Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 754
- 3,099
Rais Magufuli ajitokeza, Afanya teuzi mbalimbali na kuboresha sekta ya Afya kwa kumteua Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali.
Ni jambo jemaRais Magufuli ajitokeza, Afanya teuzi mbalimbali
Sio kweli, mbona anajua mambo mengi sana, tatizo ukishazoea kupinga huwezi kuona jema hata siku moja.kazi kuteua tu ndiyo anayoijua!
Soma mwisho wa baruaAje awaapishe ikulu!Au ataenda kuwaapishia chato?
So watasubiri arudi ikulu ndio awaapishe?Sijawahi kuona nchi hii watu wakiapishwa nje ya ikulu!
Ikulu za Raisi ziko kila mkoa Tanzania .Kikatiba kazi ya raisi yaweza fanywa popote eneo la Tanzania.
Hata chato ikulu IPO aweza waapishia kuleSo watasubiri arudi ikulu ndio awaapishe?Sijawahi kuona nchi hii watu wakiapishwa nje ya ikulu!