The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 19,254
- 42,873
Rais Magufuli Amemteua Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Wazazi CCM Taifa DKt Edmund Mndolwa Kuwa Mwenyekiti Wa Bodi Ya Wakurugenzi Wa Benki Ya Posta Tanzania (TPB). Je Katika Nchi Inayofuata Utawala Bora, Ufanisi Wa Benki Tena Ya Umma Kusimamiwa Na Kiongozi Wa Chama Cha Siasa Ni Sawa ?
This is the country where utawala bora no longer applies.