Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Umesahau bei za malighafi ambapo ndio mzizi mkuu wa uzalishaji
Bei zinatofautiana mkuu; mfano huku Rocky city Sulphonic Acid lita Tshs. 8,000/= Sless lita 7,000/= Glyselyn Lita 6,500/= Chumvi Kg. 1,000/=
 
Ila kwa fomula mpya, mtaji wa Tshs. 40,000/= unakupatia Tshs. 80,000/= ndani ya muda mfupi; hivyo kama una vijana wa kukusaidia kufanya marketing unaweza tengeneza pesa nzuri tu ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom