benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,035
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023.
Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa ambaye amemaliza muda wake.
Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa ambaye amemaliza muda wake.