Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,105
- 13,331
Kadigrii kamoja kwa sasa ni sawa na form four,hvyo bado soma kijana atleast upate PhDWenye kadigrii kamoja tumemkosea nini jpm?
Kadigrii kamoja kwa sasa ni sawa na form four,hvyo bado soma kijana atleast upate PhDWenye kadigrii kamoja tumemkosea nini jpm?
Katiba ibadilishwe, rais ana mamlaka makubwa na mengi sana. Yaani hadi hawa wenyeviti wa bodi ktk mabenki ya serikali anateua yeye, dah!Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB)View attachment 753966
Hii yenyewe ilinitesa sana! niliapa sitorudi tena kusoma bora nitafute pesa kwa njia nyingine!Kadigrii kamoja kwa sasa ni sawa na form four,hvyo bado soma kijana atleast upate PhD
Yeah ndio Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CcmHuyu Mndolwa si ndio mwenyekiti wa wazazi taifa CCM?
Haya buana.Yeah ndio Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Ccm
Acha wivu wewe!!Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli amemteua DKt Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) . Dr Edmund Mndolwa pia ndiye Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Ya CCm Taifa aliyechukua nafasi ya Abdalah Bulembo baada ya uchaguzi wa ndani ya chama .
Uteuzi huu unanikumbusha uamuzi wa hiali wa Mh Fedrick Sumaye kuomba kuachia nafasi yake kama Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya CRDB baada tu ya kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kwa kile alichodai anaepusha mgongano wa masrahi ya kisiasa na benki ya CRDB .
Baada ya kuona taarifa ya uteuzi huu wa Dr Bernard Mndolwa nimejiuliza sana sijapata majibu , katika Nchi inayofuata utawala bora ufanisi wa benki tena ya Umma kusimamiwa na Kiongozi wa chama cha siasa ni sawa ? Je Ustawi wa Benki hii utakuwa katika position gani ? Je wateja wa TPB wasio wanachama wa ccm watakuwa postive ? Na Je Mwenyekiti huyu wa bodi ya Wakurugenzi ya TPB atawezaje kuchanganya siasa na usimamizi wa taasisi kubwa kama hii ya fedha ? . Ikizingatiwa nafasi yake kwenye chama ni kubwa na ni ya kitaifa ?
Nini maoni yako ?
View attachment 754138
ukweli utakuweka huku usikubali kuamisha akili tumboni kichwa kibaki kuwa mzigo wa miguuAcha wivu wewe!!
Acha wivu wa kike!! Mwenzako amelamba shavu unaleta mapovu!!ukweli utakuweka huku usikubali kuamisha akili tumboni kichwa kibaki kuwa mzigo wa miguu
HAHAHnauna ile albadili inaanza kuingia kwa jiwe
Kutabakia mhadhiri vyuoni?Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB)View attachment 753966
Yes sasa sijui kama alishaondolewaHuyu Mndolwa si ndio mwenyekiti wa wazazi taifa CCM?
Mwanasheria uchwara upo??Fikiri ka kutumia ubongo na ....
Rais Magufuli Amemteua Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Wazazi CCM Taifa DKt Edmund Mndolwa Kuwa Mwenyekiti Wa Bodi Ya Wakurugenzi Wa Benki Ya Posta Tanzania (TPB). Je Katika Nchi Inayofuata Utawala Bora, Ufanisi Wa Benki Tena Ya Umma Kusimamiwa Na Kiongozi Wa Chama Cha Siasa Ni Sawa ?Naona sasa hivi umekuwa mtindo kutokusema mteule alikua nani kabla ya utezi. Sijajua ni bahati mbaya au makusudi lakini ilianzia kwa uteuzi wa aina yake uliotoa mtu Dar hadi Tabora.
Mndolwa kama sikosei amewahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi KCB Tanzania. Tunamtakia mafanikio kwa nafasi yake.