Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Naomba kufahamu bei ya mashine ndogo ya kutengeneza sabuni ya mche . Wana JF kutokana na hali ngumu ya maisha kwasasa nimeona bora niwe mjariamali hii itasaidia kukuza kipato changu na nchi kwa ujumla.

Mimi ni mmoja wa watu tunaosubiri ajira za Mh. Rais Magufuli. Kitaaluma ni mwalimu. Nina hold Bachelor of Commerce in Education. Baada ya kukaa bila ajira tangu 2016 nikaona ngoja nichukue mazo ya watu wengine ili yanisaidie katika kuniingizia kipato.

Wazo lenyewe ni la kutengeneza sabuni ya mche ambayo bado sijawahi kutengeneza hata maramoja. JF kuna wataalam wazuri katika nyanja mbalimbali nikaona ngoja nije kwenu ili nipate msaada wa kimawazo na hata kimiundombinu pia kama utaona inafaa.

Hivyo basi kwaaliye tayari kutuoa maoni ama ushauri na msada mwingine atakaoona unafaa katika kufanikisha project yangu unakaribishwa sana.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deogratius Isaack,

Kwa kuanza si lazima uwe na mashine. Sio mtalaamu sana ila mzee wangu alizitengeneza sana miaka ya tisini.
Muhimu ni kipimo cha kupimia acid, sikumbuki kinaitwaje.

MAHITAJI
  • Utahitaji caustic soda ipo ya magunia na ya maji inauzwa kwa pipa.
  • Unahitaji mafuta hasa ya mbegu zile za michikichi (mise kwa kiha)
  • Utahitaji pafyumu na rangi, kwetu kigoma tunatumia blue zile za tulizokuwa tunaweka kwenye mashati ya shule
  • Utahitaji sanduku mfano wa jeneza ambalo baada ya kuchanganya mchanganyo wako vizuri utaumwaga mule na kuacha igande kwa siku moja
  • Utahitaji nyuzi zile za nylon ambazo utatumia kukata miche yako bado ya kutoa kwa sanduku
Kwa ushauri nenda kigoma sehem moja inaitwa sido ukajifunze tena sabuni zitokazo pale ninang'arisha kuliko hata hizo jamaa.

NB: Challenge yako kubwa itakuwa ni kwenye kupata mafuta ya kuchanganyia maana yale ya mise Kigoma ni kugombania na hata yanayofika Dar ni machache sana.

Kuliko ukatoa letsay milion mbili kununua mashine bora utumie hio hela kununua raw material na kujifunza ili baadae ukishakuwa na soko kubwa ununue mashine kubwa za kisasa.

MIMI SIO MJUZI ILA NIMEKUPA IDEA KUTOKANA NA KUKUA KWENYE MAZINGIRA YA UTENGENEZAJI NA WALA SIJAWAHI TENGENEZA
 
Thanks

Asante mkuu kwa ushauri na maelekezo mazuri. Nitafanyia kazi ushauri huu.

Mkuu umetoa mwanga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu ni huu: Nenda SIDO wanatoa matunzo ya utengenezi sabuni, utafundishwa kutengeneza sabuni za mche, za maji na shampoo kwa Bei rahisi. Pia watakusaidia upatikanaji wa vifungashio na masoko. Ukimaliza unapewa cheti ambacho kitakusaidia kupata masoko. Mafunzo ni siku 3.
 
JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA KUG'ARISHIA VIATU
Naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kutengeneza dawa ya kug'arishia viatu.
 
Habari wana JF najambo lakuwaeleza ya kwamba Kama Kuna mtyuu anahiji ujasiliamalia waweza niuliza maswal nami ntawajibu maana nimwalim mzurituuu juu ya ujasiliamali.
 
Kama vile mtoto alivyotoka tumbon mwa mama yake anahitaji ujasiri na umakini wakutunzwa na ndivyo hivyo ujasiliamali anahitaji ili kupatasoko kazana natumia maneno yahekma na yenye busara na kuwa mwenyewe mvuto kwa wateja utafanikiwa ukifanya hivyo
Wana JF naitaji kuanza kutengeneza sabuni za kufulia kama B 29, Star ya uganda, Komesha n.k, mimi niko mwanza na tatizo litakalo nikwamisha ni soko sababu mwanzo ni mgumu naomba niwasilishe kwenu kwa maoni na ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom