UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

Kabla ya hapo alikuwa anafanya nini..
CV yake kidogo

Catherine, kipindi hicho tukisoma wote alikuwa maarufu kama "Nyakao" ni mwanaharakati mzuri tu, pia ni mjanja sana. Amemaliza chuo mwaka 2007, BCom pale Mlimani. Nakumbuka mara baada ya kumaliza chuo alipata kazi NBC. Alijindeleza pia na kupata MBA with distinction. Ni kitambo kidogo lakini mara ya mwisho nilisikia aliamua kuwa mjasiriamali na kuachanan na kazi za kuajiriwa, na pia akaingia kwenye siasa. Sikusikia tena habari zake hapa katikati mpaka leo nilivyosikia amepata ubunge. Nachoweza kusema she is smart and very strategic. Kwa waliosoma naye wanamjua vizuri.
 
Anavuaga nguo mbele ya mwanae wa kiume.
Kahaba kwel huyu.
 

Attachments

  • IMG-20170504-WA0085.jpg
    IMG-20170504-WA0085.jpg
    48.4 KB · Views: 52
Ufipa wanataka CV kwenye sehemu ambayo vigezo ni KKK (Kusoma,Kuandika,Kuhesabu)
 
Ufipa wanataka CV kwenye sehemu ambayo vigezo ni KKK (Kusoma,Kuandika,Kuhesabu)
Double standard mbowe mbona anajua tu kuandika kusoma na kuhesabu wivu tu. Mtu ambaye hajakanyaga chuo anachojua ni kusoma kuandika na kuhesabu. Mbowe hajui mlango wala darasa la chumba hata la chuo cha VETA
 
Back
Top Bottom