UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_ruge.jpg
Ndio maana Mbowe hataki kuachia uenyekiti??
 
Hapana sio wa kawaida, kwa akii za darasani kweli nakubali ni wa kawaida sana, lakini kwenye mbinu za kupata anachotaka....sio wa kawaida,
Hebu fafanua kdg mistari miwili ya mwisho tafadhali, itapendeza zaidi ukiweka mfano japo mmoja
 
Viti maalumu vyama vyote hupeleka majina kwa rank za kura walizopata kwenye chaguzi ndani ya vyama hivyo akiondoka mbunge wa viti maalumu tume inaenda tu kwenye list waliyopewa na chama husika wanampa aliyefuatia kwa kura.
Tume ya uchaguzi ndio inayowachagulia hao chadema mwakilishi au chadema ndio wanapendekeza mwakilishi huko tume ya taifa . naomba kueleweshwa tafadhali.
 
List ilipelekwa na Chama mwaka 2015. Anayefuata kwenye list ndio huteuliwa kama bado ni hai na bado ni mwanachama.

Chama Kwa sasa hakiwezi kubadili tena list hiyo.
Tume ya uchaguzi ndio inayowachagulia hao chadema mwakilishi au chadema ndio wanapendekeza mwakilishi huko tume ya taifa . naomba kueleweshwa tafadhali.
 
Hongera Nyakao,

Umeonyesha njia, sasa ni wakati mzuri wa elimu kuendelea kutumika ... Hongera Ringwani, Hongera Serengeti, Hongera Wakina mama na hongera feminine initiatives.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom