Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,460
- 39,928
Nilipata bahati kidogo tu ya kufahamiana na Marehemu Mzee Mengi. Katika maombolezo yanayoendelea sasa nimejikuta nikikumbuka mkutano wake mmoja na vyombo vya habari ambapo alizungumzia jambo ambalo linaweza kuwa ni utabiri wa mauti... utenzi huu na video niliyoambatanisha nayo mwishoni kwa heshima yake. Alikuwa na anendelea kuwa mfano wa watu ambao walisimama na wapiga vita ufisadi...