kazi
moja tu nayo ni kuikashifu dini ya upande wa pili. Mfano kuna marafiki zangu wawili hapa jamvini mmoja ana
itwa Sweke34 na mwingine anaitwa Topical....yaani hawa jamaa wanapenda thread za chokochoko za kidini
usipime! mpaka wanatia huruma' na sasa wamefanikisha kupata wafuasi wengi sana hapa JF. Hey you people
mnachogombana hapa ni nini? Hivi hamjui hizi dini mliletewa tu na wajanja wachache ili mutawaliwe? shame on u all
mkuu vipi mbona tunaanza kukoseana heshima? kwani kuna mtu kakushikia bastola kichwani ili kwa lazima ufungue thread za chokochoko za kidini?
 
hongera mufti kwa kuonesha njia, achana na kelele za serikali kuanzisha mahakama ya kadhi, anzisha mwenyewe na timu yako, hongereni sana.
 
Sheikh Simba nakuaminia una ilmu ya dini! umeona kabisa kuwa ni ukafiri hasa! kuchukua kodi ya kitimoto, eti imlipe mshahara Qadi! wakati waumini wenyewe, wana uwezo wa kuihudumia hiyo Mahakama!
Acha wazoze hizo ni sound za mlango!
 
Manzese!
banned

MODS MNAFANYA KAZI.....MAANA WENGINE WANAFANYA KAMA MAJUKWAA YA UDINI HUMU NDANI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom