Julius matern
New Member
- Dec 12, 2018
- 0
- 0
Wadau naulizia duka la malighafi za sabuni kwa Moshi liko wapi.
Mkuu share tu wote tufaidike hapaMkuu Pelham,hata mimi nilikua na wazo juu ya kiwanda hiki,unaweza ni PM nikupe clue nilipofikia juu ya utafit wangu,,tunaweza chochote.
ThanksKwa kuanza si lazima uwe na mashine. Sio mtalaamu sana ila mzee wangu alizitengeneza sana miaka ya tisini.
Muhimu ni kipimo cha kupimia acid, sikumbuki kinaitwaje.
MAHITAJI
Kwa ushauri nenda kigoma sehem moja inaitwa sido ukajifunze tena sabuni zitokazo pale ninang'arisha kuliko hata hizo jamaa.
- Utahitaji caustic soda ipo ya magunia na ya maji inauzwa kwa pipa.
- Unahitaji mafuta hasa ya mbegu zile za michikichi (mise kwa kiha)
- Utahitaji pafyumu na rangi, kwetu kigoma tunatumia blue zile za tulizokuwa tunaweka kwenye mashati ya shule
- Utahitaji sanduku mfano wa jeneza ambalo baada ya kuchanganya mchanganyo wako vizuri utaumwaga mule na kuacha igande kwa siku moja
- Utahitaji nyuzi zile za nylon ambazo utatumia kukata miche yako bado ya kutoa kwa sanduku
NB: Challenge yako kubwa itakuwa ni kwenye kupata mafuta ya kuchanganyia maana yale ya mise Kigoma ni kugombania na hata yanayofika Dar ni machache sana.
Kuliko ukatoa letsay milion mbili kununua mashine bora utumie hio hela kununua raw material na kujifunza ili baadae ukishakuwa na soko kubwa ununue mashine kubwa za kisasa.
MIMI SIO MJUZI ILA NIMEKUPA IDEA KUTOKANA NA KUKUA KWENYE MAZINGIRA YA UTENGENEZAJI NA WALA SIJAWAHI TENGENEZA
You are welcomed
Asante mkuu kwa ushauri na maelekezo mazuri. Nitafanyia kazi ushauri huu.Kwa kuanza si lazima uwe na mashine. Sio mtalaamu sana ila mzee wangu alizitengeneza sana miaka ya tisini.
Muhimu ni kipimo cha kupimia acid, sikumbuki kinaitwaje.
MAHITAJI
Kwa ushauri nenda kigoma sehem moja inaitwa sido ukajifunze tena sabuni zitokazo pale ninang'arisha kuliko hata hizo jamaa.
- Utahitaji caustic soda ipo ya magunia na ya maji inauzwa kwa pipa.
- Unahitaji mafuta hasa ya mbegu zile za michikichi (mise kwa kiha)
- Utahitaji pafyumu na rangi, kwetu kigoma tunatumia blue zile za tulizokuwa tunaweka kwenye mashati ya shule
- Utahitaji sanduku mfano wa jeneza ambalo baada ya kuchanganya mchanganyo wako vizuri utaumwaga mule na kuacha igande kwa siku moja
- Utahitaji nyuzi zile za nylon ambazo utatumia kukata miche yako bado ya kutoa kwa sanduku
NB: Challenge yako kubwa itakuwa ni kwenye kupata mafuta ya kuchanganyia maana yale ya mise Kigoma ni kugombania na hata yanayofika Dar ni machache sana.
Kuliko ukatoa letsay milion mbili kununua mashine bora utumie hio hela kununua raw material na kujifunza ili baadae ukishakuwa na soko kubwa ununue mashine kubwa za kisasa.
MIMI SIO MJUZI ILA NIMEKUPA IDEA KUTOKANA NA KUKUA KWENYE MAZINGIRA YA UTENGENEZAJI NA WALA SIJAWAHI TENGENEZA
Karibu kaka ukihitaji mafuta nishtue maana nami nataka nijiweke kwenye uzalishaji mafuta tuAsante mkuu kwa ushauri na maelekezo mazuri . nitafanyia kazi ushauri huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetoa mwanga sanaKwa kuanza si lazima uwe na mashine. Sio mtalaamu sana ila mzee wangu alizitengeneza sana miaka ya tisini.
Muhimu ni kipimo cha kupimia acid, sikumbuki kinaitwaje.
MAHITAJI
Kwa ushauri nenda kigoma sehem moja inaitwa sido ukajifunze tena sabuni zitokazo pale ninang'arisha kuliko hata hizo jamaa.
- Utahitaji caustic soda ipo ya magunia na ya maji inauzwa kwa pipa.
- Unahitaji mafuta hasa ya mbegu zile za michikichi (mise kwa kiha)
- Utahitaji pafyumu na rangi, kwetu kigoma tunatumia blue zile za tulizokuwa tunaweka kwenye mashati ya shule
- Utahitaji sanduku mfano wa jeneza ambalo baada ya kuchanganya mchanganyo wako vizuri utaumwaga mule na kuacha igande kwa siku moja
- Utahitaji nyuzi zile za nylon ambazo utatumia kukata miche yako bado ya kutoa kwa sanduku
NB: Challenge yako kubwa itakuwa ni kwenye kupata mafuta ya kuchanganyia maana yale ya mise Kigoma ni kugombania na hata yanayofika Dar ni machache sana.
Kuliko ukatoa letsay milion mbili kununua mashine bora utumie hio hela kununua raw material na kujifunza ili baadae ukishakuwa na soko kubwa ununue mashine kubwa za kisasa.
MIMI SIO MJUZI ILA NIMEKUPA IDEA KUTOKANA NA KUKUA KWENYE MAZINGIRA YA UTENGENEZAJI NA WALA SIJAWAHI TENGENEZA
Pamoja mkuuKaribu kaka ukihitaji mafuta nishtue maana nami nataka nijiweke kwenye uzalishaji mafuta tu
Wapi ntapata mafuta kama ya nazi, Castro na ubuyu kwa ajili ya kutengenezea sabuniKariakoo mtaa wa gerezani
Kwa mama mwindi
Wana JF naitaji kuanza kutengeneza sabuni za kufulia kama B 29, Star ya uganda, Komesha n.k, mimi niko mwanza na tatizo litakalo nikwamisha ni soko sababu mwanzo ni mgumu naomba niwasilishe kwenu kwa maoni na ushauri zaidi.
ungeanza kujibu swali kwenye uzi huu…..au sio swali la kijasiliamali?Habari wana jf najambo lakuwaeleza ya kwamba Kama Kuna mtyuu anahiji ujasiliamalia waweza niuliza maswal nami ntawajibu maana nimwalim mzurituuu juu ya ujasiliamali
Sijakuelewa mkuu katk maelezo yako.Ungeanza kujibu swali kwenye uzi hu, au sio swali la kijasiliamali?
Anamaanisha kuhusu soko la sabuniS
Sijakuelewa mkuu katk maelezo yako