Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Kujitabiria mauti kukoje huku na mtu unajuaje kuwa huyu anajitabiria kifo?
Nenda kwa hiyo link kwanza!
Kimsingi kifo ni kitu cha uhakika kukiko mambo yote ya maisha ya mwanadamu, ni rahisi kusema utakufa na ukafa kuliko kutabiri mengineyo na hatma ya kifo chetu tunaijua kutokana na maisha yetu...Nilipata bahati kidogo tu ya kufahamiana na Marehemu Mzee Mengi. Katika maombolezo yanayoendelea sasa nimejikuta nikikumbuka mkutano wake mmoja na vyombo vya habari ambapo alizungumzia jambo ambalo linaweza kuwa ni utabiri wa mauti... utenzi huu na video niliyoambatanisha nayo mwishoni kwa heshima yake. Alikuwa na anendelea kuwa mfano wa watu ambao walisimama na wapiga vita ufisadi...
Niende mara ngapi? Ni tenzi kama zingne!
Sasa wapi unaweza kudai huyu kajitabiria mauti na unajuaje kama anajitabiria mauti?
Shairi ni zuri sana mkuu, hongera, ila kuna swali la mdau juu ya ukimya wako juu ya utawala wa sasa, je na wewe ni mmoja wao?Nilipata bahati kidogo tu ya kufahamiana na Marehemu Mzee Mengi. Katika maombolezo yanayoendelea sasa nimejikuta nikikumbuka mkutano wake mmoja na vyombo vya habari ambapo alizungumzia jambo ambalo linaweza kuwa ni utabiri wa mauti... utenzi huu na video niliyoambatanisha nayo mwishoni kwa heshima yake. Alikuwa na anendelea kuwa mfano wa watu ambao walisimama na wapiga vita ufisadi...
As far as it has been known from time immemorial death is certain... Sasa inakuwaje au inawezekanaje MTU kujitabiria kifo? Can one predict an event which is certain?Nilipata bahati kidogo tu ya kufahamiana na Marehemu Mzee Mengi. Katika maombolezo yanayoendelea sasa nimejikuta nikikumbuka mkutano wake mmoja na vyombo vya habari ambapo alizungumzia jambo ambalo linaweza kuwa ni utabiri wa mauti... utenzi huu na video niliyoambatanisha nayo mwishoni kwa heshima yake. Alikuwa na anendelea kuwa mfano wa watu ambao walisimama na wapiga vita ufisadi...
NAKUPA KONGOLE MZEE MWANAKIJIJI, UMEJITAHIDI KUTUNGA NA KUGHANI BAADA YA MIAKA MINGI.Nilipata bahati kidogo tu ya kufahamiana na Marehemu Mzee Mengi. Katika maombolezo yanayoendelea sasa nimejikuta nikikumbuka mkutano wake mmoja na vyombo vya habari ambapo alizungumzia jambo ambalo linaweza kuwa ni utabiri wa mauti... utenzi huu na video niliyoambatanisha nayo mwishoni kwa heshima yake. Alikuwa na anendelea kuwa mfano wa watu ambao walisimama na wapiga vita ufisadi...
Kujitabiria mauti kukoje huku na mtu unajuaje kuwa huyu anajitabiria kifo?
Ila mbona si mkimya hivyo; sema watu wanachagua kunisoma; wanataka niwe kama "fulani" ili nionekane nimefit mahali fulani. Tuomboleze kwanza...Shairi ni zuri sana mkuu, hongera, ila kuna swali la mdau juu ya ukimya wako juu ya utawala wa sasa, je na wewe ni mmoja wao?
Kwa kuwa unafurahia "ushetani" wa utekaji wala huoni hata sababu ya kupiga kelele kuhusiana na swala la Mdude!
You have gone from hero to zero by siding with oppressors
Mzee Mwanakijiji issue hapa ni kuwa namana ya ko ya kupiga kelele imebadilika tangu 2016!Endelea kudhani kila anayepiga kelele anasaidia...
Ila mbona si mkimya hivyo; sema watu wanachagua kunisoma; wanataka niwe kama "fulani" ili nionekane nimefit mahali fulani. Tuomboleze kwanza...