Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

Maza kila akipata nafasi lazima ateua Ustaadh.

Yaani ukiangalia uteuzi wa mama ni kama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye teuzi.

Akiteua boss muislamu basi msaidizi mkiristo, akiteua boss mkiristo basi msaidizi muislamu.

Hapo anamuandaa aje awe CG baada ya kidata kustaafu.

Hii ni mentality ya kipumbavu kabisa.

Wewe ndie umewaza kipumbavu, kwann uangalie teuzi kwa nadharia ya udini!???

Kwani hao unaowaita maustaadh ni raia wa Burundi!???

Tena huyo mteule alikuwa kamishna, ambapo ni moja ya nafasi za juu ktk management structure ya TRA, laiti angekuwa ni fresh from school nadhani ungeandamana ukiwa uchi mpaka Ikulu
 
Umeanza Desemba 5, 2021..?!

Samia Hassan amemteua Mcha Hassan
Mzazibara sio au mzazibari😄

Hii nchi MaCCM mlipoifikisha siko kabisa kabisa.
Wewe jamaa mjinga sana. Kama mzanzibari amekuwa Rais wa lijamhuri lote hilo then ikushangaze mzanzibari kuwa Naibu Kamishna wa TRA?
 
Jamaa kaenda Vienna patamu hapa Baba
Nilishakaa hiyo kiwanja siku 9 nikarudi Ujerumani kwa wabaguzi
Wananusaga ngozi ya kibongo wanadhani eti labda itakuwa na harufu
Mwisho wanagundua wao ndio Wana harufu
Nawaambia tukae bila kuoga siku tatu Mimi black hutasikia chochote ila wewe utanuka balaa
Tukafanya Hilo zoezi jamaa kesho yake kiatu inatema balaa na kale kaharufu kao
Mimi Niko fresh kabisa
Wakasema African real human being.
Jamani mambo mengine hatuyaelewi mimi pia nimekaa muda mrefu hapo Vienna nikiwa mwanafunzi na pia nimeishi Jiji la Salzburg huko huko Austria nikiwa mwanafunzi pale Klessheim 1984, 1985, 1986 sijakutana na hayo mambo.....
 
Ulikula Wiener schnitzel mkuu. Au ma Knödel.
 
Jamani mambo mengine hatuyaelewi mimi pia nimekaa muda mrefu hapo Vienna nikiwa mwanafunzi na pia nimeishi Jiji la Salzburg huko huko Austria nikiwa mwanafunzi pale Klessheim 1984, 1985, 1986 sijakutana na hayo mambo.....
Soma uelewe mkuu Wacha kutaka kujulikana kama na wewe umeenda Austria.
Mimi nimeongelea ubaguzi Ujerumani Vienna hakuna shida kabisa very smart city
Isitoshe wewe mtu umekaa Vienna 1984 si almost 40 years
Tunaweza tuka-share Nini mimi na wewe Wenzako bado tunanukia belt za KLM
 
Afu mangi wao hawahitaji teuzi Mana ni matajiri muda sanna kabla hata ya wakoloni walikuwa tayari na shule zao ujue wanasoma.
Saivi hawategemei serikali ya ccm kuwapa ulaji.
Jk anaenda uno kudai Uhuru wamangi wanamsaidia nauli na hotel ya kulala.hii nafasi Bora tungepewa wachunga ng'ombe jamani.
Ila Hawa jamaa ni level zingine.yaani Moshi ikijitenga tu inakuwa among of top three za G7.
Tena Wana Teknolojia ambayo mmarekani akasome
Ebhana eh
 
Back
Top Bottom