Download hii Text Scanner [OCR] playstoreHivi kuna app zinaweza kufanya hivi?
Inategemea na shughuli yako.technology ya kukimbizana na masimu ni upumbavu.....As a real man jinunulie kismartphone chako cha kueleweka ambacho toleo lake angalau ni indate then endelea na majukum mengine.
Habar za kukimbizana na matoleo mapya kila siku ni utoto na kukosa majukum....haya mambo waachieni wauza sura huko insta&tiktok, humu ni kazi kazi tuu wajombaa
Ndio wauza sura wenyewe sasatechnology ya kukimbizana na masimu ni upumbavu.....As a real man jinunulie kismartphone chako cha kueleweka ambacho toleo lake angalau ni indate then endelea na majukum mengine.
Habar za kukimbizana na matoleo mapya kila siku ni utoto na kukosa majukum....haya mambo waachieni wauza sura huko insta&tiktok, humu ni kazi kazi tuu wajombaa
Iphone na watumiaji wake bwana, mnajidai wajanja kumbe washamba tu, hio ya kuextract maneno ipo miaka nenda rudi, khs movie ni branding tu, wanamaaanisha vi-clip vya social media influencers. Huwezi kutengeneza complete high end movie kwa hio simu pekee.Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa.
Pia niulize, nilisikia kwenye onpoint ya clouds kuwa hii iphone 13 unaweza kupiga picha maneno halafu ukaextract maneno tu. Maana nilielewa kuwa unaweza kupiga picha kitabu halafu ukakiconvert kuwa word document. Lakini sijasikia apple wenyewe wakisema.
Hii feature ni kweli ipo? Kama ipo itarahisisha sana maisha.
Sijawahi kutumia iphone, usikariri. Na hilo la movie, kuna movie kabisa ya muigizaji mkubwa umeshutiwa na iphone mwanzo mwisho.Iphone na watumiaji wake bwana, mnajidai wajanja kumbe washamba tu, hio ya kuextract maneno ipo miaka nenda rudi, khs movie ni branding tu, wanamaaanisha vi-clip vya social media influencers. Huwezi kutengeneza complete high end movie kwa hio simu pekee.
Ila ni kawaida ya iPhone kuleta features af watumiaji wao kuona ni mpya kumbe kwa android tyr ni za kawaida sana.
Tofauti ni kwamba hiyo ya ios ni built in sio ya kudownload kama android ocrMbona simu zote unaweza fanya Ocr mda mrefu sana pengine miaka 10 ama 20 iliopita. Hata hao iphone app zipo kibao tangu mda sana.
Hata wp zilikuwa built in na office lens, kulikuwa na lens tofauti tofauti, na Samsung pia zinakuja na service za msft built in.Tofauti ni kwamba hiyo ya ios ni built in sio ya kudownload kama android ocr
Tangerine au? Hizo ni movie za drama tu kama Bongo movie unakuta budget ni ndogo na una shoot tu watu wanaongea basi.Sijawahi kutumia iphone, usikariri. Na hilo la movie, kuna movie kabisa ya muigizaji mkubwa umeshutiwa na iphone mwanzo mwisho.
Kuna movie amecheza Cherize Theron. Imetengenezwa na iphone.Tangerine au? Hizo ni movie za drama tu kama Bongo movie unakuta budget ni ndogo na una shoot tu watu wanaongea basi.
Movie kali inayohitaji editing na effects za kisasa huwezi shoot na iphone.
Iphone yenyewe system wide file manager haina huwezi hamisha mafile baina ya apps na apps hizo editing unafanyaje?