UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

TULIKIPIGANIA CHAMA HAKUNA ILA WAKUNJA JUZI WANAPEWA SHAVU.NCHII HII NA VYAMA VYETU NI SIDA
Wewe unawajua wanachama wote? Umepigania kukijenga chama wapi? Nani anakujua? Isitoshe hiyo ni nafasi ya walemavu na wewe ni mlemavu mwanamke? Ridhika na kile kinachokutokea kwa njia yako kama sehemu ya maisha yako
 
Double standard mbowe mbona anajua tu kuandika kusoma na kuhesabu wivu tu. Mtu ambaye hajakanyaga chuo anachojua ni kusoma kuandika na kuhesabu. Mbowe hajui mlango wala darasa la chumba hata la chuo hata cha VETA
Kuna tatizo kubwa sana limejificha sehemu , tatizo ambalo watu hawataki kulisema au wanaogopa kulisema! na tatizo hilo likiachwa kuna watu ambao watajiona wenyewe ni bora kuliko wengine, kwa maana nimeshaanza kuona dalili hizo muda ni mwalimu mzuri lakini ninachokiona uko mbele sijui tu
 
M/kiti alikubwaga akamchukua nini? Naona unalia wivu nyamaza Ndio maisha enzi zako zimeshapita tafuta vikongwe wazee wenzio

Leo michango yako naiunga mkuono..
japo kati ya misu..kule yenye phd unaongoza..
Endelea kuwambia hao wenye husda waache wivu..
 
Mkuu si unajua kile cha Ras Lion ndo tuna Fanya practice humu jamvini...by the way I'm very sorry for the inconveniences caused through my TYPO. Show me the way so that next tm I will do the needful. Mwabeja sana, mwafwaaaa...
Mhhh nimeanzia kulia kwenda kushoto bado nimechemsha

Msaada tafadhali
 
Leo michango yako naiunga mkuono..
japo kati ya misukule yenye phd unaongoza..
Endelea kuwambia hao wenye husda waache wivu..
Asante kwa pongezi ziwe halali au koko nazipokea mheshimiwa . Siku hazifanani mkuu
 
Mkuu si unajua kile cha Ras Lion ndo tuna Fanya practice humu jamvini...by the way I'm very sorry for the inconveniences caused through my TYPO. Show me the way so that next tm I will do the needful. Mwabeja sana, mwafwaaaa...
Mkuu kiingereza chako mbona kwa standard za Tanzania kimenyooka? Mimi mbona nimekuelewa .Kiingereza kwa watanzania wengi ni lugha ya tatu ajifunze kilugha aongee fasaha halafu ahamie kiswahili ajifunze hadi aongee fasaha halafu ahamie kiingereza akielewe wakati akihangaika waingereza na wamarekani toka wanazaliwa lugha yao moja tu kiingereza. Mkuu huna haja ya kuomba msamaha uko fit. Wachina wanaongea kichina tu lugha ya pili kiingereza kinawapiga chenga na wafaransa pia .Be comfortable kiingereza chako safi Big Up kwa kujitahidi kuongea na kuandika lugha ya tatu mtaalamu wa lugha ambaye unawashinda waingereza na wamarekani ambao wanaongea lugha moja tu toka kuzaliwa.
 
Wema sepetu chaliiiii ha ha ha ha hawajampa hata kwenda ku test east Africa
 
Wema sepetu chaliiiii ha ha ha ha hawajampa hata kwenda ku test east Africa
Hapa si vyama kuwa vinateua wagombea tena....kumbuka hizi ni nafasi za viti maalum chaguzi zilisha fanyika ndani ya vyama na vyama visha peleka majina ya washindi wa kwanza hadi wa mwisho, kwahiyo linapotokea tukio kama la Mh. Kuitwa mbele ya haki mtu aliemfuatia ktk matokeo kwa orodha iliyopelekwa kwenye Tume na chama chake ndiye anaye chukua nafasi.
 
Catherine, kipindi hicho tukisoma wote alikuwa maarufu kama "Nyakao" ni mwanaharakati mzuri tu, pia ni mjanja sana. Amemaliza chuo mwaka 2007, BCom pale Mlimani. Nakumbuka mara baada ya kumaliza chuo alipata kazi NBC. Alijindeleza pia na kupata MBA with distinction. Ni kitambo kidogo lakini mara ya mwisho nilisikia aliamua kuwa mjasiriamali na kuachanan na kazi za kuajiriwa, na pia akaingia kwenye siasa. Sikusikia tena habari zake hapa katikati mpaka leo nilivyosikia amepata ubunge. Nachoweza kusema she is smart and very strategic. Kwa waliosoma naye wanamjua vizuri.
Alikuawaga bank moja ivi NBC,lkn kwa maoni yangu ni wakawaida tu
 
Hiyo barua haielezi kama baada ya kupata taarifa ya spika kuwa nafasi wazi kama cdm ilikuwa consulted before the issuance of this selection notice!!
Chama kinapendekeza tu, mwenye mamlaka ya KUTEUA ni Tume. Kazi ya Tume si kuthibitisha maana inaweza kukataa pia. However Tume haipelekewi jina moja. Orodha nzima ya waliopendekezwa na Chama ipo Tume. So tume inaweza kuona anayefuatia kwenye orodha hana sifa ikateua mwingine.!
Hivi utaratibu ukoje.....napenda kkujua inakuwajeee
Tume ya uchaguzi ndio inayowachagulia hao chadema mwakilishi au chadema ndio wanapendekeza mwakilishi huko tume ya taifa . naomba kueleweshwa tafadhali.
Time ya taifa ya uchaguzi mbona hamteui madiwani wa viti maalumu baada ya chaguzi ndogo tangu January 22 /2017 mnasubiri nini mbona kwa wabunge mnafanya haraka haraka hivyo tatizo nini au hakuna nafasi za kujaza mfano huko wilaya ya mwanga iko nafasi moja empty why
Viti maalumu vyama vyote hupeleka majina kwa rank za kura walizopata kwenye chaguzi ndani ya vyama hivyo akiondoka mbunge wa viti maalumu tume inaenda tu kwenye list waliyopewa na chama husika wanampa aliyefuatia kwa kura.
 
Tume ya uchaguzi ndio inayowachagulia hao chadema mwakilishi au chadema ndio wanapendekeza mwakilishi huko tume ya taifa . naomba kueleweshwa tafadhali.
Unamiaka mingapi,yani hata hili hujui halafu ni mdau wa siasa kweli?
 
Back
Top Bottom